'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Unampa free ride ya nini huyo? Makosa ya Mungu kwa kipimo gani? Aliyapimaje makosa ya Mungu?
Question foundation za argument zake na utaona arguments zake ni za kipumbavu kabisa!

Hawezi kujibu huyu kiumbe. Atakuja hapa na kuleta swali jingine au ataanza kuchambua muundo was sentensi, mpangilio wa maneno na maana yake. Kulijibu hili swali hatafanya hivyo. Ni mzuri kukanusha na kuuliza, lakini hataki kujibu wala kujifunza vitu vingine tofauti na IMANI yake ya Ukana- Mungu.
 
huyu yeye ni mweupe tena anapinga kwa hofu na mkumbo. kaka yake yeye anajitoa fahamu kila anapokwama anarudia kulekule kwenye swali lake na kudistort flow ya mazungumzo. hii ni kwa sababu wamejipa umaarufu huu miaka mingi kutosurrender ndio last option kwao.
wanashindwa kujua logic ndogo tu "Abscence of evidence is not evidence of abscence". wakipewa maelezo yasiyokuwa kwenye bongo zao wanarukia kwingine.
 
Naweza kusema hakuna pembetatu ambayo pia ni duara katika Euclidean geometry siyo?

Kwa sababu najua pembetatu si duara na duara si pembetatu na hivyo hakuwezi kuwa na pembatetu ambayo hapo hapo ni duara, siyo?

Kwa sababu pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ni dhana yenye contradiction, siyo?

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika naye hawezekani kuwepo kwa sababu ana contradiction hivyo hivyo kama pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry.

Kitu kinachojipinga chenyewe katika dhana, hakiwezi kuwapo katika uhalisia.

Pembetatu si duara na duara si pembetatu, hivyo hakuna pembetatu duara. Inajipinga katika dhana. Haip katika uhalisia.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (proposotion p) kwenda kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni kukanusha asili za muhimu kabisa zake yeye mwenyewe huyu Mungu (negation of p)

Kama vile hakuwezi kuwa na pembetatu ambayo ni duara katika Euclidean geometry, due to contradiction, ndivyo hakuwezekani kuwepo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, due to contradiction

This is clear and simple logic.
Asante kwa hayo maelezo na hivyo vielelezo. Mbali na hivyo vielelezo nilitegemea pia ungesema unavyomjua Mungu au kwa namna nyingine basi ungeelezea Mungu ni nani/nini? Yani nipatie maana ya Mungu kwa upande wa wewe Usiyeamini uwepo wake.
Nina imani swali langu litakuwa limeeleweka ndugu.
 
pia anapaswa kujua hata hiyo geometry na mathematics zote originated from God kabla hata huyo euclid hajazaliwa. 2chronicles4:2 and 2chronicles 4:5 kila kinachofanyika hapa kidesign hayo matank was geometry . You cannot use Gods inventisions to discredit him Ndio maana bado mathematicians wengi leo wanatumia modern mathematics to clear doughts on his existence.
hayo maelezo ambayo anakomaa nayo wiki kadhaa hayana mashiko.
kwanza huyo euclid alitumia logic na axioms kuprove contradiction hiyo hence God doest exist. Mwanasayansi Godel katika model yake na yeye katumia axioms na logic kuprove Mungu Yupo. hata baada ya kubishiwa. hivi karibuni kikundi cha logicians na computer scientists wamedecode idea za godel kuthibitisha alikuwa sahihi . Kuna kitu kinaitwa Modal logics sio hizo limited logics anazotumia. Modal logics zinainclude "posibility" na "necesity".
There is no excuse to escape God. anataka kutumia mathematics kama kichaka huko nako atakimbia akibanwa. usitegemee kujibiwa
 
Dear Kiranga,

kwa sababu hujasoma vizuri hicho kitabu cha Quran ndio mana unasema hivo, please hebu kitafute, na uchukue muda kukisoma, tena nakushauri ukisome wakati wa usiku ambako utakuwa umetulia, yaani huna kazi wala shughuli inayokushughulisha wakati huo.
Hebu naomba nisikize na usome hiki kitabu halafu uone kama moyo wako utaendelea kubaki kama ulivyo.

Please dont ignore this advice please just try some few chapters. You are a good person you cant blast the creator of the universe as you are now doing. It is just because of ignorant but I hope that your attitude will tottally change up on reading this book carefully.
If you dont have I will buy one for you..please
Unasema sijasoma vizuri hujui hata aya gani.

Wewe unayesema sijasoma vizuri umesoma vizuri hiyo aya?

Sijasoma vizuri aya gani?
 
Hawezi kujibu huyu kiumbe. Atakuja hapa na kuleta swali jingine au ataanza kuchambua muundo was sentensi, mpangilio wa maneno na maana yake. Kulijibu hili swali hatafanya hivyo. Ni mzuri kukanusha na kuuliza, lakini hataki kujibu wala kujifunza vitu vingine tofauti na IMANI yake ya Ukana- Mungu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Asante kwa hayo maelezo na hivyo vielelezo. Mbali na hivyo vielelezo nilitegemea pia ungesema unavyomjua Mungu au kwa namna nyingine basi ungeelezea Mungu ni nani/nini? Yani nipatie maana ya Mungu kwa upande wa wewe Usiyeamini uwepo wake.
Nina imani swali langu litakuwa limeeleweka ndugu.
Mbona nishamsema hapo juu, labda nikuulize wewe, unajua kusoma kwa ufahamu (comprehension) ?

