Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,750
financial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
financial services hana shida na watu huyu dada
financial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Mi mpole sana mwaya usisikilize maneno ya watu☺️😁 mi huwa namuona ni mpole
Si ndo maana ya coolest dude auhajaanza ile safari kweli?
Kwamba mimi ni coolest kidi?
Anajua siwezi mi kapoole😂Seran anataka kukuzamisha baharini, ushasahau 😂
Naona cool guy ndio unaingia. I hope hujatenda dhambi leo.
Kasoro wewe mzee baba😂 mwaka wkao huu nenda tu kwa mama wa5 huna jinsi..Hawa wote waliotajwa ni macool people au sio ?
Twende nikakubatize dosho unakosa bahati 😂Dah! Inabidi nikaoge maji ya bahari, kwa nini ulikuwa unahisi hivyo 🤔
Kula tano mwanangu👊🏾mshamba_hachekwi nae hajawahi kugombana huyu
Na dada yangu mpole of all time Shadeeya
Bado kidogo nimtaje Carleen nikakumbuka kitu 🤣
Kula tano mwanangu👊🏾
cool guy eeh 🤣Naona cool guy ndio unaingia. I hope hujatenda dhambi leo.