'Who created God' is an Illogical Question!

Ujinga anao yule anayekataa,uwepo wa Mungu,halafu akuulizia kuhusu vitabu vya huyo asiyekuwepo.
Somo la "immanent critique" ulilielewa?

Maana naona kama hukuelewa inabidi turudie upya.

Au kiingereza kilikupiga chenga umejidai kuelewa kitu ambacho hujuelewa?

Maswalibyako yanaonesha hujaelewa "immanent critique" ni nini bado.
 
Usikwepe sawali,toa uthibitisho wa mabaya ni yapi.
 
Vya Mungu unayemuamini.

Kwani wewe unamuamini Mungu yupi?

Au humuamini Mungu na wewe?
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
 
Usikwepe sawali,toa uthibitisho wa mabaya ni yapi.
Kama mabaya hayapo, huyo Mungu wenu anavyotaka kuwahukumubwatu kwa mabaya anakuwa kakosea au vipi?

Mnaamini Mungubyupo na atatoa hukumu kuhukumu waliofanya mabaya.

Halafu mnataka uthibitisho kama mabaya yapo.

Mnajichanganya.

Hamjui kama mnaenda au mnarudi.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo unarukia kusema Mungu kaumba hili na lile.
kwa kujibu hili unathibitisha huelewi unatoka wapi na unaenda wapi ktk hili. naomba ushirikiano katika hatua tuliofikia.
who is this intellient being /designer. au haukubaliani na hiki kitu kwanza. Utajibu hapa kwa kujibu nilichokuomba then na mimi nakupa upande wangu
 
Wasiomuamini Mungu,ili kujenga hoja wanatumia vitabu,vya wanayesema hayupo,itakuwaje utumie kitabu kisicho na mwenyewe?
 
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Iyo aya ya kwanza tu... chenga. Mbingu ni zipi na nchi ni zipi??? Binaamu kakaa chini kaona atunge huo uongo... yaani Mungu mwenye uwezo wote anapumzikaje?? Mungu amevalishwa taswira ya binadamu...
 
Wasiomuamini Mungu,ili kujenga hoja wanatumia vitabu,vya wanayesema hayupo,itakuwaje utumie kitabu kisicho na mwenyewe?
Kwa sababu tunatumia "immanent critique"

en.m.wikipedia.org/wiki/Immanent_critique

Tatizo hujaielewa "immanent critique" ni nini halafu unajidai umeielewa lakini maswalibunayouliza yanaonesha hujaielewa.

Nabishana na ngumbaru.
 
kwa kujibu hili unathibitisha huelewi unatoka wapi na unaenda wapi ktk hili. naomba ushirikiano katika hatua tuliofikia.
who is this intellient being /designer. au haukubaliani na hiki kitu kwanza. Utajibu hapa kwa kujibu nilichokuomba then na mimi nakupa upande wangu
Why do you think there is an intelligent being?

Why a being and nothing else?
 
Kama mabaya hayapo, huyo Mungu wenu anavyotaka kuwahukumubwatu kwa mabaya anakuwa kakosea au vipi?

Mnaamini Mungubyupo na atatoa hukumu kuhukumu waliofanya mabaya.

Halafu mnataka uthibitisho kama mabaya yapo.

Mnajichanganya.

Hamjui kama mnaenda au mnarudi.
Huyo Mungu,wasema hayupo,sasa haya umeyapata wapi?
 
Kwa sababu tunatumia "immanent critique"

en.m.wikipedia.org/wiki/Immanent_critique

Tatizo hujaielewa "immanent critique" ni nini halafu unajidai umeielewa lakini maswalibunayouliza yanaonesha hujaielewa.

Nabishana na ngumbaru.
Nimekubana pabaya,huna jibu.
 
Huyo Mungu,wasema hayupo,sasa haya umeyapata wapi?
Natumia immanent critique.

Unaelewa "immanent critique" ni nini?

Unaweza kuielezea kwa maneno yako hapa tujue unaielewa na una uwezo wa kuendelea na mjadala huu?
 
Back
Top Bottom