Nimetaja karibu mara zote, tena kwa kurudia rudia kama Agano la Kale.Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote.

Nimesema Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction.

Halafu bado unaniuliza nieleze Mungu ni nani nini?

Mungu ni dhana tu, tena inayojipinga, katika uhalisia Mungu huyu hayupo, kwa sababu kitu kinachojipinga katika dhana hakiwezi kuwepo kwenye uhalisia.
 
pia anapaswa kujua hata hiyo geometry na mathematics zote originated from God kabla hata huyo euclid hajazaliwa. 2chronicles4:2 and 2chronicles 4:5 kila kinachofanyika hapa kidesign hayo matank was geometry . You cannot use Gods inventisions to discredit him Ndio maana bado mathematicians wengi leo wanatumia modern mathematics to clear doughts on his existence.
hayo maelezo ambayo anakomaa nayo wiki kadhaa hayana mashiko.
kwanza huyo euclid alitumia logic na axioms kuprove contradiction hiyo hence God doest exist. Mwanasayansi Godel katika model yake na yeye katumia axioms na logic kuprove Mungu Yupo. hata baada ya kubishiwa. hivi karibuni kikundi cha logicians na computer scientists wamedecode idea za godel kuthibitisha alikuwa sahihi . Kuna kitu kinaitwa Modal logics sio hizo limited logics anazotumia. Modal logics zinainclude "posibility" na "necesity".
There is no excuse to escape God. anataka kutumia mathematics kama kichaka huko nako atakimbia akibanwa. usitegemee kujibiwa
Can you prove God exists?
 
huyu yeye ni mweupe tena anapinga kwa hofu na mkumbo. kaka yake yeye anajitoa fahamu kila anapokwama anarudia kulekule kwenye swali lake na kudistort flow ya mazungumzo. hii ni kwa sababu wamejipa umaarufu huu miaka mingi kutosurrender ndio last option kwao.
wanashindwa kujua logic ndogo tu "Abscence of evidence is not evidence of abscence". wakipewa maelezo yasiyokuwa kwenye bongo zao wanarukia kwingine.
Unajua kulumbana na wewe siyo shida, shida ni pale unapoulizwa swali halafu unajibu kitu kingine tofauti kabisa.Huku ni kupoteza muda.

Hivi umetumia kigezo gani kusema nina hofu?

Hivi kweli kama Mungu angekuwepo, si ingekuwepo dini moja tu?.Kwa nini ziwepo dini nyingi(ambazo haziendani) zenye kudai zinamwabudu Mungu mmoja?

Kwa nini hizo dini zinazomwabudu Mungu mmoja zina sheria na taratibu za kumwabudu zenye kuofautiana?

Kwa nini madhehebu ya Kikrosto yanayotumia Bibilia moja, yanatofautiana sana?...ina maana wanashindwa kupokea maelezo kutoka kwa Mungu? ama wanamtafsiri tofauti?

Je hizi tofauti za kidini ameweka Mungu ama mwanadamu?.....Mungu anaweza kuwachanganya watu wake kwa kiasi hiki?.....Kama ni za kibinadamu, huoni hata huyo Mungu ameumbwa na wanadamu?
 
Can you prove God exists?
Itafika muda ambao itajulikana ukweli kuhusu kuwepo ama kutokuwepo kwa mungu,ila hivi sasa watu wanaamini kuwa mungu yupo. Ni kama kuamini kuwa jua litatoka kesho na ukasubiri kesho ifike.
 
Shetani ni Kiumbe mmoja kati ya zaidi ya Vigintillion ya viumbe wenye utashi walioumbwa na Mungu. Sasa Mungu si mwanadamu Hata aogope kuumba kwa sababu kiumbe kitaasi. Vinginevyo ukubali kuhoji infiniteness of his plans and supernatural intelligency with our finite mind. God did not create the world for robots but for us. Ilikuwa rahisi Kumkabidhi hii dunia Hata Ng'ombe au Panya Kuitawala lakini kwa utashi wake akaamua wewe mwenye uhuru hata wa kuhoji kazi zake uwe ndio mtawala.
Kama Mungu alimuumba shetani kwa kujua, ina maana alijua kabisa atakuja kuasi....Ina maana hakujua kama uasi wa Shetani utakuja kumtesa binadamu?

Eti Mungu hawezi kumuogapa Shetani kiumbe chake😀😀😀😀😀😀....Hivi mzazi unaweza kutengeneza conc.Nitric acid halafu uiweke kwenye chumba cha watoto wachanga uliowapa maagizo wasiiguse then uondoke zako huku ukijisemea huwezi kuogopa kitu ulichokitengeneza?
 
Je binadamu huwa anatenda makosa?
Kosa unalipimaje? Unadhani kuna kosa ambalo ni kosa kila mahali au kila mtu ana uhuru wa kuamua kipi ni kosa? Mfano ni kosa kwa jambazi kuua ili apate fedha wanawe wasife njaa? Au je ni kosa nikikupiga risasi kwa sababu tu ninaona unatakiwa kuwa eliminated (Hitler vs Jews)?

Kitu gani kina determine kosa?
 
Je binadamu huwa anatenda kosa?....hili ni swali la ndiyo/hapana.
 
Itafika muda ambao itajulikana ukweli kuhusu kuwepo ama kutokuwepo kwa mungu,

Unajuaje hilo?

Kila wanaosema Mungu hayupo wakitoa ushahidi mpya, wanaosema Mungu yupo wanaweza kukanusha kwa kuweka "Deus ex Machina".

Mfano, kuna watu walisema radi ni ushahidi kwamba Mungu yupo, ni hasira ya Mungu. Wanasayansi walipokuja na kuonesha kwamba radi ni umeme tu, wanaoamini Mungu wakasema umeme huo unatokana na Mungu.

Kwa njia hii, hususan kwa sababu wanaosema Mungu yupo wanasema haonekani wala kupimika, tutafikiaje muafaka?

ila hivi sasa watu wanaamini kuwa mungu yupo. Ni kama kuamini kuwa jua litatoka kesho na ukasubiri kesho ifike.

Kuamini Mungu yupo si kama kuamini jua litatoka kesho.

Jua lina track record ya kuonekana kila siki likichomoza, Mungu hana track record ya kuonekana kwa njia ambayo inaweza kuthibitishwa hata siku moja.

Jua halina contradiction. Nikisema "jua litachomoza kesho" kauli hiyo haileti contradiction, haijiping yenyewe. Nikisema "Kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana" kauli hiyo ina contradiction.

Utafananishaje kuamini kitu ambacho hakina contradiction na kuamini kitu chenye contradiction?
 
Unajua kulumbana na wewe siyo shida, shida ni pale unapoulizwa swali halafu unajibu kitu kingine tofauti kabisa.Huku ni kupoteza muda.

Hivi umetumia kigezo gani kusema nina hofu?

Hivi kweli kama Mungu angekuwepo, si ingekuwepo dini moja tu?.Kwa nini ziwepo dini nyingi(ambazo haziendani) zenye kudai zinamwabudu Mungu mmoja?

Kwa nini hizo dini zinazomwabudu Mungu mmoja zina sheria na taratibu za kumwabudu zenye kuofautiana?

Kwa nini madhehebu ya Kikrosto yanayotumia Bibilia moja, yanatofautiana sana?...ina maana wanashindwa kupokea maelezo kutoka kwa Mungu? ama wanamtafsiri tofauti?

Je hizi tofauti za kidini ameweka Mungu ama mwanadamu?.....Mungu anaweza kuwachanganya watu wake kwa kiasi hiki?.....Kama ni za kibinadamu, huoni hata huyo Mungu ameumbwa na wanadamu?
ungekuwa mtoto wa kwanza wa adam. hayamaswali yako yote yasingekuwepo.
unakubali udhaifu wa maelezo yako unathibitisha Mungu Yupo? kwa maana kwahekima ya maelezo yako kuna wakati vyote hivyo havikuwepo lkn Watu walikuwepo na Mungu alikuwepo.
 
Can you prove God exists?
proof nyingine ukiacha ambazo umeshaeleweshwa na kukwepa. ni kushindwa kwako kuprove Hayupo bila kuassume Yupo kwanza ili upate uhalali wa kutengeneza hypothesis zenye contradictio. Maana yake bila uwepo wa Mungu huwezi kuja na unrelated theorem to prove kutokuwepo kwake. Mungu Yupo.
 
Kumbuka " Kutokuwepo kwa Ushahidi, sio ushahidi wa Kutokuwepo"[/COLOR][/B]
Lakini kumbuka pia
"Dai lisilo na ushahidi linaweza kupingwa bila ushahidi pia"
Nadhani Kutokuweza kuonesha kuwa Mungu hayupo hakufanyi awepo.
 
Kama Mungu alimuumba shetani kwa kujua, ina maana alijua kabisa atakuja kuasi....Ina maana hakujua kama uasi wa Shetani utakuja kumtesa binadamu?

Eti Mungu hawezi kumuogapa Shetani kiumbe chake😀😀😀😀😀😀....Hivi mzazi unaweza kutengeneza conc.Nitric acid halafu uiweke kwenye chumba cha watoto wachanga uliowapa maagizo wasiiguse then uondoke zako huku ukijisemea huwezi kuogopa kitu ulichokitengeneza?
kwa maelezo haya unataka kusema hayupo kwa sababu alimuumba shetani hahahahaa.
sasa mbona unazidi kuprove Yupo. yaani huwezi kuprove hayupo bila kwanza kuwepo akuchanganye ndio useme hayupo.
kweli kazi ipo.
 
Back
Top Bottom