Kwa hiyo waendelee kuua ili tupate na university,acha kuwa uvivu wa kufikiri hizo tuhuma za mauaji zingehusu ndugu yako ungekuj na huu upuuzi?Afadhali hela zao zinaonekana zinafanya nini. Mashule (Seminary zote za Katoliki ziko juu katika Elimu) Hospital za Katoliki huwezi kulinganisha na za Serikali.
Sitaki kusema haiwezekani kwani hata Papa ni Mwanadamu ila kama ni kweli nadhani issue ni individual na si Shirika
Nikilinganisha hizi habari, Raiamwema siwaelewi kabisa
Rwanda yatajwa kifo cha Prof. Mwaikusa | Gazeti la MwanaHalisi......
Mimi jameni nalisubiri hilo toleo, endapo watakuja na makuu zaidi, bado kwa kuwa walisema itaendelea ni mapema mno kusema kuwa wana vielelezo dhaifu, ila keshokutwa tutajua walilolianzisha endapo lina mashiko au la.Hizi zinaonekana ni juhudi za kulichafua kanisa katoliki kwa hadithi za kuungaunga.
Hii habari ya Mwaikusa itaendelea toleo la kesho kutwa jumatano. Tuone kama Raia Mwema hawatakata kona na kupiga rivasi.
Hilo ndio kanisa! ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Mwanahalisi walikuwa wanafanya uchunguzi na uchambuzi wa kina ambao hata kuwashtaki ilishindikana ndio maana serikali ikatumia uamuzi wa mezani kupitisha rungu lake kutokana na kuabishwa yanayojilifichika. Raia mwena huwa mimi si msomaji wake, kwani uchambuzi wao hauko makini, wanachukua habari za vijiweni na kuziweka ukurasa wa mbele na kuzipa uzito wa juu.
Mkuu hata timing yake ni highly questionable - kuna kitu wanataka ku-pre empty hapa! Kuna wakati fulani mwandishi mmoja alikuwa amepania kupotosha habari kuhusu mapinduzi ya Zanzibar - anawasema vibaya wakina Okello na wengine, yaani anaonyesha wazi wazi chuki zake binafsi na kujaribu ku-water down efforts za watu walijitolea muhanga!
Mwenyekiti wa gazeti la RaiaMwema Bwana Ulimwengu ni mtu mahili sana, amewahi kufanya kazi Serikalini na anajuwa mambo mengi sana including ukweli kuhusu kilicho jili wakati wa wapinduzi ya Zanzibar; mimi nilikuwa najiuliza maswali mengi: kwa nini alikuwa anaruhusu wandishi wa habari kupotosha ukweli kimaksudi!!
Hapa ndio mtanzania katoa bonge la hoja kwa mada nzito kama hiyo. Kweli Mtanzania huwezi kumtetea WALA KUMSAIDIA.
Leo nimefahamu kwanini JK alikiri kuwa hajui kwanini Tanzania ni masikini? Nafikieri hakujua kama ni umasikini wa rasilimali au AKILI?
Mwenyekiti wa gazeti siyo mhariri wa gazeti.
kukutwa kwa sahihi zao pekee sio sababu inayojitosheleza kuwahusisha na mauaji
lazima kuwe na supporting evidence kama alama za vidole, mawasiliano yao ya simu na wauaji
vitisho ambavo walishawahi kuvitoa kwa prof kama vipo,
any unsual movement au mahusiano shaka kati yao na marehemu
au kama kuna any transaction walitoa bank kuwapa wahalifu nk
lazima kuwe na strong evidence
mere signature does not qualify as a supporting evidence to hold liable the two mention people as suspects
mwenye kuwaza hivo ni layman au bush lawyer
ndio maana magazeti ya nchi za wenzetu makala kama ni ya kisheria anaandika legal analyst ambae ni lawyer
kama ni uchumi anaandika mchumi sisi huku mtu wa form 4 tena div 4 ndio mchambuzi wa kila kitu
mkuu mbona hiyo picha inaonyesha kama hapo ni TOSAMAGANGA IRINGA? au macho yangu? ama mazingira yanafanana?
Am afraid this might be a flip flop to mislead and misdirect truth and evade true perpetrators away from the book. Sijaona insurable interests za kumfanya Prof, ambaye alikuwa just a company secretary kuuawa na share holders (or people claiming to have insurable interests thereto). Am afraid this passage leave so many stones unturned, henceforth doesnt hold the issue water-tight.
That's my opinion.
kukutwa kwa sahihi zao pekee sio sababu inayojitosheleza kuwahusisha na mauaji
lazima kuwe na supporting evidence kama alama za vidole, mawasiliano yao ya simu na wauaji
vitisho ambavo walishawahi kuvitoa kwa prof kama vipo,
any unsual movement au mahusiano shaka kati yao na marehemu
au kama kuna any transaction walitoa bank kuwapa wahalifu nk
lazima kuwe na strong evidence
mere signature does not qualify as a supporting evidence to hold liable the two mention people as suspects
mwenye kuwaza hivo ni layman au bush lawyer
ndio maana magazeti ya nchi za wenzetu makala kama ni ya kisheria anaandika legal analyst ambae ni lawyer
kama ni uchumi anaandika mchumi sisi huku mtu wa form 4 tena div 4 ndio mchambuzi wa kila kitu
Below is an extract from the report
"Taarifa zinasema akiwa mwakilishi wa Shirika la
watawa hao, Profesa Mwaikusa alisimamia sheria
akiwataka watawa hao kufuata sheria katika
kuuchukua mgodi huo wa Lukarasi, msimamo
ambao hawakukubaliana nao kutokana na
mazingira ya usiri katika umiliki wa mgodi
wenyewe, usiri uliowanufaisha zaidi watawa hao."
Candid Scope,
Mbona unaongea kwa uhakika sana kama vile kwamba hao jamaa wa Peramiho hawawezi kuhusika? Unajua kashfa ya benki ya Vatican miaka ya 1970-80 ambapo kuna watu walijinyoga (sehemu ya scandal hiyo imo katika sinema za Godfather). Sijui kwa nini unaona hao watu hawawezi kufanya uhalifu. Pia unaweza kusoma kitabu cha "In the Name of God" cha David Yallop kuhusu kifo cha Pope John Paul I. Hivyo stori hii ya Mwaikusa huwezi kui-dismiss tu ati kwa vile wamisionari wa Peramiho walijenga shule, hospitali, vyuo, etc. Udhaifu kwa stori ya Raia Mwema inawezekana kuwa hawana uthibitisho wa kutosha tu na au hawaku-research kwa undani, kwani kwa Mwaikusa kun "conspiracy theories" nyingi tu.
Lokissa