Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

Hapa Tanzania kuna shule za aina nyingi: INTERNATIONAL SCHOOLS kama vile, International school of Tanganyika humu ada ni mil 33 pre-school mpka mil 65 high school mdugu zake ni kina DIA , IIS, MIS ada mil 17 humu , kina st Constantine humu ada mil 22 - 60 high school ... hizo shule ni za wafanyabiashara hata wanasiasa hawapeleki watoto humu...hua ni wachache sana na wakimaliza hawafanyi kazi utumishi wa UMMA HAWA ...
GROUP NAMBA 2 :: FEZA BOYS AND GIRLS , na baadhi ya st Marry's humu ndio wamejaa watoto wa wanasiasa na matajiri wale wakina Andrew Chenge
GROUP NAMBA 3: ndio wapo kina Tusiime ,,st Francis .. Marian girls ( ada yao ndogo hawa usiogope )... jumlisha private zoote ikiwemo ile walioua Mwanafunzi nimeisahau jina
GROUP NAMBA 5 ... hapa zinaanguakia shule za seminary jumlisha mashule ya kiislam hayana gharama
GROUP NAMBA 6... hapa unakutana na mtakatifu KAYUMBA ( huku ile Darwinism theory SURVIVE FOR THE FITTEST ina apply vilivyo huku sasa ndio changanyikeni maskini wote unaowajua wapo huku... kutoka ni ngumu sana ndio mana wengi unaowajua waliotoka humu sio watu wakawaida anaweza akawa na PHD alafu kingereza hajui kuongea ukienda kumchungulia kwenye matokeo yake unaambiwa aliacha historia hapa haijawahi kuvunjwa...
N.B hivyo vigezo ni kulingana na Ada na mitaala inayotumika sio ufaulu ( performance) mana kuna za vipaji maalumu nazo huwezi kuziita ni mtakatifu Kayumba mana hazina vigezo ( mt Kayumba amejengwa na kuanzia 1996)
Shukran Umefafanua vizur Sana,

SASA tupe mtizamo wapi unaweza tegemea ELIMU BORA kutokana na maelezo Yako mazuri.
 
Mimi nataka tujadili swala la impact kwa jamii haswa hawa wa international na Kayumba? Sema Elimu ipo western tu na baadhi ya sehemu za Ulaya mtu akisoma nordic countries na Let say US au Canada aisee anarudi amefunguka sana na the way atakavyo iona dunia ni tofauti na Graduate Wa UDSM, UDOM au St Joseph mimi sioni utofàuti wa vyuo vya hapa ndani mana exposure still ni ndogo nimepiga story na baadhi ya studendts wa vyuo vya ndani ni almost the same ufikiri wao, Ila hemu sogea tu upige story hata na dogo wa high school international basi anakuwa kapunuka sana kimawazo
Nimewahi zama dormitories za chuo fulani kikubwa tu nkakuta madogo wanacheki ma movies ya kutafsiriwa kwa kiswahili
Naunga mkono hoja,
NORDIC countries wako mbali Sana kielimu
 
Wewe unaona kucheza simba au yanga nayo ni mafanikio. Watu wengi tu wamesoma international school na issues zao ni international. Sasa mtoto wa IST au ISM akafanye nini simba na yanga acha masihara na maisha ya watu bana😂😂😂😂
Mkuu umesoma IST?
 
Shukran Umefafanua vizur Sana,

SASA tupe mtizamo wapi unaweza tegemea ELIMU BORA kutokana na maelezo Yako mazuri.
Hao international wateja wao ni kwa ajili ya dunia nzima... ( elimu bora kwa ajili ya dunia - western education ndio hiyo sasa )
Ubora utakua unashuka kulingana na Ada ila ukitaka well formed individual kwa kuangalia nidham mpeleke seminary ...
 
Yaani diamond na samatta ndo unaona wanamafanikio?

Labda kutokana na umaarufu wao na historia za maisha yao.

