Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

Haya banaaa we endelea na vibatari vyako mpaka siku vikuunguzie nyumba yako ndio utanikumbuka 🙂🙂...By the way you are also JF's celebrity....Congratulations!!!!

Chemli zinatumia mafuta mengi banaaa tena kibatari sinunui natengeneza mwenyewe. Tupo makini usione hivi haingui nyumba huku si unajua hata zimamoto huku hatulijui .
 
Haya banaaa we endelea na vibatari vyako mpaka siku vikuunguzie nyumba yako ndio utanikumbuka 🙂🙂...By the way you are also JF's celebrity....Congratulations!!!!
Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nasema hivi Ablessed ni JF's celebrity kwa michango yake motomoto 🙂

Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naona wengi kweli wanafaa hata nashindwa kutaja ngoja nitaje wachache Fixed Point , Kaunga , gfsonwin , snowhite , kamusi , Mamndenyi , lara 1........ na kwa wanaume kuna EMT , BAK , Himidini , Lyagwa , watu8 , Kaizer ....... Wapo wengi sana .

Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu ndani ya jf, ingawa kwa kweli kabisa sisitahili sifa hiyo hiyo ya jf Celebrity, mimi ni mchanga sana hapa jf, hizo sifa nadhani zina wenyewe.

Akina lara 1, Paloma, ladyfurahia,[MENTION]Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION][/MENTION] na wengine wengi tu.
 
Ablessed

Akina [MENTION]Lara 1[/MENTION], Paloma, ladyfurahia,[MENTION]Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION][/MENTION], Himidini na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.
 
Last edited by a moderator:
i.photos celebrity saudari jamaa anatisha na sijui kajichimbia wapi.

Nipo mama ila ni mambo ya maisha ndo yananifanya niingie jamvini kwa kuiba iba.

Ila usijali kwani nikiwa free naweza kuja na kusoma soma post za watu, japo inakuwa ngumu kujibu wote kwani nakuta notification nyingi ila usijali bado tuko pamoja.

PamoJahImage.jpg
 
Naona wengi kweli wanafaa hata nashindwa kutaja ngoja nitaje wachache Fixed Point , Kaunga , gfsonwin , snowhite , kamusi , Mamndenyi , lara 1........ na kwa wanaume kuna EMT , BAK , Himidini , Lyagwa , watu8 , Kaizer ....... Wapo wengi sana .

^^
Ablessed
Asante kwa kunitaja japo bado ni mwanafunzi JF najifunza kupitia post za watu..kwa hiyo ni pamoja na kuwa wengine waweza wasiwaone lakini Ablessed Kaunga Lyagwa Blue G na saudari ni members ambao michango yao hutoki tupu.
Am last in Jf list,,waiting much to learn
^^
 
Last edited by a moderator:
Ablessed
Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu ndani ya jf, ingawa kwa kweli kabisa sisitahili sifa hiyo hiyo ya jf Celebrity, mimi ni mchanga sana hapa jf, hizo sifa nadhani zina wenyewe.

Akina [MENTION]Lara 1[/MENTION], Paloma, ladyfurahia,[MENTION]Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION][/MENTION], Himidini na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.

^^
Lyagwa
Asante sana kwa kunitaja,,JF celebrity kumpata ni eneo pana sana,,wapo makocha wazoefu.
Tuzidishe bidii ktk kujengana kimawazo na kusema yafaayo,tusifanye hili kwa ajili ya wanadamu bali tumpendeze Mungu.
I dont deserve too.
^^
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! .....mjini kwangu umekujuaje gfsonwin!? maana sijawahi kukuambia mfaranyaki niko kitongoji kipi na mtaa upi....nimepigwa na bumbuwazi. NiPM with more info please!!!

halafu wewe nakutafuta sana sana, hivi unajua niko mjini kwako??
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! .....mjini kwangu umekujuaje gfsonwin!? maana sijawahi kukuambia mfaranyaki niko kitongoji kipi na mtaa upi....nimepigwa na bumbuwazi. NiPM with more info please!!!
hahahahahh!!! wewe hujasema uko wapi ila mie niko Mfaranyaki yawezekana kitongoji tofauti ma kitongoji hicho hicho ila hatujuani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Weekend hii nimesepa kidogo niko Namabengo kuna kuku za mrija huku 🙂🙂....Enjoy your weekend and your stay in Mfaranyaki.

Back
Top Bottom