'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

"Sahihi pale hadi pale" maana yake nini?

Unaniambia mimi niweke maneno yangu sawa wakati wewe ulichoandika hakieleweki?
Nilitaka kusema imani yao pia itakuwa sahihi hadi pale mungu atakapo onekana?
 
Mungu anachukia maovu ndio maana mwanzoni alimuumba mwanadamu hajui mema na mabaya. Lakini alimpa condition kuwa asile tunda la ujuzi wa mema na mabaya. Na akamwambia endapo atakula hakika atakufa. Binadamu akaamua kula tunda alilokatazwa na mungu akafunguliwa akili akawa anajua mema na mabaya, dhambi(mabaya) ndio yanayomchukiza mungu katika viumbe vyake. Hapo awali kulikuwa na direct connection btn humans and God yani God himself used to come down to earth to greet Adam and Eve every evening. Lakini walipodisobey the condition the direct link ikapotea, after that maovu yalizidi sana duniani to the point God alitaka kudestroy dunia yote aliyoiumba then anakuta mtu mmoja ambaye atleast anatenda mema akadestroy dunia flood Noah na familia yake wakasalimika.. Mungu afanya mpango wa salvation ambayo ndo itakuwa permanent solution to maovu akamjaribu Abraham kumsacrifice mwanae wa pekee willingly kuona kama Abraham ataweza kufanya hivyo Abraham akafanikiwa akapewa jina Baba wa Imani kitendo hiki ni muhimu coz kinaashiria jambo ambalo mungu atakwenda kulifanya yeye mwenyewe kupitia lineage ya Abraham Mungu anaenda kumtoa mwanae wa pekee Yesu kristo hii ndo iwe permanent solution ya maovu yaani kupitia damu yake yesu mungu anafanya the last covenant na binadamu this time you need to believe kile kitendo alichokifanya yesu msalabani na kuwa alifufuka.. KITU NACHOWEZA KUSHAURI WANAOBISHA UWEPO WA MUNGU NI KUMUOMBA MUNGU AJIDHIHIRISHE KWAKO KUPITIA YESU KRISTO NAYE ATAFANYA HIVYO. PERSONALLY NIMEMUONA YESU FOR REAL, HE EXISTS..NA NILIKUWA NON BELEIVER KAMA NYINYI. VINGINEVYO HAMNA JINSI..
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Habari za weekend mkuu, thanks kwa mchango wako.

Naona kuna ideology mbalimbali ulizonazo kuhusiana na Evolution. Inakuwa ni ngumu sana kuweza kuendana nawe pamoja katika mjadala.

Katika maisha yangu sijawahi kufundishwa uhusiana kati ya Evolution na Big Bang au Cosmic Evolution. Maana nimesoma evolution as Evolution katika core yake.

PIa theory ya evolution haina mahusuano na dating ila inatumia dating kufanya comparisons sometimes. Datings hiyo ni part nyingine kabisa na errors zake sio errors za Evolution. Hizo errors zinaweza kutokea, ndio maana kuna absolute na relative datings.

Pia evolution haina uhusiano na Kuelezea origin of life. Evolution sio theory ya origin of life, bali ni theory inayoelezea origin of species. Nampa sana points Darwin kwa kuita kazi yake "Origin of Species" lakini wapinzani ndio wanaosema amezungumzia origin of life na kuanza kumpinga bila kusoma kazi yake.

Ninaomba kama tutajadiliana tujadiliane bila Mythologies Na conspiracies. Tujadili kama wasomi na nina imani una uelewa mzuri sana na utanisaidia.

Tuanze mwanzo ili kuondoa elimu isiyokwepo na tuelimishane vyema.

What is the theory of evolution.
Ni paradigm inayotazama historia ya viumbe katika dunia kutoka katika mageuzi yanayofanyika taratibu na kupelekea kutokea kwa aina nyingine ya kiumbe.

