FOUNDER WA EVOLUTIONIST IDEA ALIKUWA NI THEOLOGIAN BY PROFESSION CHARLES DARWIN BABU YAKE ALIYEMLEA AKIWA NI FREEMASON NA NDIYE ALIEMUINJECT HIZO IDEAS PIA. KITABU CHA PRINCIPLES OF GEOLOGY ALICHOKIWA ANAKISOMA KIKAMUINFUENCE KUTUNGA HUO HUONGO KILIANDIKWA NA CHARLES LYELL AMBAYE BY PROFFESSION NI MWNASHELIA 1830. HUKU ALIYEANZISHA HOJA YA DUNIA IMEUMBWA MIAKA MINGI SANA NA HICHO NDIO KICHAKA CHA UONGO ULIOUATTACH NI JAMES HUTTON AMBAYE ALIKUWA MKULIMA BY PROFFESSION.
UKIIJIFUNZA KUTOKEA KWENYE MIZIZI EVOLUTION SIO SCIENCE NI KAMA DINI YA KIPANGANI TU NA UONGOUONGO
ni vigumu sana kuniambia evolution is a lie wakati ninaiona na ninaisoma to the deep katika level ya postgraduate (Masters to pHD). Kweli aseeHamna kitu hapo
Umeandika vizuri.Charles Lyell ni mwanagiolojia na ndio alileta idea za Uniformitarianism na Sedimentology. Hakuhusika na Evolution lakini as geologists kwenye archaeological excavation wanashiriki katika kuchunguza miamba na layers ambazo archaeologists wana excavate.
James Hutton hakuwa mkulima by profession sijui tunapata wapi hizo taarifa ni geologists na ukulima ilikuwa kama sehemu ya life tu sio profession na alikuwa geologists na physician na anafahamika katika theory ya Uniformitarianism.
Wote hao walipinga idea ya Archibiship Usher aliyesema dunia ina miaka 4004 baada ya kanisa kufanya calculation za age kupitia generation chronology ya maandishi ya biblia kwa kuangalia miaka ya individuals na ku trace back genesis ilikuwa muda gani.
Nawaongeza kwa kuwa watafiti wa mwanzo kusema kuwa dunia ni older more than million of year, well its still accepted mpaka hivi leo.
Pia Charles Darwin sio founder wa Evolution pia Erasmus Darwin sio founder wa Evolution. Evolution ni ideo iliyoanza kuzungumziwa thousands of years before Darwin. Vedas from Hindus inasema all species evolves na hakuna species inayobaki permanently in appearance. Pia Vedas inasema kuna evolution of consciousness and species from one species to another.
Greeks na Romans kuna Lucretius aliyesema life must have evolves from simple to complex. Naye aliamini Evolution idea ya species kubadilika. Herodutus naye aliwahi kusema kuhusu evolution. Kuna scholar wa kiarabu jina lake nimesahau ndio alikuwa wa kwanza kuandika evolution of species katika documents zake 600AD lakini alipingwa,
Umenena vizuri, tutajaribu kubadilishana mawazo kidogo.
Ila
The proposal that one type of organism could descend from another type goes back to some of the first pre-Socratic Greek philosophers, such as Anaximander and Empedocles.[32] Such proposals survived into Roman times. The poet and philosopher Lucretius followed Empedocles in his masterwork De rerum natura (On the Nature of Things).[33][34] In contrast to these materialistic views, Aristotle considered all natural things, not only living things, as being imperfect actualisations of different fixed natural possibilities, known as "forms," "ideas," or (in Latin translations) "species.
Source: History of evolutionary thought - Wikipedia
Lakini historia zao na maisha yao sio ya muhimu. Cha muhimu ni elimu waliyoshare ambayo inajibu maswali fulani katika uelewa. Ndio maana nikasena kama kuna mtu atakayejibu hayo maswali vyema bila evolution sitampinga.
Mimi ni archaeologist, nimeshika hiyo mifupa na karibu kila wiki ninadeal nayo Laboratoryni vigumu sana kuniambia evolution is a lie wakati ninaiona na ninaisoma to the deep katika level ya postgraduate (Masters to pHD).
