'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Wewe waamini Qur'an?
Hujajibu swali langu.

Mimi nataka kwenda na mfumo unaouamini wewe.

Kwa sababu ninaweza kukutajia mfumo usiouamini ukawa hukubali jibu langu.

Wewe unaamini Mungu yupo.

Nimekuuliza unaamini Quran?

Ni swali dogo tu. Lijibu.
 
Hujajibu swali langu.

Mimi nataka kwenda na mfumo unaouamini wewe.

Kwa sababu ninaweza kukutajia mfumo usiouamini ukawa hukubali jibu langu.

Wewe unaamini Mungu yupo.

Nimekuuliza unaamini Quran?

Ninswali dogo tu. Lijibu.
Tumia mfumo unaoamini wewe.Utoe uthibitisho.
 
Hujajibu swali langu.

Mimi nataka kwenda na mfumo unaouamini wewe.

Kwa sababu ninaweza kukutajia mfumo usiouamini ukawa hukubali jibu langu.

Wewe unaamini Mungu yupo.

Nimekuuliza unaamini Quran?

Ninswali dogo tu. Lijibu.
Tumia mfumo unaoamini were,ili ithibitishe haya mabaya.
 
Kumbuka nilikuambia,wasioamini Mungu,hutumia nyenzo za Mungu,wasiyemuamini kujenga hoja zao.
 
Utatumiaje uthibitisho,wewe usiouamini,kunithibitishia mimi?
Kwa sababu nikitumia uthibitishobusiouaminibwewe utasema huuamini.

Nikikwambia kuna evil kwa sababu kitabu cha ndama wa dhahabu asiyeonekana wa Wachagga aliye juu ya Mlima Kilimanjaro kimesema hivyo, utaniamini?
 
Hicho kitabu wakiamini?
 
Kwa nini unataka uwe unlimited.
Mungu aliumba limited universe ambayo sio hiyo tu bali hata wewe mwenyew hujajijua 100% na kila kitu ambacho ungehitaji kwenye maisha yako na ambacho kipo within your limit sio wewe tu dunia nzima wameshagundua asilimia chini ya moja. wabishi wote wanapochunguza malimwengu wanakutana na maswali yasiyo na majibu. why claim for unlimitedness while you know nothing on things that are within your limit. he created you to be limited for his own glory and for you to enjoy the world
Hiki unachoeleza unauhakika kuwa ndio ukweli halisi na siyo mawazo yako?

Je wafia dini wengine wakiulizwa swali hili watatoa jibu kama la kwako ama watafikiria jibu lingine?
 
Hivi ni maana ya mantiki (logic) ?
.
Madai ambayo ni logical yanakuwa yanaingia akilini.
Yanakubaliana na kanuni za kimantiki.
Kwa mfano...
--The law of the excluded middle
--Harmonious Major premise, minor premise, and conclusion
--Validity of syllogism
--Soundness of syllogism
Yaani, sio ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom