'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Yes, because you exist! God is the Creator so long we see you it proves that the one created you exists
If u are talking about him (Kiranga)... he was not created but he was born, but u can ask that question kivingine. (Ndio maana haujawahi kukuta swali unaulizwa hivi, umeumbwa lini bali utaulizwa umezaliwa lini. Na jibu lake utaanza kwa kusema i was born ........ and not i was created........
 
Kwanza kinatengenezwa ndio kikazunduliwa.Gari hutengenezwa kwanza halafu ndio inazunduliwa.
Kutengenezwa=kuumbwa
Kuzaliwa=kuzinduliwa
Kinachozaliwa kinaumbwa kwanza ndio kikazaliwa.
 
Nikiwa nasafiri baharini....na kuitazama ilivyo na kuitafakari bahari ni miongoni mwa mambo ambayo yananifikirisha uwepo wa mwenyezi mungu na uwezo wake.....
 
Wasioamini Mungu,huamini chochote anachokiona yupo aiyekifanya..Lakini anajishangaa yeye mwenyewe,kwa dunia na viumbe kujitengeneza vyenyewe,akiambiwa Mungu ndio muumbaji anakataa,anajuwa kama anajindanya lakini anajifanya hajui kama anajidanganya.
 
Kuna mantiki kuuliza mungu kaumbwa na nani?
Kama hujui kitu, kutouliza ndiko hakuna mantiki, kuuliza hakuwezi kuwa hakuna mantiki.

Kwa nini ujifunge kwenye nani na uache nini?
 
Wasioamini Mungu,huamini chochote anachokiona yupo aiyekifanya..Lakini anajishangaa yeye mwenyewe,kwa dunia na viumbe kujitengeneza vyenyewe,akiambiwa Mungu ndio muumbaji anakataa,anajuwa kama anajindanya lakini anajifanya hajui kama anajidanganya.
Wewe hata kuandika Kiswahili una matatizo.

Una utapiamlo wa elimu.

Unataka kubishana kuhusu uwepo wa Mungu nami wakati hata hujawahi kumsikia Alvin Plantinga!
 
Kwanza kinatengenezwa ndio kikazunduliwa.Gari hutengenezwa kwanza halafu ndio inazunduliwa.
Kutengenezwa=kuumbwa
Kuzaliwa=kuzinduliwa
Kinachozaliwa kinaumbwa kwanza ndio kikazaliwa.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Hebu toa mfano wa jambo unaloamini halafu thibitisha ili tujue kuthibitisha katika jambo la imani kuna maanisha nini.
Niliamini kwamba nilivyopost hiyo post uliyoijibu, itafika kwenye servers salama, itakuwa saved na wewe utaisoma na kuijibu.

Nimethibitisha imani yangu uliponijibu.
 
Religion stands upon the FAITH, people worship things that they don't understand clearly or at all. But evolution stands upon the knowledge , evolutionists are continuously seeking to understand how changes within the living things are possible and why.

So have you seen the difference between evolution and religion? Now let get back to the topic, we are debating on the topic that ''Is it possible for GOD to create everything yet him/herself has got no creator?''
Inahitaji imani tena kubwa sana kuwa EVOLUTIONIST(Refer Evolution is not science but Fictions that hides in Science and Billions of years remains as their God Without this no evolution), lakini Kuaminu Uwezo wa Mungu wa UUMBAJI unahitaji Vyote Imani, Knowledge and science. Maana imani chanzo chake ni kusikia unachokisikia ni knowledge then You use science to prove Hilo. Na hii imekuwa proven from cosmology level to Gemone level.

Inawezekana
 
Huko kusema unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu,ndio uthibitisho tosha wa kuwa yupo.Kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake.
Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, mtu akiniuliza nithibitishe Mungu hayupo maana yake Mungu hayupo then.

Kama Mungu angekuwepo, isingewezekana kuuliza kama hayupo.

Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, tusingeweza kuuliza rangi ya wimbo wa taifa. Wimbo wa taifa hauna rangi lakini tunaweza kuuliza una wimbo gani.

Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, basi nisingeweza kuuliza mji mkuu wa nchi isiyokuwepo ya Maguluguja.

Hebu jifunze kufikiri upya maana inaonekana unawayawaya bila kuelewa misingi ya kufikiri vizuri.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Kwa sababu huwezi.

Kwa sababu hayupo.
 
Nikiwa nasafiri baharini....na kuitazama ilivyo na kuitafakari bahari ni miongoni mwa mambo ambayo yananifikirisha uwepo wa mwenyezi mungu na uwezo wake.....
Kukufikirisha uwepo wa Mungu hakuthibitishi uwepo wa Mungu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Let's grant you that what you have said is the truth.

Can you prove God, the omnipotent, the omniscient the omni benevolent exists and is the creator of the universe?
Hahahahaaa....whenever their so called God challenged about his/her existence, the use evolution as a shield. But if we keep evolution aside what do they have to say
Inahitaji imani tena kubwa sana kuwa EVOLUTIONIST(Refer Evolution is not science but Fictions that hides in Science and Billions of years remains as their God Without this no evolution), lakini Kuaminu Uwezo wa Mungu wa UUMBAJI unahitaji Vyote Imani, Knowledge and science. Maana imani chanzo chake ni kusikia unachokisikia ni knowledge then You use science to prove Hilo. Na hii imekuwa proven from cosmology level to Gemone level.

Inawezekana
Sasa kwa nini tumwamini Mungu badala ya kumwelewa?
 
Niliamini kwamba nilivyopost hiyo post uliyoijibu, itafika kwenye servers salama, itakuwa saved na wewe utaisoma na kuijibu.

Nimethibitisha imani yangu uliponijibu.
Nimekuomba jambo unaloamini na si uliloamini kwa sababu mie nitajuaje kama kweli uliamini hivyo.

Na hata hivyo mie kuijibu ndiyo kunathibitisha kwamba?
 
Nimekuomba jambo unaloamini na si uliloamini kwa sababu mie nitajuaje kama kweli uliamini hivyo.

Na hata hivyo mie kuijibu ndiyo kunathibitisha kwamba?
Sasa hivi naandika tena. Naamini utaona maandiko haya.
 
Let's grant you that what you have said is the truth.

Can you prove God, the omnipotent, the omniscient the omni benevolent exists and is the creator of the universe?
The universe itself prove it.
The universe itself proves it. Usisubiri uhakikishiwe wakati umezungukwa na evidence wewe mwenyewe ni evidence. Take time to study how the universe is fine tuned.
According to Space time theory. This fine turning is not possible unless there is causative agent, Intelligent, with knowledge, creative power and all these features are cannot be found in vain isipokuwa kwa personal being. Hapo ndipo dunia ilipofikia Sisi tunamalizia kwa kusema HUYO NI MUNGU na sio vinginevyo. Na current update katika discussion ya uwepo wa Mungu wanasayansi na ethiest scientist Baada ya Kugundua DARK ENERGY na Kuprove there is Intelligent being behind this. Wanabishana IS that being in personal or not sio kuwa Yupo au hayupo.
 
Back
Top Bottom