Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

ghwe na une ngulonda tugbhuke twesa ghwe ukubhuka sala isi?au utikulonda une mbhuke naghwe?

Ofwaaaaaaaa.......tukubhuka twesa,ulinasyo indalama mu pocketiiii?????teh teh nduko Blue G
 
Last edited by a moderator:
watu8 unastahili
kitu Lara 1, kinanikosha ile mbaya,
kongosho, madame B, pia wasikosekane..
 
Mmmh hapa ni wengi ila kwa sasa watu8.. 🙂
 
Likes alizopata Watu 8 asilimia 90ni za chit chat na MMU hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa mkuu naomba niseme kwa ufupi tu umenichekesha mpaka basi.
Na wewe siku hizi sijui ukoje... Hivi kunichagua mimi ukaona nitafaidi saaanaaa.... halafu kile kijirafi kile we subiri tu... nitaingia nacho mkataba kama ule wa wale Wakenya
 

Kwenye orodha yangu hapo juu ningependa sana
kuona likitoka jina moja la JF Celebrity

Hapo pekundu hapooo!!!!!!!!
 
mweeeh, misifa yote ya shem wangu watu8? ama kweli sista wangu kaopoa kifaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom