namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 747
Dareda Centre walau,kiboko yake panda kule Dareda Mission ndio utasimulia,mpaka kule Mbulu. Halafu funga kazi maeneo ya milima/mpando wa Magara.Hapo nilikuwa sehem moja inaitwa dareda! Hapo baridi inapoanzia kuja mpaka hanang