(Nimetumia kitabu cha Johnson M, 1999: Archaeological Theory: An Inteoduction. Oxford.)

Mpaka hapo katika simple definition, unakubali kuwa kuna mageuzi yanayofanyika taratibu katika viumbe?
Mkuu ziko vizuri kabisa.
PIa theory ya evolution haina mahusuano na dating ila inatumia dating kufanya comparisons sometimes.
1: There is no evolution if we disregard the concept of time Ndio maana wenzetu wakudi nyuma kwenye EARTH IN TIME AND SPACE, ni Kama uamue kufanya Hesabu za Logarithm bila FOUR FIGURE. Creation accounts for Thousands of years but evolution is hidden in millions of time kwa vipimo vinavyotiliwa shaka kila kukicha nitakupa assignment moja Unielezee baadae kama mtaalamu wa archeology.

2: Usijiminye sana kwenye hako kablanch kamoja maana Yenyewe kama yenyewe dunia ya wanasayansi inakoswa nguvu ya kusimama peke yake. Maana Huwezi kuzungumzia Orgin of species bila kurudi nyuma na kujua where was that species na how did the mother of those species origineted. Yaani unataka kujua Kuhusu Chungwa huku unakimbia kuzungumzia Mchungwa. Ni rahisi kupotoka na kupotoshwa. Na hii inakuwa hivi kwa sababu hadi Darwin na acient evolutionst wanakufa hivi vinavyozungumziwa ikiwemo field ya Geneology ilikuwa haijulikani wala haipo. Ndio maana Pro darwin na Pro-evolutionsts baada ya kugundua hili Walibidi watafute jinsi ya Uipa back up hii theory na vitu hivi unavyovikwepa.
Ukimfufua darwin kesho atakimbia na Kuchoma moto vyote alivyovizungumzia kama akiwa mkweli. Ili kuweka ionekane ina logic they could not escape embedding their theory in Billions of unproven years.

3:Nampa sana points Darwin kwa kuita kazi yake "Origin of Species" lakini wapinzani ndio wanaosema amezungumzia origin of life na kuanza kumpinga bila kusoma kazi yake.

Kile ambacho darwin hakukijua Huwezi kujenga Hoja na Theory kwa kuangalia PHYSIOLOGICAL MAKE UP OF SPECIES. WHAT YOU LOOK LIKE IS NOT THE RESULT OF EXTERNAL INFLUENCE BUT THE GENEALOGY IN YOU CELL MITOCHONDRIA. Hadi anakufa hakujua hilo. Wewe ulivyo, Kipepeo mweusi au mwekundu au brown kuamini kuwa yuko hivyo kwa kumuona nje ni sayansi ya zamani na imeshaachwa/outdated by your fellow Evolutionists. Kuna Bilogical Evolutionists mmoja baada ya kugundua hilo akasema Tulikuwa tunafuata Vitu ambavyo havipo. Tunampongeza Darwin kwa kufikiri Ila Tunamkataa kwa kutaka kureplace evolution na Creation.

HAYO YALIKUWA MAONI YANGU: Tuendelee
What is the theory of evolution.
Ni paradigm inayotazama historia ya viumbe katika dunia kutoka katika mageuzi yanayofanyika taratibu na kupelekea kutokea kwa aina nyingine ya kiumbe
.

Mabadiliko hayo Yanawezaje Kuzungumziwa Kama SUALA LA MUDA UTALIKWEPA. NI Busara kujadili kiumbe kubadilika bila kujadili kiumbe mwenyewe. Yaani kama Movie unaanzia Part 2. Utasema starring ni Mtoto Mtu kwa sababu umemuona Part 2 kumbe part 01 Alikwa ni Mzazi na alikuwa ila kwa sababu hujamuona unawezaje kumake scientific conclusions on what is seen and not what make that organism look the way it is.
Hii changamoto kidogo mkuu nipe madini
 
Nilitaka kusema imani yao pia itakuwa sahihi hadi pale mungu atakapo onekana?
Imani yao nani?

