Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,157
- 92,641
Wewe ndo coolest gal in JF, hauringi kama hawa wengine😁Kwa hiyo mi hunitaji hata kinafki bablai?
Yeah, you are.cool guy eeh 🤣
Mwenyew nimeanza kupata mashaka sasa😂Mbona kama mmepania mwenzenu alie machozi ya damu
Wewe ndo coolest gal in JF, hauringi kama hawa wengine😁
Hahaha kiasi fulaniKwamba mimi ni coolest kidi?
Labda inaweza kuwa hivyoHahaha kiasi fulani
Huyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.Kwani @Seran nae jinsia gani? 😂😂
Brother dosho usimuongeze machungu si unajua anachopitia arsenal sasahivi
Ila Seran huyu itakuwa ni mdada japo mtata 😅😅😅
We mshamba mimi ni me, ohoo😆Huyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.
Nae ni wa kike 🤦♀️Huyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.
Ila nisije kuingia kichwa kichwa jf hatueleweki 🙌🏾😅Kwahiyo kijana umeshaikagua mara hii tu🙆🏽♀️
Mi na dosho12 jinsia yetu moja yani hatujielewi so far😆