Miya
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 816
- 1,249
Muache atumiwe tu...sasa leo atarudi kawapa mujibu waliomtuma na chupi mkononi..Nyani ngabu anatumiwa.
Muache atumiwe tu...sasa leo atarudi kawapa mujibu waliomtuma na chupi mkononi..Nyani ngabu anatumiwa.
Kwan wewe umafikiria nini?Well, hata akili ya kawaida inahoji pia kuwa ni kweli huyo mtu yupo au hayupo?
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kwan wewe umafikiria nini?
Unakuwa km umetokea sayari ya Marcy,?
Hebu acha utani bwana,
Yatumie macho na masikio yako vyema,
Hili ni bandiko la mtu mwenye mawazo huru......na aliyeelimika.......
Kila mtu mwenye akili timamu na mawazo huru lazima atawaza hivyo.....unless kichwa chako kiwe ni boksi la wanasiasa......
Inashindikana vipi huyo Makonda halisi kwenda mahakamani...kumfungulia kesi Makonda bandia.....hali ya kuwa nyuma yake kuna mawakili machachali kama Lissu na Kibatala...!!??
Hizi ndio siasa za taifa letu....wanasiasa wamekosa ajenda kuu za kuijenga badala yake taifa limekuwa kama kijiwe cha wanywa kahawa.......
TIME WILL TELL....
Unategemea Tanzania hii atajitokeza mtu aseme ndio Paul?swali lingine ni wanafunzi na walimu wa Pamba na Kolomije waliosoma na Paul wako wapi?nasikia kuna ambao wamejitolea kuthibitisha lakin ni mahakamani tu kama mashahidi na sio kwenye media
Sasa kama walifanya crime kwa pamoja kwa makubaliano
mmoja anawezaje tena kwenda mahakamani?
Huyo Paul Makonda yeye hana account bank ama vitaburisho vya Taifa ama vya kupigia kura, yani yule original ?
Ama NSSF ama PPF ama pspf huko nani atanufaika na mafao ya uzeeni? huyo original ama huyu
Kwanini wanaotuhumu na kudai kuwa ushahidi upo wasilipeleke hili suala mahakamani....!!?
Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?Unahongwa na wauza madawa ya kulevya kuja kumchafua shujaa wetu wa Dar??
Kila siku makonda makonda who are you??
Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?
Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Hili halihiitaji kuonyesha hata barua toka kwa mjumbe,Vipi kama wewe ukianza walau kuutumia ubongo wako kwanza kabla hujaanza kunishauri mimi kutumia macho na masikio yangu?
Uzuri wa wabongo design yako na Ngabu mnajifanya hamjui kinachoendelea mtaani kuhusu vyeti;sasa Paul akashitaki kwamba alimpa mtu cheti?kwani kuna sehemu imeelezwa Paul hakutoa vyeti kwa hiari?Huyo Paul Makonda yeye hana account bank ama vitaburisho vya Taifa ama vya kupigia kura, yani yule original ?
Ama NSSF ama PPF ama pspf huko nani atanufaika na mafao ya uzeeni? huyo original ama huyu