Who is John Tendwa?

Who is John Tendwa?

Hivi ina maana mzee wa sauti ya umeme kama hayupo, data hazipatikani!!!

inafsi nilianza kumsikia alipochaguliwa kuwa msajili wa vyama vya siasa. Nothing more.
 
Wala sijachanganya madesa, hicho ndo watu wanachokitafuta humu, just think of the timing

When would this have been asked without the question of timing? TIMING! every day is the timing.
Mbona Rais tunajua wasifu wake?

Kumbuka mtu yeyote anapokuwa kwenye mabango ndo tunataka kumujua zaidi na zaidi.
 
John tendwa aliwahi kuishi lindi na kisha mtwara kidogo na personally namkumbuka alivyokuwa mnywaji sana wa pombe hadi kupoteza fahamu na kuipa familia yake machungu makubwa, ila baadae kidogo mzee Mkapa akamuhamishia Dar na kumteua kuwa msajili wa vyama.

Basically yeye na mzee Mkapa wamefahamiana akiwa Mtwara.

Nahisi mabaki ya tabia hizo bado yapo maana akihojiwa ndo utashangaa. Ni kama kalewa. Na ana udhaifu wa kutojua kuchagua maneno ya kuzungumza.

Hebu tupate alikopitia koote kwanza.
 
Mtoto wazo lako zuri sana. Hapa wewe si mtoto tena. Nadhani muhimu kulifanyia kazi na katika muda si mrefu katika kile kinachotarajiwa kuonekana suala la CV litazingatiwa kwa mapana yake

uwe una bonyeza kile kidude cha 'thanks'!
 
Hilo pingamizi kushinda ni ndoto za Alinacha.
Haiwezekani ni kama kukusha bahari kwa ulimi.
Hii nchi inaendeshwa Udikteta uliokubuhu.
 
Ndiyo maana Slaa anasema akiingia ikulu kazi yake ya kwanza ni kubadili katiba kwa sababu rais amepewa madaraka makubwa mno. Kitendo cha kumuita Tendwa ikulu ilhali akijuwa amewekewa pingamizi kinaweza kutoa tafsiri tofauti kabisa.
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito wa Tendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Yale yale . . . hapa ni issue ya Utawala Bora.

Kama marekebisho hayatafanyika katika maeneo ya Msajili Huru wa Vyama, Tume Huru ya Uchaguzi; TAKUKURU huru nk. Mabadiliko ya kweli ya kimaendeleo, kidemokrasia na kiuwajibikaji itakuwa ni ndoto . . .

Kunatakiwa pressure ya ziada zaidi ya Uchaguzi!
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito waTendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Na wewe hizi ni hisia zako tu, kwa nini unataka tuamini hisia zako za Ngurumo tusiziamini una sababu.
 
But why would Tendwa go to the state house amidst the general election campaign(s)? Something is clearly fishy about that if indeed what is being said is true....
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito waTendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Akili yako na ya Kikwete ni sawa sawa tu. Unadhani ukiwa Ikulu basi usifuate sheria? Watu kama nyinyi mgekuwa nchi kama china usingelikuwa bado upo ardhini ukivuta hewa ya bure
 
though we are not sure wat transpired during the meeting, but any reasonable person would consider this meeting fishy and impairing the upcoming election!
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito waTendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

kweli wewe bobishi... maana unafuka aisee
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito waTendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Demokrasia haitakuzwa na Tendwa personally, bali na Watanzania wenyewe kupitia katiba nzuri, na Tume huru ya Uchaguzi!
 
Ni upumbavu kukataa kukubali kuwa kikwete anajaribu kumpa maelekezo,labda hata tishio na au rushwa akipata urais tendwa aule zaidi.na tendwa kama hakimu anakutana vipi faragha na mtuhuhumiwa? Au elimu yake ni ualimu wa chekechea tuliowaona akiwafundisha?
 
But why would Tendwa go to the state house amidst the general election campaign(s)? Something is clearly fishy about that if indeed what is being said is true....

Extremely fishy I will agree with you! When you have a pending investigation against you, you do not summon that person to your high office and seek whatever clarification you may want from his office! Indeed in the normal way of doing things, if you have been suspected of wrongdoing in a public office, you are asked to stay aside to allow investigation. With what was aired yesterday (was it by ITV) and this clandestine visit to JK by Tendwa we cannot expect justice being administered. This is pure dictatorial political regime in our motherland! BUT WE SHALL OVERCOME ONE DAY!!!!
 
Tunataka Tendwa kabla ya kutoa uamuzi wake atueleze alikwenda kufanya nini kwa mtuhumiwa, kama anataka hukumu yake iwe fair basi akutane na upande wa pili vinginevyo whichever atachosema tujue ameagizwa na mtuhumiwa na hatutoshangaa, PERIOD.
 
Back
Top Bottom