Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,967
- 14,699
Guy guy guy guuuuuuuuuuuy.. De finest from KG
Guy guy guy guuuuuuuuuuuy.. De finest from KG
Kisses 💕
Huyo mchovu tuu hawezi tusumbua kakaSafi ndugu naona Leo mmepiga arsenal 😀😀😀
Dah 😁 masikini akipataHuyo mchovu tuu hawezi tusumbua kaka
Ila haya maisha bwana, eti secretarybird huyu jamaa Castle_Lite anamtaja Lamomy eti nae ni cool guy, mtu muda wote ana nongwa utafikiri ana endless ovulation ndio cool girl
View attachment 3534432
Asante ice.
Kipofu kauona mwezi😁😁😁polee sana, ndiyo hivyo nishakupiga na kitu kizito
Kwa nini?Hapana sio kweli
Mbona hujaweka caption 🤣🤣🤣
Oh!! Ngoja...Mbona hujaweka caption 🤣🤣🤣
Amen 😁😁Oh!! Ngoja...
Ndugu yangu ahsante.min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .
Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.
Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.
Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.
Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally
Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf
Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.
adriz : hapendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
Heee. Kumbe we ni wa nyumbani. 🤪Dosho ni jina la kidigo, hivi hakuna mdigo humu aje athibitishe😁
Kwa sababu sio kweliKwa nini?
Ahsante sana Twinnie.mshamba_hachekwi nae hajawahi kugombana huyu
Na dada yangu mpole of all time Shadeeya
Bado kidogo nimtaje Carleen nikakumbuka kitu 🤣