Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,758
Kapteni Tesha 😃.
Haya andika apa details😆Mnitumie mgao wa keki 😎
Dela gawiza😅 Mi mdigo kwa mzee na msukuma kwa mama
Kama kawa braza wa KigamboniBrother mambo vipi upo gudi?
Kheri ya mwaka mpya brotherKama kawa braza wa Kigamboni
Hebuuu niache bro 🤣Kheri ya mwaka mpya brother
Unatumia bia gani nikuagizie hapa😎Hebuuu niache bro 🤣
Unatumia bia gani nikuagizie hapa😎
😀😀😀 Poa poa brother wasalimie sana hapo mtaani kwenuUkisikia mtu anasema nakunywa bia usimuamini bro
Situmii hizo vitu
Abee nimekuja
Ni kweli wewe ni mtulivu ,sijakutaja bahati mbaya tuAbee nimekuja
Mimi mtulivu sana kwakweli nimejipakulia minyama 😂
Shukrani sanaNi kweli wewe ni mtulivu ,sijakutaja bahati mbaya tu
Location si ile ile mkuu 🔥min -me , MENEMENE TEKERI NA PERESI , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
Kuna offer ya pombe kwenu kakaa
Najua wiki ijayo utabadilisha acha nilitunze hili faili 😅😅 Mi mdigo kwa mzee na msukuma kwa mama