Who is the coolest guy in JF?

Who is the coolest guy in JF?

Kiranga,
Ukeleta masuala ya ad hominem logical fallacy anakutupa kwenye dustbin (ignore list).

Harmful,

Huwa nakunywa naye pombe na hana baya.

Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, ni watu wapole na watulivu japokuwa Monetary doctor huwa nakosana naye pale anaposhindwa kunipa heshima yangu Mimi baba yake.
Kaka,
Na refer alisema iviii wewe Huna majivuno, hujisifii, hujioniii , unaongea na watu wotee, huna matusi (lugha mbovu) una jitoa sana kwa watu na wadau mbalii mbalii..

secretarybird
 
Back
Top Bottom