Nam naomba nichangie udaku japo huwa cpend....mwanzo kabsa wa movie ya bashite mtumish wa mungu alituaminisha kuwa Daud Albert bashite alipata zero na kununua chet cha mtu anaeitwa Paul Christian muyenge...na akathibitisha vyet vya wote wawil anavyo lakn akatoa cku Tatu za kuombwa msamaha la sivyo atamchoma kwa watanzania...
Baada ya rc kukaa kimya Bila kumuomba msamaha cku Tatu zikawa zmekatka lakn mtumish wa mungu aka deviate story na kusema ana waleta majiran na walim waje wamwage mboga.. Daaah Hakka nayo ikapotelea hewan...tukasubil mwalim, cjui Mara mama fulan na matokeo yake kimya...
Sasa last week kurud na Jina lingne akidai kuwa huyu Paul Christian muyenge n Paul Christian manjala.... Yaan hapo mtumish wa mungu ameamua kutumia probability ya siasa chafu kutuaminisha..... Aisee bado nawaza...
Maswal kwa Rc ajitokeze kuongea issue za mitandaoni kama nan...? Je serikal ama uongoz unaendeshwa kwa kutumia social media....?
Nitamuona rc n mjinga sana kama atashughulika na kelele za kwenye social media.. Unless kama hao watu watipie complete information zinazohusu hilo swala Lake....
Hata kama wengne tulisoma kwa nguvu na jasho Jing, hii haimanish mtu akihtaj vyet vyangu kwenye social media nizioneshe huo utakua n upumbavu wa hal ya juu...
Mitandao n serikal nyingne kabsa...na wala haziwez kuingiliana na serikal zetu... Serikal ya kwenye mitandao Ina utawala wake, matuc, midharau na vibur ndo vmejaa...hakuna hekima ya kiongoz kwenye mitandao....
Ushaur Wangu kwa rc aendelee kukaa kimya Kwan ndo Silaha ya ukwel pekee...kujibu upuuz kwa watu wapuuz tena wenye I'd fake n upumbavu mkubwa usio kuwa na kichwa wala miguu...! rc endelea kukaa kimya mwenye uwezo atakupeleka police na ku file kes mahakaman....ucku mwema wana udaku wenzangu... Hakika mnajitahd kaharibu taifa hil maana wote kwa sasa wote tuna argue kama mizombi...
Sent from my E2303 using
JamiiForums mobile app