Who is John Tendwa?

Who is John Tendwa?

...Mwanzo nilidhani John Tendwa ni msomi. Halafu nikajiuliza hivi: kama ikitokea mwanasheria huyo anapelekewa kesi ya kidemokrasia dhidi ya CCM anaweza kuhukumu kwa haki? Jibu nimelipata jana alipokuwa akitoa hitimisho la pingamizi la CHADEMA dhidi ya Jakaya Kikwete (wa CCM) kwa kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi, 2010 na Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2010 ambayo CCM imeyaridhia na kuyasaini.

Nachelea kumwita John Tendwa kuwa ni "zezeta" na vilevile naogopa sana tena sana kumwita John Tendwa "mdomo wa CCM'...kama mfuatiliaji mzuri wa maongezi ya viongozi waandamizi wa CCM juu ya sakata la Jakaya Kikwete kuvunja sheria na maadili ya uchaguzi unaweza kugundua kwamba hukumu ya John Tendwa ilitegemewa na watu wenye akili timamu kuwa itakuwa kama ilivyokuwa. John Tendwa amehukumu pingamizi la CHADEMA kama CCM walivyotaka. Hata hivyo, lazima ieleweke kwamba John Tendwa ni:
  1. Mwajiri wa Jakaya Kikwete - kwa kuwa ndiye Rais Mtendaji na mwenye madaraka ya Kiongozi wa Nchi;
  2. Msajiri wa Vyama vya Upinzani na si CCM - kwa kuwa CCM ni chama dola;
  3. Msemaji wa CCM - kwa kuwa kila mara anawasemea na au analazimika kupokea maneno ya CCM na kuyatia kinywani mwake; na
  4. Mtu anayejiamini sana kwa kutumia nguvu ya nafasi yake kama mwajiria wa CCM = Serikali + Chama.
Binafsi, sikushangaa na yote yaliyojitokeza juu ya pingamizi lenyewe - hata akikabwa koo hawezi kutoa hukumu ya haki kwa vile analinda maslahi ya chama chake (CCM). Kwa ujumla, hakuna taasisi ya demokrasia Tanzania inayofanya kazi kidemokrasia - Msajiri wa Vyama, Tume ya Uchaguzi na hata zile nyeti - zote zinafanyakazi kwa utashi na maslahi ya CCM...Demokrasia ya kweli Tanzania inahitaji mabadiliko ya haki, usawa na uadilifu juu ya Katiba ya Nchi. Katiba tuliyonayo sasa haina meno na mashiko ya kisheria katika kulinda na kutetea demokrasia. Hatuna budi kung'ang'ania katiba mpya yenye misingi yote muhimu ya demokrasia ya kweli. Kama Kenya wameweza, Tanzania tushindwe tuna nini?
 
Matokeo yake yalikuwa wazi jinsi yalivyojihidhirisha. Ndio maana kuna haja ya kuundwa kwa katiba mpya ambayo inazingatia vyama vingi. Mfumo wa sasa ni mfumo wa chama kimoja cha udikteta na vyama vya upinzani vimepachikwa humo ili kuleta kukubalika katika jumuia ya kimataifa. Vyama vingi vya upinzani ni miradi tu ya kuwapa wachache ajira kupitia ruzuku na uhalalishaji wa ccm kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi. Kwa bahati mbaya kwa ccm, Chaema mwaka huu wamegeuka na kuwa chama halisi cha upinzani, hivyo kuweka spana katika mitambo ya ccm ya kuchukua utawala kwa miaka mitano ijayo.
 
Huyu mheshimiwa hivi u Dr.wake ni wa kupora wake za watu, du hii ni kali ya mwaka. yeye si Dr. Makombora si angetungua kitu kipyaa????? sasa akina OBAMA wa USA halahala kuja TZ na ma firstlady wenu atakapoingia hekaluni kwani watatunguliwa kwa staili ya B52.
 
Najiweka pembeni, maana kama ingekuwa kwa watani wa jadi, angekuwa analindwa 24 hours toka aandike barua zake.

Anyway Invisible kamata hii:

President Benjamin Mkapa has appointed a senior state attorney, John Tendwa, the new registrar of political parties. A statement issued by the Tanzania Information Services (Maelezo) in Dar es Salaam yesterday, said that Tendwa replaces the former registrar of political parties, George Liundi, whose term of office has expired.Liundi is contesting a parliamentary post in the East African Legislative Assembly (EALA).

Source: NewsLibrary.com - news archive, clipping service - newspapers and more

Sasa nisaidieni: Huu Ujaji aliupata lini na nani alimteua?
 
Wakuu,

Nasikitika zaidi ya kujua kuwa John Tendwa ni Msajili wa Vyama vya Siasa (Registrar of Political Parties) nchini lakini nashindwa kupata background yake kabisa.

