Alafu inababua ngozi nyieeeNetembea karibia Tanzania yote, hakuna sehemu kuna baridi kama Makete, narudia hakuna, kule sio kabisa
Kiufupi baridi inakera yaani sitamani kukaa sehemu za hivo mwaka juzi nilkaa mufindi lakini baridi lake sio la kitoto ni linapenya kwenye mifupa,nilchubuka ngozi kuanzia kichwani usoni kote na midomo yote ilibabuka nikaanza kuota ngozi mpya,mwaka jana tena mkosi nikaenda mbulu huko interior jamani niljuta kule hata jua halionekani kizembe ni mwezi wa nane lakini nyazi zote ni kijani kibichi,mara nyingi asubuhi ni ukungu sema baridi lake haliingii sana kwenye mifupa kama la mufindi,kutokana na maeneo yote nilokaaa nasema hivi iringa ndo topHakuna baridi kali kama Mafinga, upepo ndio upo wa kutosha Makambako
Mbinga baridi ni kali sana asee[emoji2955]Wilaya ya mbinga noma sana
Kwa joto la juu yaani 38 hadi 40 labdaIlala
Temeke
Kinondon
Tabora hakunaga barid litakuwa limehamishiwa kwa muda hukoHili baridi la tabora cjui limetokea makete au Mbeya!
Lushoto, Mufindi na Rungwe. Haya maeneo yamenivutia sana.Ww kama mm. Nataka nitafute chimbo zuri hata katesh huko.
Inaanza iringa broMikoa inayoongoza kwa baridi
-Arusha
-Mbeya
-Iringa
Mkuu makete,Njombe, makambako,mafinga,iringaView attachment 1850820
Nilikua najua hakuna sehemu yenye baridi kama Lushoto sababu naijua, Siku nimeenda Makete nilichoka,
Kitu iligonga 4° Mchana nikiwa nashuhudiaa,
Makete si ndo kuna Kitulo huko!?Nimetoka kuwaambia hapo juu kuwa makao makuu ya baridi Tanzania ni Makete.. Hakuna sehemu yenye baridi Tanzania hii kuizidi Makete...
ndio ndio Mkuu kitulo ndio ipo Huko tunaiita bustani ya maua!Makete si ndo kuna Kitulo huko!?
Wakuu bila shaka ni wazima,
Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.
1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.
Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.
Nawasilisha.
aisee huku bankero ndy balaa kabisaSahv nipo hapa katesh naelekea mbulu baridi ni kali sio kawaida unaweza umwa ghafla kama hujazoea baridi