'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Mie kuona maandiko yako ndiyo kuna thibitisha kwamba?
Kumethibitisha kwamba imani yangu kwamba utasoma ni sahihi.

Ulitaka nithibitishe imani.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Hahahahaaa....whenever their so called God challenged about his/her existence, the use evolution as a shield. But if we keep evolution aside what do they have to say
Sasa kwa nini tumwamini Mungu badala ya kumwelewa?
Waulize wanaomuamini Maana Mimi namuelewa.
Imani Huja kwa kusikia neno la Mungu au Kusoma. Kuna maneno ameyasema miaka hiyo ya zamani, Yote scientific findings zinaonyesha kuanzia miaka ya 1998 kuwa ni sawa with proof. Lakini kabla ya hapo hakuna any writtings, wala reference kutoka kwa mwanasayansi, evolutionists, theorogians au mwanadamu yoyote isipokuwa wayahudi wachache walioyaandika kutoka kwa Mungu miaka kibao na yako kwenye bibilia. Hiyo ndio ilikuwa reference pekee duniani hadi kufukia hivi karibuni.
Mimi kazi yangu sasa ni kufanya matching of items between Gods statement which I received through faith and science give me proof for what he said and reality of that power. Na ninaamani na furaha tele. Sio ule uongo uliojificha nyuma ya Mungu Billions/Trillions of time ili tukose evidence. Na juzi Kimekutwa kikombe cha thahabu kwenye mwamba uliosadikiwa kuwa na miaka Million 400 wakachanganyikiwa wakakimbilia OUR ROCK was contaminated. Hahahaaha
 
Waulize wanaomuamini Maana Mimi namuelewa.
Imani Huja kwa kusikia neno la Mungu au Kusoma. Kuna maneno ameyasema miaka hiyo ya zamani, Yote scientific findings zinaonyesha kuanzia miaka ya 1998 kuwa ni sawa with proof. Lakini kabla ya hapo hakuna any writtings, wala reference kutoka kwa mwanasayansi, evolutionists, theorogians au mwanadamu yoyote isipokuwa wayahudi wachache walioyaandika kutoka kwa Mungu miaka kibao na yako kwenye bibilia. Hiyo ndio ilikuwa reference pekee duniani hadi kufukia hivi karibuni.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Kama watu wote wameumbwa na Mungu, kwa nini wawepo wanaomwamini na wengine wanaomwelewa?

Unamwelewa Mungu kwa namna gani?

Unajua Bible ni kitabu chenye makosa na mikanganyiko?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayemwelewa?
 
The universe itself prove it.
The universe itself proves it. Usisubiri uhakikishiwe wakati umezungukwa na evidence wewe mwenyewe ni evidence. Take time to study how the universe is fine tuned.
According to Space time theory. This fine turning is not possible unless there is causative agent, Intelligent, with knowledge, creative power and all these features are cannot be found in vain isipokuwa kwa personal being. Hapo ndipo dunia ilipofikia Sisi tunamalizia kwa kusema HUYO NI MUNGU na sio vinginevyo. Na current update katika discussion ya uwepo wa Mungu wanasayansi na ethiest scientist Baada ya Kugundua DARK ENERGY na Kuprove there is Intelligent being behind this. Wanabishana IS that being in personal or not sio kuwa Yupo au hayupo.
Why must this causative agent be a being and not anything else?

If complexity must be created, then the creator must be more complex and must be created too. Where does this chain end?

God must necessarily need a creator too, and his creator a creator, ad infinitum, ad nausea.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hili umejibiwa vizuri huko nyuma lakini tatizo ni angle uliyokaa. Aliumba watu wenye free will. angeumba robots hata wewe hiyo akili unayotumia kuleta changamoto hizi ndogondgo ungepata wapi huo uwezo. Mshukuru kwa hilo pia
Sasa Mungu yeye kaeleza kila kitu. Mfano mdogo tu, ungekubali Mungu yupo kama mabaya hayangekuwepo?
 
Kama kaumba watu wenye free will mbona hakuna mtu anayeweza kurudi backwards in time?

Kama kaumba watu wenye free will mbona hakuna aliyesaini mkataba wa kukubali kuzaliwa?

Kama kaumba watu wenye free will mbona hakuna anayechagua wazazi?

Kama kaumna watu wenye free will mbona hakuna anayechagua anazaliwa wapi?

Kama mabaya yasi hekuwepo Mungu asingekuwa na contradiction.

Mabaya yapo. Mungu ana contradiction inayoonesha hayupo.
 
Kumethibitisha kwamba imani yangu kwamba utasoma ni sahihi.

Ulitaka nithibitishe imani.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kwahiyo ingetokea kutoisoma imani yako ingekuwa potofu?

Kwa maana hiyo pia wanaoamini kuwa mungu yupo imani yao itakuwa sahihi pale ambapo mungu ataonekana?
 
Why must this causative agent be a being and not anything else?

If complexity must be created, then the creator must be more complex and must be created too. Where does this chain end?