Mbali na yote, elimu bora ni muhimu kwa ustawi wa jamii ijayo
 
Kuna watu humu wanajua kukuza mambo. Kiukweli shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi ni nzuri sana kama unajiweza zinampa mwanao ya kuwa exposed globally pia anatengeneza international platform nzuri sana, unakuwa na nafasi ya kujiunga na chuo chochote kile duniani as long as umefanya vizuri. Tofauti kabisa na mtu aliyemaliza shule za umma Tanzania hauwezi kuingia Ivy league colleges (Harvard, Stanford, Princeton, MIT, Brown) moja kwa moja kirahisi, ukimaliza vyuo kama hivi unaweza fanya kazi popote pia duniani.

Nimeona pia mtu kauliza wanafanya kazi wapi? Wengi huwa wakimaliza vyuo nje hawarudi kufanya kazi huku wanapendelea kubaki kule kule mf. Mohammed Dewji alifanya kazi miaka miwili wallstreet (1998-2000) baada kuhitimu chuo kikuu cha Georgetown nchini Marekani, huyu alibembelezwa arudi kuendesha biashara za familia. Wengi huwa hawarudi.

Baadhi wanaofanya kazi hapa wengi wanafanya kazi ktk makampuni ya mafuta na gesi, auditing firms as business analysts, international organizations na NGOs. Wengi hawafanyi kazi ktk serikali ambako ni rahisi kukutana mliosoma shule za umma. Nimefanya kazi na alumni wengi sana wa hizi shule IST na ISM wengi sana wapo auditing firms as business analysts hasa hasa delloitte nawafawamu 10 na wote wamesoma IST na vyuo wamemaliza Harvard, Dartmouth, Princeton na mwingine Chicago. Ukifanya utafiti wako vizuri utawakuta wamejaa hayo maeneo niliyokutajia.

Kuhusu mafanikio hii ni kauli pana ungetafsiri kwanza mtoa mada, Binafsi nawafahamu watu waliofanya mambo makubwa hapa nchini wamesoma shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi Mohammed Dewji ni mmoja wao amesoma IST na ISM zote. Pia usisahau kuweka fairness ktk sample space yako yaani waliosoma shule za kawaida ni zaidi ya asilimilia 99.99% hapa Tanzania dhidi ya kundi dogo walisoma shule za kimataifa.
 
Ukitaja tusiime ama english medium za kati.. huwezi taja IST.. naona kama umeweka mfano ambao hauna uhalisia wa uzi.. IST watoto hawabebi begi kubwa na kufatwa na school bus alfajiri na kurudishwa jioni... uwezo wa ist unajulikana.. na sizani kama kuna member humu ana mtoto ist.. maana mitaa niliyokulia sijawai kuona mtu anasoma.IST

Chuo nimesoma udsm sijawai kuona mwanafunzi kasoma IST then akaja udsm... weka mfano wenye uhalisia ndugu
Umepigilia spana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu wanajua kukuza mambo. Kiukweli shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi ni nzuri sana kama unajiweza zinampa mwanao ya kuwa exposed globally pia anatengeneza international platform nzuri sana, unakuwa na nafasi ya kujiunga na chuo chochote kile duniani as long as umefanya vizuri. Tofauti kabisa na mtu aliyemaliza shule za umma Tanzania hauwezi kuingia Ivy league colleges (Harvard, Stanford, Princeton, MIT, Brown) moja kwa moja kirahisi, ukimaliza vyuo kama hivi unaweza fanya kazi popote pia duniani.

Nimeona pia mtu kauliza wanafanya kazi wapi? Wengi huwa wakimaliza vyuo nje hawarudi kufanya kazi huku wanapendelea kubaki kule kule mf. Mohammed Dewji alifanya kazi miaka miwili wallstreet (1998-2000) baada kuhitimu chuo kikuu cha Georgetown nchini Marekani, huyu alibembelezwa arudi kuendesha biashara za familia. Wengi huwa hawarudi.

Baadhi wanaofanya kazi hapa wengi wanafanya kazi ktk makampuni ya mafuta na gesi, auditing firms as business analysts, international organizations na NGOs. Wengi hawafanyi kazi ktk serikali ambako ni rahisi kukutana mliosoma shule za umma. Nimefanya kazi na alumni wengi sana wa hizi shule IST na ISM wengi sana wapo auditing firms as business analysts hasa hasa delloitte nawafawamu 10 na wote wamesoma IST na vyuo wamemaliza Harvard, Dartmouth, Princeton na mwingine Chicago. Ukifanya utafiti wako vizuri utawakuta wamejaa hayo maeneo niliyokutajia.