Kama kuna logic inayoweza kujibu hayo maswali niliyouliza nakiri kuwa tayari kukubali kujifunza. Lakini kama hakuna logic nitaendelea kuikubali evolution. Pia simkosei mtu kwa sababu I am not a christian and I am not a muslim. Na my spiritual path inaunga mkono evolution. Hivyo sio kila imani ipo against evolution ni imani chache ndio zipo against it.
Nataka majibu yangu then I will accept whats right.
Umeandika vizuri.
Na pili nitaandaa thread ya Imagination na flaws ya hicho kipimo scientifically tujadili pia.
Ila mfano mdogo tu kwanza.
Kulingana na Gazeti la discovery mwaka 2006, wenzako waligundua mfupa wa Dainasour ambao kwa ndani ulikutwa na fresh blood cells. Kulingana na kipimo cha miaka tunaambiwa dainasours kwa mara ya mwisho kuwepo ni miaka 65 Million na kwa akili ndogo kabisa Haiwezekani miaka hiyo leo ukutane nadamu ya kitu kilichokufa miaka million 65 ioliyopita. Jamaa wakapanic na Kuanza kubisha.
Tukianza kuprove the AGEMETER yenu ndio chanzo cha Upotofu na ukiiprove wrong hiyo utakuwa umeua hii discussion.
Mfano Mzur, Kuna jamaa walikuta ndoana(Fishing reel) ndani ya Mwamba au jiwe dogo. Wakalipima likaonekana linamiaka 300MIllioni wakati patent ya kwanza ya FIshing reel ilikwa ni 1874. Fuatilia the reel in the rock.
WOte waliishia kubisha na uhalisia. Mkuu nitapitapita hapa kwa kadili nitakapopata nafasi.
NImekutajia hao watu uliowachambua kana kwamba unawajua sana, Kwa sababu ndio founder wa grobal movement wa evolution na related stuffs ikiwepo hiyo theory ya lyell ambayo pia ni expansion ya ideas za mjerumani George Cuvier na mwingereza William smith. Hiyo ya miaka ya zamani ni sawa na mababu wetu wa miaka ya zamani walivyokuwa wanaamini kuwa Kila mwaka lazima utooe kafara mtu ili mvua inyeshe. Wangekuwa na Influence wangetawala dunia nzima kama hao wakina darwin. Ni UPOTOFU UNAOJIPENDEKEZA KWENYE SCIENCE WAKATI HIZO IMANI HAZINA TOFAUTI NA MILA POTOFU ZA VIJIJINI KWETU. Tunashida na hawa watu niliwataja maana kupitia hao wewe na wengine wengi wenda mnekubwa na matatizo. Na Their theories are emphasized as facts in all areas of life movies,schools, universities some churches, etc
Mbona kuna watu wengi tu wanaamini katika Mungu na hawakichi kuuana?Hapo ndipo ulipopaona.... if they real think about God. Tusingewaona wote wakibehave the same... yaani wangekuwa wastaarabu na wasingepigana wakati wa chakula... kwasababu sio sifa tunazoambiwa ni za Kimungu...Mungu hawezi kuwa double standards.
Mtu atakataa ukweli huu kwa sababu hataki tu kuuelewa au hoja yake ishinde.Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).
(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).
I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;
Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .
You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.
To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.
Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.
To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Usimuogope mtu kuwa huru katika mawazo yako,ushasema hutaki kuamini unataka kuelewa.Imani siyo kitu kibaya, kitu kibaya chaweza kuwa msingi inaposimama imani.Msingi ukiwa imara imani itakuwa ya kweli, lakini msingi ukiwa hovyo imani itakuwa potofu.
Kwa mfano, naamini mimi ni mwanaume kwakuwa NINAJUA kwamba mimi ni mwanaume, na ninajua mimi ni mwanaume kwa maana ushahidi upo.Hivyo imani yangu kwamba mimi ni ME ni ya kweli kwa kuwa inasimama juu ya msingi uelewa.Lakini nikiamini wewe ni ME bila kukufahamu inaweza isiwe imani ya kweli.Waweza kuwa KE, waweza kuwa Bisexual na imani yangu yakuwa wewe ni ME ikawa potofu.Na imani yangu kwako inakuwa potofu kwa maana imesimama juu ya msingi illusion.