Mungu kuonekana maana yake nini?

Tushaona kwamba kuonekana kitu haina maana kipo.

Nimetoa mfano wa mirage jangwani.

Ushawahi kusikia habari ya mirage?
 
Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, mtu akiniuliza nithibitishe Mungu hayupo maana yake Mungu hayupo then.

Kama Mungu angekuwepo, isingewezekana kuuliza kama hayupo.

Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, tusingeweza kuuliza rangi ya wimbo wa taifa. Wimbo wa taifa hauna rangi lakini tunaweza kuuliza una wimbo gani.

Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, basi nisingeweza kuuliza mji mkuu wa nchi isiyokuwepo ya Maguluguja.

Hebu jifunze kufikiri upya maana inaonekana unawayawaya bila kuelewa misingi ya kufikiri vizuri.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Kwa sababu huwezi.

Kwa sababu hayupo.
Kinachoulizwa(kwa maana waulizaji ni wengi,wanaouliza).Ikiwa muulizaji ni mmoja na na ni kitu hakijawahi kuulizwa,wala hakuna anayeamini kuwepo hicho kitu,muulizaji ataonekana uelewa wake mdogo.Kama wewe unayeuliza rangi ya mwimbo wa Taifa.
 
Kinachoulizwa(kwa maana waulizaji ni wengi,wanaouliza).Ikiwa muulizaji ni mmoja na na ni kitu hakijawahi kuulizwa,wala hakuna anayeamini kuwepo hicho kitu,muulizaji ataonekana uelewa wake mdogo.Kama wewe unayeuliza rangi ya mwimbo wa Taifa.
Kwa hiyo si kweli kwamba kila kinachoulizwa kipo.
 
Tofautisha ya kinachoulizwa(waulizaji ni wengi) na anachouliza(muulizaji ni mmoja).
Wengi ni wangapi?

Kama Mungu yupo, halafu watu wote wa dunia wakaamini hayupo, mtu mmoja tu akaamini Mungu yupo, Mungu atakuwepo au hatakuwepo?
 
Wengi ni wangapi?

Kama Mungu yupo, halafu watu wote wa dunia wakaamini hayupo, mtu mmoja tu akaamini Mungu yupo, Mungu atakuwepo au hatakuwepo?
Usitoe mfano ambao haupo,toka dunia ianze,haijawahi na wala haitatokea kuwako mtu mmoja tu ndio anayeamini uwepo wa Mungu..Mifano yako yote unayotoa ni kinyume na uhalisia.
 
Usitoe mfano ambao haupo,toka dunia ianze,haijawahi na wala haitatokea kuwako mtu mmoja tu ndio anayeamini uwepo wa Mungu..Mifano yako yote unayotoa ni kinyume na uhalisia.
The feeble minded are challenged by abstraction.

Mungu asiyethibitishika unayemsema yupo hujajua kwamba yuko kinyume na uhalisia?
 
By logical examination.

Your God is plagued by contradictions that show he cannot exist.
What is purported to be a contradiction is not necessarily a contradiction.
If you think about it,you can see contradiction .
 
What is purported to be a contradiction is not necessarily a contradiction.
If you think about it,you can see contradiction .
You have not proved that.

Why did an omnipotent, omniscient and omni benevolent God create a universe in which evil is possible while he could have created a universe in which evil is not possible?
 
Can you prove God exists?
Why should someone try to prove to you something you are not believing exists? Either way he will try to prove it in a way you are not used to (Religious) or the one you are used to (Historical and Scientific) And Still you won't agree...
 
Can you prove God exists?
1476606040195.jpg
 
Why should someone try to prove to you something you are not believing exists? Either way he will try to prove it in a way you are not used to (Religious) or the one you are used to (Historical and Scientific) And Still you won't agree...
One should try to prove something because it is unproven.

It should be proven in any way that is logically consistent.
 
Back
Top Bottom