Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,615
- 10,117
Kuna jamaa nilisoma nae o level, A level akaenda ISM (international school of Moshi) chuo alienda Duke University sahivi ni matawi ya juu sanaUkitaja tusiime ama english medium za kati.. huwezi taja IST.. naona kama umeweka mfano ambao hauna uhalisia wa uzi.. IST watoto hawabebi begi kubwa na kufatwa na school bus alfajiri na kurudishwa jioni... uwezo wa ist unajulikana.. na sizani kama kuna member humu ana mtoto ist.. maana mitaa niliyokulia sijawai kuona mtu anasoma.IST
Chuo nimesoma udsm sijawai kuona mwanafunzi kasoma IST then akaja udsm... weka mfano wenye uhalisia ndugu