amen!! barikiwa nawe pia ma broda!!gfsonwin ni mwalimu kweli kweli, hata mimi huwa namkubali sana. May God bless her kwa kweli.
amen!! barikiwa nawe pia ma broda!!
mimi pia napenda kuwashukuru wote walion mention kwa namna moja ama nyingine.
to me nikianza kuwataja sijui kama page itatosha ila kwa ufupi wewe binafsi, Kaunga, AshaDii, Nguruvi3, EMT, Kiranga, Zinedine, The Bigshow kwangu huwa nkikutana nao kule GT nafurahiwa sana.
huku MMU jamani nine wapenzi wengi na kwa kuanza nianze na waalimu wenzangu Baba V, snowhite, Madame B, wengine ni Watu 8 neggirl, Fixed Point, Smile Kongosho, King'asti Mwanajamii one, cacico.
kwenye siasa, hapa napenda kuwatambua memba wa cdm kwa ujumla wao wakiongozwa na Mwita Maranya , Mungi, Ben Saanane, na memba wa ccm Ritz Rejao
jana umekosa mwingine wa waifu matirio!
hahahahaha lol! nakwambia mvua za mwaka huu we acha tu..mie huku kijijini kwangu lilianguka bonge la mvua kama 45 minutes ago na radi za mama nitazamie dah!!!! sasa hivi mvua imebaki manyunyu na radi zimeacha. Kujificha uvunguni RUKHSA ila naimagine Ablessed akiufukua kuwahi kuingia chini ya uvungu hahahahah
Hahahahaha af wewe acha tu ngoja ninyamaze. Bwana huku kwetu kama hukuwahi shambani basi utakuta hali si hali.jana umekosa mwingine wa waifu matirio!
sooooo very hot!
af we pacha wa dada kubwa kwani asbh asbh hiv ndo kusema umetoka kuamia ndege au?
Hahahahahahah yaani hujakosea kabisa na tena hata watoto nawasahau saa hiyo . Hata hapa kwetu zimeisha muda huu vimeta vilikua vya nguvu. Sasa ktk kukimbilia uvunguni si nikakipamia kibatari kililipukajeee.hahahahaha lol! nakwambia mvua za mwaka huu we acha tu..mie huku kijijini kwangu lilianguka bonge la mvua kama 45 minutes ago na radi za mama nitazamie dah!!!! sasa hivi mvua imebaki manyunyu na radi zimeacha. Kujificha uvunguni RUKHSA ila naimagine Ablessed akiufukua kuwahi kuingia chini ya uvungu hahahahah
Hii ya waifu matirio hebu nipestie link yake niipitie ili inipe company si unajua mambo ya shamba na asubui hii sichelewi kuboreka.jana umekosa mwingine wa waifu matirio!
sooooo very hot!
af we pacha wa dada kubwa kwani asbh asbh hiv ndo kusema umetoka kuamia ndege au?
Hahahahahahah yaani hujakosea kabisa na tena hata watoto nawasahau saa hiyo . Hata hapa kwetu zimeisha muda huu vimeta vilikua vya nguvu. Sasa ktk kukimbilia uvunguni si nikakipamia kibatari kililipukajeee.
Hahahahahah tena awe na kivazi cha kiJF JF hivi mbona kila mtu atataka kupiga nae picha. Mimi naomba Mamndenyi unipe kazi ya kukufuta jasho tu na kukushikia kiongeza sauti tena nitakusaidia kuwaambia mashabiki kwamba anaetaka kukupongeza kwa kukupa shekeli basi akabidhi kwangu mtunza mfuko.JF's Celebrity Mamndenyi 🙂🙂...kwa raha zako lol!...ukipita mtaani na speaker na kutangaza mie fulani binti fulani (jina lako la kweli) watakushangaa tu, "huyu naye ni aje" lakini ukitangaza kwamba mie ni Mamdenyi JF's Celebrity umati wa watu utakuzunguka wakitaka kukupa mikono na kukupongeza kwa michango yako ya haja hapa jamvini.... kwi kwi kwi kwi
Chemli zinatumia mafuta mengi banaaa tena kibatari sinunui natengeneza mwenyewe. Tupo makini usione hivi haingui nyumba huku si unajua hata zimamoto huku hatulijui .Mhhhhh! weye bado una vibatari tu hahahahaha.....Tafuta chemli banaaa vibatari noma vitakuchomea nyumba yako 🙂🙂