Kuna nini tena huku mume??????
U'celebrity kwa sekta ipi na vigezo vipi??!!mie na hubby kaizer tumejitangazia uselebriti. sasa mumeo ndo hataki kukubali.
Kwa Maendeleo ya huku nje Ughaibuni ninayoyaona nitakuwa mkali zaidi ya Mheshimiwa Sugu. Nikiwa
mbunge muwakilishi wa JF bungeni wabunge wenzangu na Spika wa bunge atakoma ubishi labda iwepo Serikali nyingine
Madarakani inayopenda Maendeleo ya walala hoi lakini ikiwepo hii Serikali iliyo madarakani watakoma wao wenyewe hapo
bungeni Jamaa_Mbishi Nchi yetu mpaka leo Umeme wa mgao mjini Vijijini hakuna kabisa umeme,Maji safi hakuna, Madawa Hospitalini hakuna nchi inaongozwa kivipi?
mie na hubby kaizer tumejitangazia uselebriti. sasa mumeo ndo hataki kukubali.
shem wangu wa ukweli, mwenye kupinga hili ageuze kalenda turudi miaka ya 80, mimi na wewe shem miaka 1000, hatuwasiliani wangu? upo?
nipo my dear shemeji Mwita Maranya, wivu wa Asprin tu ndio haswaaaaaa wanifanya niadimike, muda wote anataka game, wanadai anazeeka, kumbe walaaaaaa kila uchao anarudi ujanani, naenjoyje mie???Shemeji cacico umeadimika hadi nimetaka kukusahau. Upogo poa lakini?
shem wangu wa ukweli, mwenye kupinga hili ageuze kalenda turudi miaka ya 80, mimi na wewe shem miaka 1000, hatuwasiliani wangu? upo?
U'celebrity kwa sekta ipi na vigezo vipi??!!
mmmmmmhhhhhh lala moko ndio nani mkuuMale: ni Watu 8
Female: Lala moko
Huhuhuuu...vizuri sanauselebrity wa sekta ya mapenzi
mmmmmmhhhhhh lala moko ndio nani mkuu