Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

In my book Ablessed is also JF's celebrity 🙂🙂 and BAK ni mchangiaji tu....Have a great weekend.



Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .
 
Last edited by a moderator:
^^
Ablessed
Asante kwa kunitaja japo bado ni mwanafunzi JF najifunza kupitia post za watu..kwa hiyo ni pamoja na kuwa wengine waweza wasiwaone lakini Ablessed Kaunga Lyagwa Blue G na saudari ni members ambao michango yao hutoki tupu.
Am last in Jf list,,waiting much to learn
^^
Thank you for mentioning my name , remember I am still learning too so I do not deserve it ,let me take my position as a mpiga kura. Have a nice weekend and may God bless you abundantly , let him fulfill the desire of your heart.
 
Ablessed
Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu ndani ya jf, ingawa kwa kweli kabisa sisitahili sifa hiyo hiyo ya jf Celebrity, mimi ni mchanga sana hapa jf, hizo sifa nadhani zina wenyewe.

Akina Lara 1, Paloma, ladyfurahia,Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION], Himidini na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.
Be blessed and enjoy your weekend. Nimekuelewa ngoja tuwatafute wakongwe .
 
Thank you for mentioning my name , remember I am still learning too so I do not deserve it ,let me take my position as a mpiga kura. Have a nice weekend and may God bless you abundantly , let him fulfill the desire of your heart.

^^
Waoo! Asante kwa ombi jema..nawe ubarikiwe mpaka ushangae Ablessed
^^
 
Last edited by a moderator:
at least nimekusikia swahiba naomba nikutakie mahangaiko mema.
Nipo mama ila ni mambo ya maisha ndo yananifanya niingie jamvini kwa kuiba iba.

Ila usijali kwani nikiwa free naweza kuja na kusoma soma post za watu, japo inakuwa ngumu kujibu wote kwani nakuta notification nyingi ila usijali bado tuko pamoja.

View attachment 109956
 
Himidini asante mkuu sina cha kusemaila ,nafurahi kujua ikiwa angalau unapata mawili matatu ya kujifunza toka kwangu,enjoy your day.
^^
Ablessed
Asante kwa kunitaja japo bado ni mwanafunzi JF najifunza kupitia post za watu..kwa hiyo ni pamoja na kuwa wengine waweza wasiwaone lakini Ablessed Kaunga Lyagwa Blue G na saudari ni members ambao michango yao hutoki tupu.
Am last in Jf list,,waiting much to learn
^^
 
Last edited by a moderator:
Mnatuzengua! Mada ni kutaja celebrity candidates hapa....nyie mnachat makorokocho yenu humu....'!!!!!!!????
Dongobesh!!!
 
Pacha wako atakuwa amefurahi sana kukuona maana alinyong'onyea 🙂🙂 kupita kiasi. Mie niko bomba sana namshukuru Mungu.
h haaaaaaaaaaaaa, ashangilie tu kwa muda huu ambao nipo.....
Nashukuru kusikia upo salama rafiki. Nilikumiss pia, sana kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom