Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

I miss you too rafiki sana kabisa
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif
...mwache Pacha wako ashangilie tu 🙂🙂...Hizo lips ni aje lakini? lol! maana zimeumuka kama zimetiwa hamira hahahahaha.... zimeumwa na manyigu au ndiyo maraharaha ya vacation!? 🙂🙂



h haaaaaaaaaaaaa, ashangilie tu kwa muda huu ambao nipo.....
Nashukuru kusikia upo salama rafiki. Nilikumiss pia, sana kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi haya hukunyong'onyea Ablessed...lakini mbona ulikuwa ukiingia huku na kumtafuta pacha mara nyingi ulipokuwa humuoni ulikuwa unasepa zako taratibu? na mara chache ndiyo uliandika mabandiko mawili matatu kisha kusepa? kwi kwi kwi kwi

Kweli nimefurahi mno lkn sikunyong'onyea bwana.
 
Lara1.
King'asti.
Mwanakijiji.
Mtambuzi.
MziziMkavu.
bujibuji.
Preta.
Kongosho.
 
Kwi kwi kwi kwi haya hukunyong'onyea Ablessed...lakini mbona ulikuwa ukiingia huku na kumtafuta pacha mara nyingi ulipokuwa humuoni ulikuwa unasepa zako taratibu? na mara chache ndiyo uliandika mabandiko mawili matatu kasha kusepa? kwi kwi kwi kwi
Hahahahahahaahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baba hiyo tuzo ningepewa mie kwani natembelea nchi zote
humu mjengoni labda kule Love connect ndo sipapendi
mwambie animwagie hiyo tindikali ya tuzo
Hahahah mkuu shukrani sana...ila binafsi sidhani kama nastahili tuzo hiyo uliyonitunuku...

Mimi si mchangiaji sana wa majukwaa mengi hapa ndani zaidi nipo sana hapa JF Social Lounge...

Nadhani tuzo kama hiyo yamstahiki mtu mwenye kuwepo karibu majukwaa yote kwa kiasi fulani...

Once again, thanks buddy!!!
 
asante sana pacha......
una kazi ya kuni-update, lol!
Usiwe na wasi wasi BAK yupo tutaku update . Itabidi ujifunze na misamiati mingine humu, leo nimeona kuna msamiati wa king'amuzi, mmu kuna lugha ngumu jamani. Nilikua mbali kidogo mara niliporudi na hasa kuona wito si ndio nikakutana na huo msamiati.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilidhani misamiati ya humu ndio hiyo maarufu uraiani pia kumbe walaaa, misamiati mingi ya humu uraiani hawaijui kabisa....Juzi nimeona msamiati wa pehwele (not sure about spelling) kumbe bi dada alikuwa anazungumzia papuchi yake lol!!!...Chezeya JF weye!!!

Usiwe na wasi wasi BAK yupo tutaku update . Itabidi ujifunze na misamiati mingine humu, leo nimeona kuna msamiati wa king'amuzi, mmu kuna lugha ngumu jamani. Nilikua mbali kidogo mara niliporudi na hasa kuona wito si ndio nikakutana na huo msamiati.
 
I miss you too rafiki sana kabisa
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif
...mwache Pacha wako ashangilie tu 🙂🙂...Hizo lips ni aje lakini? lol! maana zimeumuka kama zimetiwa hamira hahahahaha.... zimeumwa na manyigu au ndiyo maraharaha ya vacation!? 🙂🙂


ha haaa, missed this too.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Usiwe na wasi wasi BAK yupo tutaku update . Itabidi ujifunze na misamiati mingine humu, leo nimeona kuna msamiati wa king'amuzi, mmu kuna lugha ngumu jamani. Nilikua mbali kidogo mara niliporudi na hasa kuona wito si ndio nikakutana na huo msamiati.
waiting......
nawaaminia wawili nyie mtanipa full story
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nilidhani misamiati ya humu ndio hiyo maarufu uraiani pia kumbe walaaa, misamiati mingi ya humu uraiani hawaijui kabisa....Juzi nimeona msamiati wa pehwele (not sure about spelling) kumbe bi dada alikuwa anazungumzia papuchi yake lol!!!...Chezeya JF weye!!!

Dah blaza kwani hapo kwenye jina langu hamuwezi kutumia maneno mengine? mnavyonitaja najing'ata.
 
