Wicknell Chivayo alikua wapi enzi za Magufuli?

Wicknell Chivayo alikua wapi enzi za Magufuli?

Panya walikuwa wamejificha shimoni hadi paka alivyoondoka sasa ndio wanatoka ndani ya shimo wanakula mahindi yaliyohifadhiwa stoo na mbaya zaidi wanakunya huko huko
Wanakula, wanakunya na kelele wanapiga hakuna wa kuwaondoa, stoo ni ya kwao...

Hawaogopi chochote
 
Jamaa alikuwa kapiga , alikuwa anajisaka. Amekuja kutoboa kuna kesi ya mikataba alishinda kutokea hapo ndio kama mnavyo muona leo.. ukiangalia picha zake za zamani analala kiberiti 😅
Ulikuwa mradi wa Solar akapewa $5m akaweka mfukoni mwaka mzima anakula bata tu
Ndio akakamatwa
 
Jamaa alikuwa kapiga , alikuwa anajisaka. Amekuja kutoboa kuna kesi ya mikataba alishinda kutokea hapo ndio kama mnavyo muona leo.. ukiangalia picha zake za zamani analala kiberiti 😅

😂😂😂😂
 
Na sio gari za kitoto jamaa anagawa hizo G63 AMG , RR Ghost RR kama njugu, hizo LC300 amezigawa sana .. kaamua kuacha legacy yake na hela alizopata. Na amaikatama serikali yao na ana uwekezaji wa maana licha ya deal zake.. jamaa kacheza na fursa na upepo.
😂😂 ana pepo la hela
Eswatini pia amepata madili
 
😂😂 ana pepo la hela
Eswatini pia amepata madili
jamaa ame win kutengeza network ya nguvu. Hapo hela ina mkimbiza yeye tuu 😅

Mie watu huwa wana mzonga , naishi kucheka tu, jamaa kaanza kuchota hela kabla ya kuanza muona hapa nchini😅
Jamaa mtu wa fursa
 
hapana,
ni vipande viwili tu gentleman.

ni upande wa lema na upande wa heche.
wengine ni kanyaga twende bora liende, wafuata mkumbo 🐒
Tunazungumzia Waliomziba Mdomo Yuda Bila Kufuata Taratibu
 
Back
Top Bottom