Who is John Tendwa?

Ni upumbavu kukataa kukubali kuwa kikwete anajaribu kumpa maelekezo,labda hata tishio na au rushwa akipata urais tendwa aule zaidi.na tendwa kama hakimu anakutana vipi faragha na mtuhuhumiwa? Au elimu yake ni ualimu wa chekechea tuliowaona akiwafundisha?

Nadhani hizi ni dalili za kuishiwa hoja, toa hoja yako na wewe tukusikie. Wasomaji yetu macho mwaka huu!!!!
 
Kumbuka kwamba Rais KIKWETE ni mkuu wa nchi na serikali na anamamlaka ya kumwita kiongozi yeyote Ikulu na kumwuliza chochote kuhusu nchi. Hivyo wito waTendwa IKULU siyo lazima uwe na uhusiano na pingamizi la CHADEMA,hizo ni hisia zako tu.

Kwanini huna hisia za kwamba Tendwa alikwenda IKULU kumweleza Rais mikakati aliyonayo ya kuendeleza na kukuza demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Wewe ni mtu wa ajabu demokrasia wakati wa kampeni?, Mikakati wanapanga wakati bunge lishavunjwa na mawaziri wako katika kampeni acha kutuzuga huyo ameenda kumpa feedback mzee na kumhakikishia mzee hatomwangusha tunamsubiri jumatatu atamke anachokitaka afikishwe mtu mahakamani!!!
 
Nitashangaa sana kama Chadema watakaa kimya kwa kitendo hiki, wanatakiwa wakiongelee majukwaani kuwa waliyemplekea mashitaka kakutana na mshitaki wao. Ikiwezekana hii itoke kwenye magazeti ya kesho au waitishe press conference angalau kukilaani kitendo hicho.
 
Hivi pingamizi ni lazima kushinda, mbona unauliza kushinda ni ndoto? pingamizi lina pande 2 kushinda au kushindwa.
 
Taarifa ikitoka kwa Ansbert Ngurumo ni ya kuchunga sana kwani yeye ni mdau (chadema damu) katika pingamizi hilo.
 
Kama Dk. Slaa ana mashaka na katiba angeacha kugombea hadi katiba ibadilishwe? kaingia kugombea ina maana hana mashaka nayo. Hivi ni visingizio tu
 
Taarifa ikitoka kwa Ansbert Ngurumo ni ya kuchunga sana kwani yeye ni mdau (chadema damu) katika pingamizi hilo.
Unachotakiwa hapa ni kupinga habari kama si ya kweli whether imetolewa na Ngurumo au Radi.
 
Tendwa aliitwa kuangalia namna ya kuimarisha vyama vya upinzani nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ndio mtazamo wangu.
 
Tendwa hakuitwa Ikulu ni uzushi tu. Ansebet Ngurumo ni Majeruhi wa Uchaguzi MKUU 2010 bado anaota ndoto ya CCM kupata viti 21 vya ubunge bila kupingwa na viti 251 vya udiwani. mwaka huu mtasingizia sana ili tuwape kura za huruma.
 
kwa nini tunahukumu kabla ya kujua ukweli kama habari hii ni ya ukweli au ni propaganda za kisiasa tu. JK mwaka huu una kazi kila ngoma inapigwa kwako bila hata utafiti wa kutosha. Tatizo kubwa la JK ni kukubarika sana kiasi kwamba wapinzani wanatafuta kila silaha ili wakupige nayo. Ushindi wa kishindio ni lazima mwaka huu. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee, Kikwete JUU, juu juu zaidi.
 
Utoke wapi? Ngoja muda unasogea, tutakumbushana hapa hapa. PEOPLES................POWER!!
 
Waliopamba bendera za chadema hapa JF waondoe mapema, ushindi wa CCM ni lazima.
wewe pia una ruhusa kuweka nyundo na jenbe la mkono kwenye avatar yako ni ruhusa. Lakini kwa kuwa hamna hakika ya ushindi mmekaa mkao wa kukimbia.

Mmeingia kwa fujo mwezi August lakini ifikapo November 2 wote mtakuwa mmeshakimbia hapa. Uliza wakongwe kama GT na FMES wako wapi? walianza marathon kabla ya kura za maoni. Na nyie mtawafuata huko huko.
 
Tendwa aliitwa kuangalia namna ya kuimarisha vyama vya upinzani nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ndio mtazamo wangu.

Tendwa hakuitwa Ikulu ni uzushi tu. Ansebet Ngurumo ni Majeruhi wa Uchaguzi MKUU 2010 bado anaota ndoto ya CCM kupata viti 21 vya ubunge bila kupingwa na viti 251 vya udiwani. mwaka huu mtasingizia sana ili tuwape kura za huruma.
Wababaishaji utawajua tu.
 
Muvi ndo kwaanza inasoma majina..
ongeza bisi na ulanzi. keep on watching
 
I knew that was coming.
JK ndiye alitakiwa aende kwenye ofisi ya msajili kama alikuwa na shida. Hivi sasa ni kama mgombea kama wagombea wengine. Na hiki ndicho JK kilimrudisha Dar.
Hapa kweli kutakuwa na haki yoyote? Kuna kiongozi yeyote wa chombo cha usalama alihudhuria?

bobishmakali nguvu hizo rais wa Tanzania anzipata kutokana na ubovu wa Katib, ndio maana CHADEMA inaswemaikingia madarakani itapunguza madaraka aliyonayo Rais ikiwemo ya kumteua Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwenyekiti na watendaji wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania. Mkuabali msikubali tatizo la tanzania kubwa likjo kwemnye ubovu wa katiba.

Kinchonifurahisha ni pale mnapotaka kufaidi matunda yaliyotokana na kuhongwa ili kuutetea mfumo huu mnajikuta mkuikaa kwenye foleni za magari masaa mawili ahadi matatu kila siku asubuhi na jioni. Laiti kama washabiki waCCM mngekuwa na lane zenu hiyo kidogo ingeniumiza.
 
Raia Mwema sio ushindi kwa CCM, bali kutangazwa tuu. Kuna tofauti kati ya kupata ushindi na kutangazwa kama ilivyofanyika Zbar 1995.
 
Tendwa aalikwa Ikulu kuteta na JK

MSAJILI wa Vyama Vya Siasa, John Tendwa, ameonekana Ikulu. Alikwenda kukutana na Rais Jakaya Kikwete Alhamisi majira ya saa 9.00 alasiri. Wachunguzi wa mambo wanasema wito wa Tendwa Ikulu una uhusiano na pingamizi la Chadema dhidi ya JK, ambalo limeikalia vibaya CCM, na linatarajiwa kutolewa jibu na Tendwa Jumatatu keshokutwa. Kama haki itatendeka au la, ni jambo jingine; na matokeo yake yatajulikana hapo baadaye. Je, yawezekana Tendwa anajipalia mkaa? Kama hakutarajia, sasa hana ujanja. Tumeshajua!

Source: ngurumo blog
 
Back
Top Bottom