Kuhusu mafanikio hii ni kauli pana ungetafsiri kwanza mtoa mada, Binafsi nawafahamu watu waliofanya mambo makubwa hapa nchini wamesoma shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi Mohammed Dewji ni mmoja wao amesoma IST na ISM zote. Pia usisahau kuweka fairness ktk sample space yako yaani waliosoma shule za kawaida ni zaidi ya asilimilia 99.99% hapa Tanzania dhidi ya kundi dogo walisoma shule za kimataifa.
Mkuu kongore kwako,

Umeweka mchango murua kabisa.

Kuongezea tu hapo, ajiulize wale vipanga O level/advance maarufu kama Tanzania one hajiulizi kuwa katika hizo nafasi anazoona ni za mafanikio.

Sio kuwa maarufu ndiyo kunakufanya uwe na mafanikio anayoyaona mtoa mada.
 
Nina Uhakika unaijua Google. Founders wake ni PhD holders. So hii inaifanya post yako kuwa fake!

Hao Mabilionea wengine!

Carlos Slim Helu
Chairman & CEO of Telmex, América Móvil and Grupo Carso
Age: 74
Net worth: $79.9 Billion
Major: Civil engineering

Mexican business magnate, Slim Helu, studied civil engineering at the National Autonomous University of Mexico School of Engineering, where he also taught Algebra and Linear Programming at the same time. He’s known as the “Warren Buffett of Mexico,” apparently, and his fortune comes from interests in such things as communications, real estate, airlines, media, technology, retailing, and finance.

Warren Buffett
CEO of Berkshire Hathaway
Age: 84
Net worth: $70.4 Billion
Major: Business administration, economics

In 1947, at age 16, Buffett – a.k.a. The Oracle of Omaha – enrolled at the Wharton School of the University of Pennsylvania as a business major. After two years he transferred to the University of Nebraska–Lincoln where at age 20 he graduated with a Bachelor of Science in business administration. He then earned a Master of Science in economics at Columbia Business School.

Carlos Slim Helu
Chairman & CEO of Telmex, América Móvil and Grupo Carso
Age: 74
Net worth: $79.9 Billion
Major: Civil engineering

Mexican business magnate, Slim Helu, studied civil engineering at the National Autonomous University of Mexico School of Engineering, where he also taught Algebra and Linear Programming at the same time. He’s known as the “Warren Buffett of Mexico,” apparently, and his fortune comes from interests in such things as communications, real estate, airlines, media, technology, retailing, and finance.

Source: What did the world's top 10 billionaires study at university? - Workopolis Blog
 
Naona umekuja kubishana bila sababu huku uzi wangu umeuelewa naongelea tusiime na shule za english medium za kati.. nitajie mtu mmoja aliesoma IST kisha chuo akasoma udsm.. ama ameajiriwa na serikali kama doctor, engineer ama fani yoyote ? Mtaje mmoja tu...
Wengi waliosoma kayumba wanafanyakazi halmashauri/serikali za mitaa.
 
Na Mimi nakazia hapo,
Tatizo tulilokua kua nalo hapa Ni mfumo wa elimu.

Mfumo unaongelea mpaka mitaala ya elimu.

Elimu tunayojifunza KAYUMBA na hao TUSIIME kuja kufanya mitihani ya NECTA imepitwa na wakati.

Ndo maana kwa elimu yetu hii sio ajabu,
Kumkuta ana PHD/MASTERS ya pale mlimani afu yupo yupo tu Hana RAMANI mtaani.

Ni kwasababu TU, elimu aliyonayo hajui haifanyie nini.

Kwahyo
Ukiona mtu katoboa kwa mfumo wetu huu,

Basi Kajiongeza kivingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika nchi kumi zenye mifumo bora ya elimu afrika Tanzania haimo.
 
Mb
Ili kufanikiwa kwenye maisha ya Kitanzania lazma uwe Aggresive kwenye kuchangamkia fursa. Ni km jinsi mchimba madini anavyopambana kutafuta dhahabu.Tatizo shule za English Medium zinamfundisha mtoto kana kwamba life is very smooth and common with the same formular. Uzungu uzungu sana.