God must necessarily need a creator too, and his creator a creator, ad infinitum, ad nausea.
Hili swali unajibiwa na jamaa zako watatu(ethiests) kwa umoja wao wakiwa kama Wataalamu Wa Physics walichogundua waliishia kusema
"An unkonown agent (Beyond space and time) intervened in the evolution for the reason of its own" Wakihojiwa na mwandishi wa habari. Natafuta article yao yenye page 21. Usome ili uupdate upingaji wako maana wenzako wameshatoka huko wao wanataka kujustfy personality of GOd and not the existence because what they scientifically saw and prove blowed their mind
 
Kwahiyo ingetokea kutoisoma imani yako ingekuwa potofu?

Kwa maana hiyo pia wanaoamini kuwa mungu yupo imani yao itakuwa sahihi pale ambapo mungu ataonekana?
Wapi nimesema nahitaji Mungu aonekane?
 
Hili swali unajibiwa na jamaa zako watatu kwa umoja wao wakiwa kama Wataalamu Wa Physics walichogundua waliishia kusema
"An unkonown agent (Beyond space and time) intervened in the evolution for the reason of its own" Wakihojiwa na mwandishi wa habari. Natafuta article yao yenye page 21. Usome ili uupdate upingaji wako maana wenzako wameshatoka huko wao wanataka kujustfy personality of GOd and not the existence because what they scientifially saw and prove blowed their mind
Watu wamesema unknown agent.

Kwa nini hiyo unknown agent ni lazima iwe Mungu?
 
Wapi nimesema nahitaji Mungu aonekane?
Hakuna niliposema wewe unahitaji mungu aonekane,nimekuiliza tu wanaoamini kuwa mungu yupo ina maana nao imani yao itakuwa sahihi pale ambapo atakapokuja kuonekana mungu? Kama ambavyo imani yako ya kuamini kuwa mie nitasoma post yako inathibitishaka kwa mie kuijibu.
 
Attachments

  • 1476600814032.jpg
    1476600814032.jpg
    51.5 KB · Views: 24
Hakuna niliposema wewe unahitaji mungu aonekane,nimekuiliza tu wanaoamini kuwa mungu yupo ina maana nao imani yao itakuwa sahihi pale ambapo atakapokuja kuonekana mungu? Kama ambavyo imani yako ya kuamini kuwa mie nitasoma post yako inathibitishaka kwa mie kuijibu.
Mungu atakapokuja kuthibitishika yupo.

Kuonekana watu wengine wsnamuona Mungu katika mauzauza yao kabla hawajapewa Valium kutulizwa.

Kuonekana hata jangwani maji yanaweza kuonekana katika mirage, lakini hilo halimaanishi maji hayo yapo.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Mungu anachukia maovu ndio maana mwanzoni alimuumba mwanadamu hajui mema na mabaya. Lakini alimpa condition kuwa asile tunda la ujuzi wa mema na mabaya. Na akamwambia endapo atakula hakika atakufa. Binadamu akaamua kula tunda alilokatazwa na mungu akafunguliwa akili akawa anajua mema na mabaya, dhambi(mabaya) ndio yanayomchukiza mungu katika viumbe vyake. Hapo awali kulikuwa na direct connection btn humans and God yani God himself used to come down to earth to greet Adam and Eve every evening. Lakini walipodisobey the condition the direct link ikapotea, after that maovu yalizidi sana duniani to the point God alitaka kudestroy dunia yote aliyoiumba then anakuta mtu mmoja ambaye atleast anatenda mema akadestroy dunia flood Noah na familia yake wakasalimika.. Mungu afanya mpango wa salvation ambayo ndo itakuwa permanent solution to maovu akamjaribu Abraham kumsacrifice mwanae wa pekee willingly kuona kama Abraham ataweza kufanya hivyo Abraham akafanikiwa akapewa jina Baba wa Imani kitendo hiki ni muhimu coz kinaashiria jambo ambalo mungu atakwenda kulifanya yeye mwenyewe kupitia lineage ya Abraham Mungu anaenda kumtoa mwanae wa pekee Yesu kristo hii ndo iwe permanent solution ya maovu yaani kupitia damu yake yesu mungu anafanya the last covenant na binadamu this time you need to believe kile kitendo alichokifanya yesu msalabani na kuwa alifufuka.. KITU NACHOWEZA KUSHAURI WANAOBISHA UWEPO WA MUNGU NI KUMUOMBA MUNGU AJIDHIHIRISHE KWAKO KUPITIA YESU KRISTO NAYE ATAFANYA HIVYO. PERSONALLY NIMEMUONA YESU FOR REAL, HE EXISTS..NA NILIKUWA NON BELEIVER KAMA NYINYI. VINGINEVYO HAMNA JINSI..
 
Mungu atakapokuja kuthibitishika yupo.

Kuonekana watu wengine wsnamuona Mungu katika mauzauza yao kabla hawajapewa Valium kutulizwa.

Kuonekana hata jangwani maji yanaweza kuonekana katika mirage, lakini hilo halimaanishi maji hayo yapo.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Hebu yaweke maelezo yako katika hali ya kujibu nilichouliza kuwa wanaoamini mungu imani yao itakuwa sahihi pale hadi pale mungu atakapo onekana?

Halafu mie nisingejibu post je,imani yako ya kuwa mie nitaona post yako ingekuwa potofu?
 
"Sahihi pale hadi pale" maana yake nini?

Unaniambia mimi niweke maneno yangu sawa wakati wewe ulichoandika hakieleweki?
 
Back
Top Bottom