Kama kuna wadau wanaweza kunisaidia (naamini itawasaidia wengine) kuweza kumjua vema ni nani, ametoka wapi, na hapa alipo tutarajie wapi ataelekea... (I doubt anaweza kuingia kwenye siasa na akawa upande wa chama 'flani').

Natanguliza shukrani kwa watakaonipa ushirikiano katika hili na huenda ikawasaidia wengi

==========
FROM HIMSELF (Tendwa):

Ametokea Mahakama ya Kazi ambapo alikuwa akifanya kazi kama Incharge alikotokea kuwa Msajili wa vyama vya siasa.

Amefanya kazi ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa muda wa miaka 23 (yeye ni mwanasheria, hakutoa details kwa kirefu; mwandishi wetu atahojiana naye na kutupa kwa undani)

Mimi ninamfahamu kama puppet na traitor kutokana na utendaji wake wa kazi!
 
Wakuu,

Nasikitika zaidi ya kujua kuwa John Tendwa ni Msajili wa Vyama vya Siasa (Registrar of Political Parties) nchini lakini nashindwa kupata background yake kabisa.

Kama kuna wadau wanaweza kunisaidia (naamini itawasaidia wengine) kuweza kumjua vema ni nani, ametoka wapi, na hapa alipo tutarajie wapi ataelekea... (I doubt anaweza kuingia kwenye siasa na akawa upande wa chama 'flani').

Natanguliza shukrani kwa watakaonipa ushirikiano katika hili na huenda ikawasaidia wengi

==========
FROM HIMSELF (Tendwa):

Ametokea Mahakama ya Kazi ambapo alikuwa akifanya kazi kama Incharge alikotokea kuwa Msajili wa vyama vya siasa.

Amefanya kazi ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa muda wa miaka 23 (yeye ni mwanasheria, hakutoa details kwa kirefu; mwandishi wetu atahojiana naye na kutupa kwa undani)

Search results
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Did you mean: john tenda

There were no results matching the query.
 
Watu wengi walioko kwenye nafasi nyeti hapa nchini wanapwaya Msajiri wa vyama vya siasa akiwa mmojawapo.
 
Tendwa is a mysterious man ,muacheni awe hivyo ni mtu makini anastahili kuwa hapo alipo sijaona kosa lake hadi sasa labda tu amekuwa lenient sana na vyama vya siasa kutowakilisha kwake mchakato wa matumizi ya ruzuku.Otherwise yupo safi anafaa.
 
Thats serikali ya ccm. Walizaliwa kuongoza wananchi milioni 43 wanapotaka wao na kuwekana. Jamaa hana experience yeyote ya hii kazi na tunaona jinsi gani anafanya kazi kama makinda, nani anaamini makinda ni spika Tanzania? Nani anaamini kikwete, Rostam ni viongozi wa Tanzania? Only in Tanzania these things can happen ......
 
Kipindi fulani alikuwa State Attorney kule Tabora.

Ila nasikia katika tukio moja kubwa wakati akiwa katika nafasi hiyo ni pale ambapo alichukua mke wa mtuhumiwa ambaye kesi yake alikuwa anaisimamia upande wa Jamhuri na hatimaye kufikia kumweka kinyumba na baya zaidi siku mojawapo ya usikilizaji wa shauri ilo eti Tendwa aliingia mahakamani akiwa na suti ya mtuhumiwa na kupelekea mtuhumiwa kuanzisha fujo mahakamani kwa kumwambia; mke wangu umenichukulia na suti yangu pia umeivaa tena kuja kwenye shauri la kuja kunifunga?

Mwenye stori kamili juu ya hii skendo amwage hapa jamvini... mi nimeipata mtaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good question, i mean thread imechelewa lakini si sana,kama tungefanya hivyo kwa Balali ambaye alikuwa maybe raia wa marekani, maybe tungesave ufisadi mwingi sana...

Hatuna utaratibu wa vetting kwenye nafasi muhimu zinazohusisha demokrasia ya kweli, zenye kuhusisha kuwatumikia wananchi wote kama watanzania na si wana ccm,chadema ama CCJ, nafasi zenye ku deal na usalama wa Taifa ie mkurugenzi wake, waziri wa mabo ya ndani nk,jeshi nk...

Ni muhimu bunge liwe linawapitisha watu kama hawa, naona siasa za vyama vingi ni maneno tu lakini mazingira hayaruhusu ama yana ukiritimba!

Ni kama CCM wanavyopractice ufisadi wa kibepari na wakati itikadi zao ni za kijamaa...Tufumbue macho!
Katiba mpya
 
Back
Top Bottom