Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 46,618
- 66,801
Tangu nimepata akili za kufuatilia siasa wasajili wa vyama vya siasa ninaowafahamu ni John Tendwa na huyu wa sasa Francis Mutungi,
Sina kumbukumbu kama katika kipindi cha miaka 15 kumekuwa na wasajili wa vyama vya siasa zaidi ya hao wawili, lakini sijawahi kuona tengeua tengeua katika hiyo nafasi yao. Hii nafasi ya msajili ina ulinzi wa kazi(job security) kama CAG, jaji au gavana wa BoT? Au kwa nini hawatenguliwi mara kwa mara?