Uzuri wa wabongo design yako na Ngabu mnajifanya hamjui kinachoendelea mtaani kuhusu vyeti;sasa Paul akashitaki kwamba alimpa mtu cheti?kwani kuna sehemu imeelezwa Paul hakutoa vyeti kwa hiari?
Tatizo wabongo kama wewe hujiulizi huyo mwingine original anatumia jina gani huko kwao aliko, maana na yeye mlituambia ni mwajiriwa pia.