Habari Great thinkers

Katika siku za hivi karibuni nimekuwa nikifikiria sana huku nikiwaza na kuwazua kuwa ipi inaweza kuwa nafasi ya mtu atakae kuwa recognised as a JF Celebrity(super star) kwenye jamii. Nikagundua kuwa atakuwa mtu mwenye faida kubwa sana kwenye jamii, Kwa upande wangu nimefikiria kuwa anaweza kuwa mtu wa kutegemewa na pengine hata kuwa country celebrity kuliko hata wakina diamond, Riziwani, Rita Poulsen na wengineo.

Nimewaza hivi kutokana na fikra kuwa JF Celebrity lazima atakuwa ni mtu mwenye Muximum Thinking Capacity, Sio mtu wa cheap answers, yaani jibu lolote litakalotoka kwake ni suprise, The best problem solver, Atakuwa akiprovide wounderfull solutions, Unique Brain & Good IQ.

Dear Great thinkers is this Impossible?

Hivi hampati picha Jf Celebrity akiwa anafanyiwa Interview regarding havy matters of the country, au akwa mgeni mualikwa kwenye famouse TV shows, Au akawa ni moja kati ya wasemaji kwenye midahalo na makongamano makubwa ya nchi hii. As a represantative from the home of Great thinkers, Hivi serikali itashindwa kumteua awe moja ya wanakamati kati ya kamati au maelfu ya tume huru zinazoundwa kila kukicha!!?

Nadhani ni wakati wa JF kufikiria kupiga hatua nyingine katika kuisaidia jamii kwa kufikiria jinsi ya kuifanya idea hii iwe hai ni matumaini yangu kuwa hii itakuwa ni moja ya hatua muhimu ya ku integrate great thinkers sociate with Our Country by the aim of making sure that Our thinking ability is productive and real helpful.

Ok hapo nilikuwa nafafanua tu nini namaanisha ninapo sema JF Celebrity.
Xo nikiwa kama mchangiaji wa kwanza mimi Celebrity wangu hapa JF ni Jamaa mmoja mwenye User name ya Watu8

View attachment 109288Kiukweli jamaa yupo social vibaya mno Mcheshi, Na mwenye upendo na kila mtu bila kujali jinsia wala rika, Hana dharau. Kwa kweli sijawa familia sana na post zake Kiasi cha kumpendekeza yeye lakini jumla ya like 11255 zinaonesha ni jinsi gani ambavyo post zake zimekuwa very sensful & Useful for other great thinkers.
Nadhani fikra zake pia juu ya mitandao ya kijamii ni mfano wa kuigwa tofauti na wanaume wengine, ambapo wengi wetu huwa tunawaza kuanzia chini ya kiuno kuelekea kichwani. wengi wao hawapo interested kabisa na kuchat na jinsia ya kiume au kubadilishana nayo mawazo, wao wanawaza jinsi ya kupata msichana tu wa kumlaghai wapewe nanilii basi. Jamaa yupotayari kushare na kila mmoja, wengine hata thread walizofungua wanaume wenzao hawaingii, lakini za wasichana fasta tu then akifungua hata kusoma hasomi anaanza kumwaga like mpaka page ya mwisho. watueight big up Bro then You Deserve To Represant our forum somewhere else.

WHO DESERVE TO BE JF CELEBRITY? MM mwanakijiji, Mamndenyi, Bujibuji, Fixed point, Preta or whom 1!!!!?
Daaah aiseee swali la kizushi vipi na ma Undergroung tusiokua na likes je ? unamsimamo au una wa Acknowledge vipi mkuu>?
 
Daaah aiseee swali la kizushi vipi na ma Undergroung tusiokua na likes je ? unamsimamo au una wa Acknowledge vipi mkuu>?

hapo ndio pa kushauriana juu ya vigezo na masharti ya kuzingatiwa mimi nilichofanya ni kutoa wazo tu
 
Male: ni Watu 8
Female: Lala moko

angalau basi ungalitupa na vigezo kidogo mkuu kayaman..

kwa upande wangu, kama ningalipewa nafasi ya kuchagua celebs wa JF,

personally, kura yangu ingalikwenda kwa MziziMkavu kwa upande wa males..

then, kwa upande wa females.. kura ingeenda kwa lara 1

ni haya tu pamoja na ugeni wangu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom