'Who created God' is an Illogical Question!

Kwa hiyo inawezekana?
That is a question from a simpleton.

I just not only answered the question, but I gave parameters on the specifics of how to do so and the limitations of doing so.

Why are you asking a question I just answered?
 
Kabla ya kusema Mungu aliumba hivi na vile...

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Maana yake hapo unataka kwanza aondoe imani ya mungu ili ndiyo aanze kueleza vitu alivyoumba mungu.
 
Uthibitisho wa kuwepo kwa mabaya upo katika Quran.

Huiamini Quran?

Leo nimemfanya Muislamu aikane Quran?
Huna jibu,unababaika,iweje Mungu unayesema hayupo,lakini useme ana kitabu,na kitabu hicho,ndio nyenzo ya kukusaidia hoja zako.
Huna jibu unababaika.
 
What is wrong with contradictions?
They show logical inconsistencies and lies.

They show that an all knowing, all capable and all loving God could not be behind the bible. He would have eliminated those contradictions.

Contradictions in the Bible shows the Bible was written by humans woth no more insight than fallible human insight.
 
Huna jibu,unababaika,iweje Mungu unayesema hayupo,lakini useme ana kitabu,na kitabu hicho,ndio nyenzo ya kukusaidia hoja zako.
Huna jibu unababaika.
Wewe Muislamu lakini unaogopa kusema unaiamini Quran.

Wewe unamuamini huyo Mungu wa kwenye Quran kweli?
 
They show logical inconsistencies and lies.

They show that an all knowing, all capable and all loving God could not be behind the bible. He would have eliminated those contradictions.

Contradictions in the Bible shows the Bible was written by humans woth no more insight than fallible human insight.
You have not answered my question. Why are all those things a problem. Why is a lie wrong? Why is inconsistent wrong? Why is anything wrong at all?
 
Mimi nikiiyamini Qur'an ndio natakiwa nitumie hoja ya kujenga hoja zangu,sio wewe usiyeiamini.
Shule niliyokuoeleka kuhusu "immanent critique" hujafuzu bado.

Unaiamini Quran au huiamini?

Jibu swali.

Ukikataa kujibu unakataa kwa sababu ukijibu unaiamini nitakuonyesha ujinga wako wa kunitaka nithibitishe ubaya upo wakati kitabu chako mwenyewe cha dini kinakuambia ubaya upo duniani.

Ukijibu huiamini utakuwa unakikataa kitabu chako mwenyewe cha dini.

Ukichimama nchale, ukikimbia nchale.

Umeji corner mwenyewe.

Kuamini kwangu mimi,sio sababu ya wewe ujenge hoja kwa usichokiamini.Inatakiwa wewe ujenge hoja kwa unachoamini.
 
Kwa hiyo unaiamini Quran?

Kwa nini nisikubaliane na Quran katika kila kitu?

Katika hili la kwamba kuna mabaya hapa duniani nakubaliana nayo.

Katika la kwamba kuna Mungu sikubaliani nayo.

Wewe unaiamini Quran?
 
Toa uthibitisho kutoka katika nyenzo unayoiamini wewe kuwa haya ni mabaya.
Mimi mwenyewe sikubali kwamba kuua ni mtu kitu kizuri.

Kwa sababu miminsitaki kuuawa.

Wewe unaamini kuua mtu ni kitu kizuri?
 
Kwa hiyo unaiamini Quran?

Kwa nini nisikubaliane na Quran katika kila kitu?

Katika hili la kwamba kuna mabaya hapa duniani nakubaliana nayo.

Katika la kwamba kuna Mungu sikubaliani nayo.

Wewe unaiamini Quran?
Ndio nikakuambia hakuna asiyeamini Mungu,huwa mwajindanganya.Angaliya swali dogo tu nimekupa,imebidi urudi kutaka msaada kwa Mungu kupitia kitabu chake.
Kama unavyoona jibu lako la swali langu,hulipati mpaka upate msaada wa Mungu.Kwa hiyo ujuwe,unayemuomba msaada yupo,na ndiye huo anayekupa jibu.
 
Wapi nimesema naamini Mungu?

Wewe unayesema unaamini Mungu huku hata huwezi kusema unaamini Quran kweli unaamini Mungu?

Kwa Muislamu kuogopa kusema anaamini Quran ni jambo la ajabu sana.

Wewe unamuamini Mungu kweli?

Mbona unashindwa kusema tu hata kama unaamini kitabu chake?
 
Mimi mwenyewe sikubali kwamba kuua ni mtu kitu kizuri.

Kwa sababu miminsitaki kuuawa.

Wewe unaamini kuua mtu ni kitu kizuri?
Usikwepe swali,toa uthibitisho wa kuwa kitu hiki ni kibaya kupitia nyenzo unayoiamini.Ili nijuwe kuuwa ni kitu kibaya,nipe uthibitisho.
 
Wapi nimesema naamini Mungu?

Wewe unayesema unaamini Mungu huku hata huwezi kusema unaamini Quran kweli unaamini Mungu?

Kwa Muislamu kuogopa kusema anaamini Quran ni jambo la ajabu sana.

Wewe unamiamini Mungu kweli?

Mbona unashindwa kusema tu hata kama unaamini kitabu chake?
Kwa muislamu sio lazima aseme anaamini Qur'an,matendo yake ndio yatakayoambatana na kusema kama anaamini vitabu vya Mungu vyote.
 
Kama huna uthibitisho wa mabaya kupitia nyenzo unayoiamini,sema huna,usipoteze wakati.
 
Back
Top Bottom