Haoni ugumu bali hataki..kwahiyo tuhuma zenu zinategemea atoe vyeti vyake ili ikamilike je kama kweli amefoji inawezekana akajichoma kisu mwenyewe?Bashite anaona ugumu gani kuweka vyeti mezani ili akate mzizi wa fitina na huo wivu anaousema?
Haoni ugumu bali hataki..kwahiyo tuhuma zenu zinategemea atoe vyeti vyake ili ikamilike je kama kweli amefoji inawezekana akajichoma kisu mwenyewe?Bashite anaona ugumu gani kuweka vyeti mezani ili akate mzizi wa fitina na huo wivu anaousema?
Sasa mtaprove vipi tuhuma zenu kama kila shahidi amehongwa?Ajitokeze ili afe au???kashapewa mtaji katuliaaaaaaa
Mnh mkuu ni hatari, wa Tanzania tunapokea habari bila kufikiri.
Yatasemwa mengi mno.
Mengine yatakuwa ya kweli, mengine yatakuwa na chembe za ukweli, mengine yatakuwa ni uzushi tu, na kadhalika.
Mimi kwangu siamini amini tu jambo bila kulihoji.
Mkuu paskal naomba uniambie uyo Paul M hakusoma elimu ya msingi na sekondari?alianza chuo moja kabla ya darasa la kwanza?The real Paul Makonda is the one and only Paul Makonda, aliyesoma Moccobs, akateuliwa DC na sasa ni RC, mengine yote ni uongo mtupu!.
Ila huko nyuma kuna mtu aliitwa Daudi Albert Bashite, huyu alizaliwa Kolomije, akasoma Kolomije na kumalizia Nyanza. Akafeli la saba, lakini akafanya maarifa akasoma Pamba sekondari ya serekali, alipomaliza form IV alipata zero, na hadithi ya Daudi Bashite ikaishia hapo.
Kukatokea mtu anayeitwa Paul Christian M, ambaye alisoma Chuo cha Nyegezi, baadae Mbegani na mwisho Muccobs, kwenye hayo majina ya Paul Christian M, ndipo kwenye M, likaongezewa jina laMakonda, hivyo Paul Christian Makonda is one and only.
Paskali
Kuna Paul Christian Muyanja. Ndiye kwenye cheti chenye Index number ya Necta. Hakuna Cheti cha Paul Makonda, ila yeye ndiye aliamua kuweka hii Surname badala ya Muyanja. Hii ni according to Gwajima. Cheti cha kaka Binamu kilichukuliwa Na Dada akatoa photocopy kikarudishwa. Hakujua wala haikua ridhaa yake. Aliyetoboa siri ni Absconded fiancee! Gwajima's tone". Kwa hiyo unatakiwa uchunguzi Necta, huyo Paulo alihitimu lini Na huyu David Bashite alihitimu lini. Je Kuna Makonda alishawahi soma Sec Na kutahiniwa Na Necta?Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Kwanini unamuamini gwajima kwa asilimia 100?Mkuu nakushauri kamsikiliza tena Gwajima kwani kwenye mahubiri yake ya wiki ilee,hakuna mtu anayeitwa paul C. makonda, maana hayo majina mengine ni ya kuungaunga, ila yupo mtuy anaitwa Paul C. M(sikumbuki kirefu chake) na huyu ukimuambiw aumeibiw ahawezi kukubali wala kuamini kwa sababu majina yalishabadilishwa badilishwa kutoka mwanza mpaka mbegani.
Nilishauliza humu kuwa yuko wapi Paulo halisi? wako wapi nduguze? Wapi kwao?wapi wanafunzi wenzie? Waliishia kunitukana na wengine wanatoa sababu eti Paulo halisi,rafikize na nduguze wanaogopaIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kama hawataki jeKwa nini apewe mzigo wa kujibu uzushi! Kwa nini hayo maswali wasijibu wahusika au walio na ukweli wawaoneshe hao watu hadharani, hata kwa picha tu!
Yule wa Bukoba anaitwa StevenKaka wa huyo Makonda alikuwa Mkurugenzi pale Kagera lakini alitumbuliwa last year.Sasa kama una uhakika na utimamu wa akili zako basi fanya utafiti ukianzia hapo, inaweza kukusaidia ukawa promoted na kuitwa Dr Nyani Ngabu!
Haoni tatizo lolote anaendelea na kazi yuko tayari kuwa sio kiongozi mzuri kwa mujibu wako. Unasemaje?Kwa sababu muungwana, mkweli, kiongozi wa dhati akizushiwa uongo anaoweza kuumaliza mara moja tu, anaujibu ili kutoiacha jamii ikae na sintofahamu.
Anayezushiwa ndiye anayejibu tuhuma.
Suppose hao wanaomzushia ni waongo. Na yeye ni Paul Makonda kweli.
Kwa nini hakanushi kwa ushahidi? Kwa nini anaachia wazushi wampake matope?
Kwa nini anaachia sehemu kubwa ya jamii iamini uzushi?
Obama alizushiwa na Trump kwamba hakuzaliwa Marekani. Akatoa cheti cha kuzaliwana kumaliza uzushi. Uzushi ule uliishia pale Obama alipotoa cheti cha kuzaliwa. Hivyo ndivyo kiongozi mzuri anavyotakiwa kufanya.
Kwa nini asikanushe na kuwashitaki mahakamani ili kuijulisha jamii ukweli na kuwaadabisha wazushi?
Wivu tu huo...kama wewe ndiye uliyemteua mtumbueMakonda atumbuliwe...hakuna namna
Hizi akili ni za Lema au zako?Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?
Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Wewe unaushahidi wa NECTA?, au unahisi tu?Hakuna mtu anaitwa Paul Christian makonda ndio mana hata ukienda NECTA hupati matokeo yake kamwe....
Kuna matokeo ya daudi bashite ambayo alipata zero na ndio jina halisi la mkuu wetu wa mkoa...
Daudi alichukua cheti cha Paul Christian muyenje kujiendeleza na elimu ya juu...baadae ndio akaongeza hilo makonda...
Ndio mana hadi leo daudi a.k.a makonda hawezi kukupa cheti cha form 4 chenye jina la Paul Christian makonda..msione kakaa kimya hana mwenzenu ahurumiwe...
Paul Christian muyenje hawezi kujitokeza kwa sababu yeye sio Paul Christian makonda ndio mana kumaliza mzizi wa fitna kaombwa vyeti hili hii ishu ikwishe.
Hana FB account?Wewe bwana mdogo acha uj.inga....hata kama asipojitokeza inafikiri angekiwa ana-exist nyie mungekosa hata kapicha kake ka kutupia humu kuwa ni flani na mtoto wa flani mzaliwa wa mahala flani.....dah msitufanye sie watoto
Mkuu Andrew ingia ulete ushahidi hapa,
Mie siiamini lolote mpaka awe guilty mahakamani,
Sina mkoko wa kuingiza huko TRA![]()
![]()
![]()
Makonda "halisi" hana akaunti FB?Kama alifaulu shule yupo wapi?Duh!
Leo naona hauko vizuri. Si kawaida yako kabisa. Eniwei, haina shida.
Binafsi sina tatizo na Gwajima. Ila nina maoni yangu juu yake na kanisa lake.
Lakini pia, ni ukweli mtupu kuwa Gwajima alisema kwa mdomo wake kuwa anavyo vyeti vya Makonda/ Bashite ofisini kwake.
Kwa hilo simsingizii. Kama namsingizia nionyeshe ni kivipi namsingingizia, tafadhali, na nitaomba radhi hadharani hapa hapa.