Kwa hiyo basi, ili imani iwe na nguvu lazima isimame juu ya msingi uelewa.
Nishakwambia kuwa kusema kwako kuwa huna tatizo na imani haina maana kuwa ni kweli huna tatizo na imani.Hata mimi nilisema awali kabisa nataka kuelewa siipi imani umuhimu sana.
Lakini ukweli ni kwamba imani haiepukiki.
Ukishapanga siku yako kesho, unatumia imani. Hakuna anayejua kwamba kesho itakuwepo.
Ukijibu post JF, unatumia imani. Hakuna mwenye hakika kwamba unachoandika kitakuwa posted kabla server haijacrash. Imetokea mara kadhaa nimeandika halafu natuma, wakati natuma internet imekata au server imekataa kupokea post.
Kwa hiyo, tatizo si imani.
Hakuna anayeweza kuishi bila imani.
Hata katika kujua unaanza na imani.
Hata kwenye sayansi unaanza na hypothesis, una verify ndo unaenda kujua ukweli. Unapoanza na hypothesis kabla hujafanya experiment pale umetumia imani.
Sina tatizo na imani.
Anayesema anaweza kuishi bila imani hajafikiri vizuri.
Sina hata tatizo na imani mbovu kama hainigusi. The Universal Declaration of Human Rights guarantees right to freedom of religion.
Ila ukileta imani yako JF, nikaiona potofu, nina wajibu wa kusema ninachoona sawa.
Kuna tofauti kati ya umani rational ya kuamini jua litachomoza kesho au kuamini post yangu itakuwa posted JF on the ine hand na imani potofu ya kuamini Mungu anaye ji contradict on the other hand.
Kwa nini unataka kufananisha mtu anayeamini jua litachomoza kesho (kitu ambacho hakina contradiction) na mtu anayeamini Mungu muweza yote mwenye ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye maovu mengi (kitu chenye contradiction) ?
Ni wanafiki... wanasema wanaamin ila matendo yanapingana.Mbona kuna watu wengi tu wanaamini katika Mungu na hawakichi kuuana?
Basi hoja yako ya kusema kuwa kuamini mungu kunaleta ustaarabu haina nguvu.Ni wanafiki... wanasema wanaamin ila matendo yanapingana.
Nimemwogopa nani?Usimuogope mtu kuwa huru katika mawazo yako,ushasema hutaki kuamini unataka kuelewa.
Hata mfano wako wa jinsia yako kutaka kufanya ni suala la imani,inaonesha wazi unalazimisha tu kitu ambacho hukubaliani nacho.
Safi sana mkuu, wanaotaka kujua Mwanzo Wa Mungu, wajue kwamba Mungu Hana mwanzo na mwisho, Kama hawataki, watueleze namba zimeanzia ngapi na mwisho ni ngapi.Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).
(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).
I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;
Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .
You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.
To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.
Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.
To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Unaye muogopa unamjua mwenyewe vizuri.Nimemwogopa nani?
Umejuwaje sipo huru?
Jambo gani ninalolazimisha?
Ninaye muogopa ni nani hasa? ebu mtaje.Unaye muogopa unamjua mwenyewe vizuri.
Nimejua haupo huru baada ya kutaka kujaribu kugeuza ulichokisema mwanzoni kuwa hutaki kuamini unataka kuelewa.
Unalazimisha nawe pia kuonekana huna tatizo na imani(ni tofauti na mwanzo) kwa kutoa mfano ambao hausiani na imani.
Charles Lyell ni british lawyer How can a lawyer write a reliable geologist book.Charles Lyell ni mwanagiolojia na ndio alileta idea za Uniformitarianism na Sedimentology. Hakuhusika na Evolution lakini as geologists kwenye archaeological excavation wanashiriki katika kuchunguza miamba na layers ambazo archaeologists wana excavate.
James Hutton hakuwa mkulima by profession sijui tunapata wapi hizo taarifa ni geologists na ukulima ilikuwa kama sehemu ya life tu sio profession na alikuwa geologists na physician na anafahamika katika theory ya Uniformitarianism.