Lakini kiuhalisia ili kufanikiwa kimaisha lazima upitie hussle nyingi ikiwemo kufanya kazi za dhihaka,kulala chini,kuokota makopo, kushinda porini n.k Watoto wa English medium wanafundishwa aina fulani wa maisha ambayo hayapo kwenye jamii yetu kwa kiasi kikubwa. Ndio maana wakimaliza shule wanaishia kutembea na bahasha tu

Watoto wa Saint Kayumba wanasoma katika hali ya kumfanya mtoto apambane. Hakuna kudeka deka kule. Mtoto anaenda shule kabeba fagio,begi,jembe, na dumu la maji. Tayari anaanza kufeel machungu ya maisha mapema na kuanza kumjengea hasira ya kuwa mpambanaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wengi wa hao watoto wa kayumba ndo waendelea na hayo maisha ya kubeba fagio na majembe hata baada ya kumaliza shule!
 
Halafu hao waliofanikiwa kupitia Kayumba watoto wao wanawapeleka private! Unajifunza nini?

Hata hao uliowataja hawajui kama mafanikio yao yametokana na wao kusoma Kayumba pengine ndo wamesikia leo kutoka kwako.

Kuna Doctors, Pilots na Engineers kibao tu wamesoma private.

Kuna vipaji na jitihada binafsi ambavyo havitegemei hata mchango wa elimu ya mtu.
 
Habari wadau..

Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba?

Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ?

Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza...

Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na school bus saa 12 asubuh na kurudi saa 10 jioni au saa 12 jioni. Zinaweza kweli kumuandaa samatta au mchezaji hata wa yanga na simba mbeleni

Nawaza diamond wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli

Nawaza magufuli wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli?

Nawaza mwanangu nimpeleke goverment school kisha niwape walimu hela za tution shuleni kwake.. na kisha ada ambayo ningelipa tusiime nijikaze na kujitahidi kumjengea kila mwaka chumba kimoja...

Target kila mwaka chumba kimoja... ili nikishindwa maisha wapate hata pa kupangisha kama nikiondoka duniani...kuliko kupeleka ada shule ambazo imetokea corona ya miezi miwili tu zinanyanyasa walimu. Shule haziruhusu talent zinakomaa na mtoto siku nzima anashinda darasani hapati hata muda wa kucheza
Jiulize kuna Diamond wangapi tanzania. Na Samatta wangapi. Na Magufuli wangapi. Na ni watoto wangapi wanaosomea shule za kayumba. Kisha jiulize kuna makampuni na biashara binafsi ngapi zinazoendeshwa na waliosoma international schools? Jiulize ni wangapi wamesoma kayumba ila wanahangaika mitaani. Kisha linganisha na hao wa international schools. Mafanikio sio lazima kuwa diamond, samatta au magufuli. Diamond ni mmoja kati ya milioni 60. Chances za kuwa diamond ni very very little. Lakini chances za mtu kuwa na upeo mkubwa wa maisha, kujiajiri na kufanikiwa ni mkubwa zaidi.

Kiukweli shule za private nyingi ni bora zaidi. Lakini mwisho wa siku, cha muhimu ni shule iwe na muelekeo. Haijalishi ni ya kayumba au english medium. Za kayumba nyingi hazina mwelekeo. Ukipata yenye mwelekeo mzuri ni sawa. Otherwise, english medium ni nzuri lakini pia mtoto asizoee sana dezo dezo tu. Ajifunze kupambana tokea akiwa mdogo.
 
kama mtu huna ela ya mawazo hizi ism ist braebn ndo shule za kumpeleka mtoto akasome aiseee
ila hizi english medium nyingine hazina tofauti sana na kayumba
kama ni vitabu wote ni kama wanatumia vya aina moja hii ni tofauti kwa ist na ism uko
yaani kitabu cha biology nilichotumia mimi mdogo wangu wa tatu nae eti anatumia hichohicho hahahaaa mfumo wetu wa elimu bhana
wakati ist ism mambo wanavyofundishwa hubadilika naskia kila baada ya mwaka mmoja au miwili
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom