'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Hivi ni maana ya mantiki (logic) ?
Logic is the study of correct and incorrect reasoning. Logicians want to understand what makes good reasoning good and what makes bad reasoning bad. Understanding this helps us to avoid making mistakes in our own reasoning, and it allows us to evaluate the reasoning of others. It makes us better thinkers.
 

Attachments

  • 1476640648083.jpg
    1476640648083.jpg
    8.7 KB · Views: 22
.
Madai ambayo ni logical yanakuwa yanaingia akilini.
Yanakubaliana na kanuni za kimantiki.
Kwa mfano...
--The law of the excluded middle
--Harmonious Major premise, minor premise, and conclusion
--Validity of syllogism
--Soundness of syllogism
Yaani, sio ndoto za mchana.
Lakini habari zenye contradiction hazipo logical.

Habari kama kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika ina contradiction.

Kwa nini Mungu huyu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa nanuwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Je, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani akashindwa?

Kama ni hivyo, je, no kweli anaweza yote?

Ama aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ila hakuamua tu kuumba ulimwengu huo?

Kama ni hivyo kweli ana upendo wote?

Mbona Mungu huyu ana contradictions?

Yupo at all?

Au ni stories tu zilizotungwa na hayupo?
 
GOD is not a creature so he can't be created.and he testify this in holy Qur'aan....that is not logic but stupid question which quests ur believe
 
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Sikubaliani na hitimisho lako wala flow ya arguments.
Hilo swali sio kweli halina mantinki (illogical) bali halina maana (meaningless) na mfu (self-defeating).
Katika kuuliza swali hilo kuna dhahania (assumptions) ndani yake kuwa kila kilichopo kinapaswa kuumbwa. Hii ni dhahania ambayo sio kweli kwa sababu hakuna mahali imethibitishwa kuwa ni kweli kuwa kila kilichopo kimeumbwa au kimetoka mahali.

Kwa sababu dhahania husika haina mashiko basi hata swali lenyewe halina maana kabisa. na hivyo halihitaji majibu yeyote.

Pili ni self-defeating kwa sababu wanaouliza huwa wana dhahania nyingine nyuma yake kuwa kila kilicho kweli lazima kiambatane na ushahidi. Lakini dhahania yao hii kuwa "kila kilicho kweli lazima kiambatane na ushahidi" haina ushahidi popote na hivyo kulifanya swali zima liwe mfu. kwa maana rahisi kama unasema "kila kilicho kweli lazima kiambatane na ushahidi" halafu hautoi ushahidi kuwa kila kilicho kweli lazima kiambatane na ushahidi basi unanipa fursa ya mimi kusema chochote bila ushahidi na kikawa sawia bila mawaa!
 
Toa uthibitisho kwenye nyenzo unayoiyamini wewe,usitoe kwenye nyenzo usiyoiyamini.
Nisiyoiamini katika nini?

Wewe unaiamini Quran au huiamini?

Muislamu kukataa kujibu swali hili ni kukataa kwamba anaiamini Quran.
 
Kwenye habari ya kwamba kuna mabaya hapa duniani nakubaliana nacho.

Wewe unaamini Quran?
Ndio nikakuambia,hakuna asiyemuamini Mungu,mnajidanganya tu,iweje Mungu humuamini, kama yupo,lakini kitabu ukitumie.
 
Ndio nikakuambia,hakuna asiyemuamini Mungu,mnajidanganya tu,iweje Mungu humuamini, kama yupo,lakini kitabu ukitumie.
Nani kakwambia namuamini Mungu?

Dunia ilikuwa imeandika kihusu kuwapo kwa mabaya kabla mtume wenu hajazaliwa, kabla Quran haijaandikwa.

Wewe leo huwezi hata kusema kwamba unaiamini Quran.

Wewe unamuamini Mungu wa kwenye Quran?

Unaiamini Quran?
 
Why do you think there is an intelligent being?

Why a being and nothing else?
leta hicho unachodhani kinaweza kuwa mbadala wa Mungu katika balancing and fineturning of dark force for galaxes and bodies to keep on existing.
ethiests physicians dyson,kleban na susskind katika kituo cha natural news concluded * arranging cosmos as we think it is arranged would require a miracle.*
na kumalizia *unkonwn agent (beyond time and space) intervened in the evolution of cosmos for the reason of its own*

yeremia pia ananiambia Mungu yuko responsible ya forces zinazoshikilia malimwengu. sihitaji mwanasayansi achome mafuta hadi outer space aje aamini vitu ambayo vimeandikwa miaka zaidii ya 3000 iliyipita. Mungu atukuzwe kwa kweli

13/8/2002.

mimi sihitaji mizunguko hilo wao wanatumia trillions of money mimi natumia dakika tatu kusoma mwanzo 1:1 kuwa Mungu aliumba Muda(in the begining) akaumba na space(heavens) akaumba na matter (earth).
vyote hivi vinategemeana na lazima viumbwe kwa pamoja. ukiumba Muda bila space hiyo space utaiweka wapi? ukiumba space bila Muda ni wakati gani utaiweka hiyo space?
 
