Wicknell Chivayo alikua wapi enzi za Magufuli?

Wicknell Chivayo alikua wapi enzi za Magufuli?

Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Huyo jamaa ni mwizi , tapeli anajifanya mwekezaji
Ukweli ni kwamba ndo anawasaidia viongozi wengi wa EAST AFRICA kuingia madarakani hadi ballot paper huwa anachapisha yeye.
So awamu hii kwa vile sio wazalendo wanajali matumbo yao ndo hivo ngoja nchi iuzwe bana
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
VIONGOXI WAISLAMU WA TANZANIA NI UCHAFU MKUBWA SANA ..NIKOSA KUBWA SANA KAMA TAIFA KUWAPA UONGOZI WAISLAMU HASWA WANAO AMINI KATIKA UISLAMU SIYO WAIDLAMU MAJINA...HAWA WAISLAMU MAJINA SIYO TATIZO.
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Ametumia uthaifu wa mamlaka kupitisha ajenda zake na kwa vile CCM yamejaa mang'ombe hayaelewi chochote
 
Kuna siku mjombako alisema hivi, "Kuna kikundi cha watu wachache wanataka kunipangia cha kufanya, Mimi nawaambia sipangiwi, Mimi ni Rais jiwe kweri kweri"

Sikumbuki ilikuwa kwenye inshu Gani alipotoa kauli hiyo, na sijui kama inahusiana na unachouliza.

Yule mzee nitamkumbuka sana
 
Huyu jamaa ni tapeli haswa na ameishaoamatwa kwa utakatishaji wa fedha
Ni mtu wa anasa sana na mpenda madem, na mpenda magari ya kifahari na kuingilana na wanyonge anaowapata
Kwa mjomba picha zisingeenda
Kwa mwili ule na mademu utamsingizia tu....atawafanya nini na unene wote ule?? Sema jamaa ni mtu wa deals kweli kweli na anajua kucheza na sheria za nchi....ukute ndo master wa kusimamia masuala ya pesa na ma deals ya viongozi kama alivo Abromovic kule Russia.
 
Back
Top Bottom