Wote hao walipinga idea ya Archibiship Usher aliyesema dunia ina miaka 4004 baada ya kanisa kufanya calculation za age kupitia generation chronology ya maandishi ya biblia kwa kuangalia miaka ya individuals na ku trace back genesis ilikuwa muda gani.
Nawaongeza kwa kuwa watafiti wa mwanzo kusema kuwa dunia ni older more than million of year, well its still accepted mpaka hivi leo.
Pia Charles Darwin sio founder wa Evolution pia Erasmus Darwin sio founder wa Evolution. Evolution ni ideo iliyoanza kuzungumziwa thousands of years before Darwin. Vedas from Hindus inasema all species evolves na hakuna species inayobaki permanently in appearance. Pia Vedas inasema kuna evolution of consciousness and species from one species to another.
Greeks na Romans kuna Lucretius aliyesema life must have evolves from simple to complex. Naye aliamini Evolution idea ya species kubadilika. Herodutus naye aliwahi kusema kuhusu evolution. Kuna scholar wa kiarabu jina lake nimesahau ndio alikuwa wa kwanza kuandika evolution of species katika documents zake 600AD lakini alipingwa,
The proposal that one type of organism could descend from another type goes back to some of the first pre-Socratic Greek philosophers, such as Anaximander and Empedocles.[32] Such proposals survived into Roman times. The poet and philosopher Lucretius followed Empedocles in his masterwork De rerum natura (On the Nature of Things).[33][34] In contrast to these materialistic views, Aristotle considered all natural things, not only living things, as being imperfect actualisations of different fixed natural possibilities, known as "forms," "ideas," or (in Latin translations) "species.
Source: History of evolutionary thought - Wikipedia
Lakini historia zao na maisha yao sio ya muhimu. Cha muhimu ni elimu waliyoshare ambayo inajibu maswali fulani katika uelewa. Ndio maana nikasena kama kuna mtu atakayejibu hayo maswali vyema bila evolution sitampinga.
Mimi ni archaeologist, nimeshika hiyo mifupa na karibu kila wiki ninadeal nayo Laboratoryni vigumu sana kuniambia evolution is a lie wakati ninaiona na ninaisoma to the deep katika level ya postgraduate (Masters to pHD).
Kama kuna logic inayoweza kujibu hayo maswali niliyouliza nakiri kuwa tayari kukubali kujifunza. Lakini kama hakuna logic nitaendelea kuikubali evolution. Pia simkosei mtu kwa sababu I am not a christian and I am not a muslim. Na my spiritual path inaunga mkono evolution. Hivyo sio kila imani ipo against evolution ni imani chache ndio zipo against it.
Nataka majibu yangu then I will accept whats right.
Mwanzo ulisema hutaki kuamini bali unataka kuelewa,ina maana kuna tofauti ya kuamini na kuelewa na ndiyo maana ukasema hutaki kuamini bali unataka kujua.Ninaye muogopa ni nani hasa? ebu mtaje.
Msimamo wangu upo pale pale kuwa kuelewa ni muhimu kuliko kuamini, na kama tutaamini basi imani itanguliwe na uelewa.
Mimi nina imani nyingi sana, imani ambazo nimezijenga juu ya uelewa.Uelewa una nguvu kuliko imani, lakini imani yaweza kuongeza nguvu juu ya uelewa, swali:Imani ya namna gani? imani potofu? hapana!...Ni imani yenye macho, inayotanguliwa na uelewa....Imani inatakiwa kutupa nguvu ya kuukubali ukweli unaotokana na uelewa.
Sawa,Nishakwambia kuwa kusema kwako kuwa huna tatizo na imani haina maana kuwa ni kweli huna tatizo na imani.
Unaposema huipi nafasi sana imani unakuwa na maana gani ikiwa kweli unakubali kuwa kuna imani sahihi na potofu?
Nimekuelewa sanaTatizo ni kuwa na cyclic evidence, una kitabu kinachosema Mungu yupo, ukiulizwa where is the evidence unasema, ushahidi upo kwenye kitabu hicho hicho, Huwezi ukawa na self authenticated evidence. The claimant and the evidence can not be from the same.