Mbeumo atamtoa roho 😅😅😅😂😂 Brother Dosho yupo offline
Mbeumo atamtoa roho 😅😅😅😂😂 Brother Dosho yupo offline
ME wapi wewe una nguvu za kike kabisa.We mshamba mimi ni me, ohoo😆
We shauri yako litakukuta jambo😆Ila nisije kuingia kichwa kichwa jf hatueleweki 🙌🏾😅
Nishaanza kupata wasiwasi juu yako subir niendelee na upelelezi 😅We shauri yako litakukuta jambo😆
Ndio zikoje hizo🤣ME wapi wewe una nguvu za kike kabisa.
😅😅😅umepatia Seran, we're the coolest!!
Vip game? Manjesta tushamtafuna mtu?Mbeumo atamtoa roho 😅😅😅
Huyu mwana chama mwenzangu wa ulabu hana baya
Unavyoandika kwa mapozi na kujishebedua mkuuNdio zikoje hizo🤣
Bwashee the speed at which you like comments sio ya Tanzania, hii uniambie unaitoa wapi, au mangi umekuwa robot?😅😅😅Huyu mwana chama mwenzangu wa ulabu hana baya
Waambie hao 😹😹Lamo ni mpole mno sema hamja mwelewa tu