kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,930
Hapo mwanzo hapa kuwepo mtu aitwaye
PAUL CHRISTIAN MAKONDA
. palikuwepo watu wawili
Daudi Albert Bashite na Paul Christian Muyenji
Daudi baada ya kutumia kwa mafanikio vyeti vya Paul akaona isiwe soo akaenda mahakamani na kuapa kubadili jina kuwa sasa yeye Paul Christian Makonda
Kwa hiyo Daudi ndiye PCM
Tatizo hana cheti cha kidato cha nne chenye jina la PCM au DAB kipo cha PCMuyenji