Hapana.

Hujanielewa kama kawaida yako.

Nimekwambia unaamini kitu ambacho huwezi kukithibitisha na chenye contradiction.

Hivi ni vitu viwili tofauti.

Sina tatizo sana na mtu anayeamini kitu ambacho hawezi kukithibitisha. Kimsingi vitu vyote ambavyo tunakubali vitatokea katika muda ujao ni vitu tunavyoamini bila kuwa na uwezo wa kuvithibitisha. Muda ndio unatusaidia kuthibitisha. Hivyo mimi ninapoamini jua litachomoza kesho naamini kitu ambacho leo siwezi kukithibitisha. Nitaweza kukithibitisha kesho.

Hilo sina tatizo nalo. Hata mimi kuna vitu ambavyo naamini ambavyo siwezi kuvithibitisha kama hilo la jua kuchomoza kesho.

Lakini hilo halina contradiction. Mtu akisema "naamini jua litachomoza kesho" hakuna contradiction yoyote katika imani hiyo. In fact imani hiyo ina msingi mzuri tu katika rekodi ya jua kuchomoza kila siku bila kushindwa kuchomoza hata siku moja katika maisha yake yote huyu mtu.

Ila mtu anaposema "naamini kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutokea, lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea" habari hii ina contradiction.

Contradiction ni mambo mawili yanayojipinga.

Kusema "naamini jua litachomoza kesho" hakuna mambo mawili yanayojipinga.

Kusema "naamini kuna Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyekuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani lakini kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana" kuna contradiction.

Upande mmoja Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba dunia ambayo mabaya hayawezekani, upande wa pili Mungu huyu anaamua kuumba dunia ambayo mabaya yanawezekana. Kwa nini? Mungu anajipinga mwenyewe huyu.

Kama ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini hajaumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Alitaka kuumba ulimwengu huo lakini akashindwa tu?

Kama alitaka na akashindwa tu, ni kweli ana uwezo wote?

Ama aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ila hakutaka tu?

Kama aliweza na hakutaka tu, je ni kweli ana upendo wote?

Je ni kweli Mungu huyu yupo au ni hadithi za watu tu?

Unaweza kuthibitisha yupo na kuondoa contradiction hii?
Kama ni hivyo basi hujanijibu kuwa endapo nitakuwa siwezi kuthibitisha itakuaje? Maana maelezo yamejikita kwenye contradition tu.
 
Muislamu anaikana Quran katika thread ambayo anamtetea Mungu wa Quran.

Kichekesho.
 
leta hicho unachodhani kinaweza kuwa mbadala wa Mungu katika balancing and fineturning of dark force for galaxes and bodies to keep on existing.
ethiests physicians dyson,kleban na susskind katika kituo cha natural news concluded * arranging cosmos as we think it is arranged would require a miracle.*
na kumalizia *unkonwn agent (beyond time and space) intervened in the evolution of cosmos for the reason of its own*

13/8/2002.

mimi sihitaji mizunguko hilo wao wanatumia trillions of money mimi natumia dakika tatu kusoma mwanzo 1:1 kuwa Mungu aliumba Muda(in the begining) akaumba na space(heavens) akaumba na matter (earth).
vyote hivi vinategemeana na lazima viumbwe kwa pamoja. ukiumba Muda bila space hiyo space utaiweka wapi? ukiumba space bila Muda ni wakati gani utaiweka hiyo space?
The bible is full of contradictions. Why do you believe it is the word of God?
 
Kama ni hivyo basi hujanijibu kuwa endapo nitakuwa siwezi kuthibitisha itakuaje? Maana maelezo yamejikita kwenye contradition tu.
Siyo endapo huwezi kuthibitisha.

Hujaweza kuthibitisha.

Unaamini kitu chenye contradiction.

Kwanza unakubali hilo?
 
That statement is always qualified that one cannot prove something does not exist outside of a logical context.

We can prove certain mathematical equations do not have solutions.

Mathematics operates on logic.
Kwa hiyo inawezekana?
 
Back
Top Bottom