'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

The source will be punished severely multiple times over human beings
The book of Revelations inazungumzia hayo
Binadamu pia atakuwa punished for his disobedience,

Teach me niweze kufahamu vyema. I am not against it, We are investigating it.

If you have a flu, the cure is to eliminate pathogens and not cells ambazo zimekuwa affected na vimelea.

Then why do we have to be punished if we are not the source? Kama wanadamu wangekwepo peke yao bila satan isingeumbwa, hata hiyo punishment isingikwepo.

Its unfair! We know the source of evil is Satan and Satan was created by God and God knows the future, then why all of these miserable life and punishments?
 
Th
Wewe unajua yote yaliyopo ulimwenguni?

Wote waliopo ulimwenguni?

Na vyote vilivyopo ulimwenguni?

Kwa kifupi, wewe unajua yote yaliyopo popote pale?

Bro
I am impressed

my first point kwenye hii argument

Ili kusema Mungu hayupo inabidi uwe unajua all truth 100%

Sasa nna uhakika kiranga hata 40% ya all truth hajui

What if 60% ya hiyo truth ambayo haijui ndiyo inampoint straight to God?
 
Mkuu hata wachungaji wanajua kabisa kuwa hakuna sauti ya Mungu.Ukitaka kuthibitisha hilo fanya zoezi hili:

Chukua milioni moja uende kanisani/ofisini kwa mchungaji, ukifika mwambie....Baba mchungaji nimeisikia sauti ya Mungu ikiniambia nimtolee malimbuko/fungu la kumi, nami kwa kuitii sauti ya Mungu nimemletea Bwana haki yake.Nakuomba uipokee, uiombee na uniombee kwa Mumngu.(observe reaction, kama vile facial expressions)....Lazima atafurahi sana, na kukusifu kwa kuisikia sauti ya Bw.

Baada ya miezi miwili nenda tena kwa mchungaji na umwambie....Baba mchungaji Mungu amejidhihirisha kwangu na amenibariki....nimepandishwa cheo kazini na mshahara wangu umeongezeka zaidi ya mara mbili na nusu.Lazima aseme haleluya na kumshangilia Bwana.Mpe chochote(pesa) halafu mfanye sala ya kuagana.Hakikisha unawasiliana naye mara kwa mara.

Miezi mitatu baadae mwendee tena na umwambie....Baba mchungaji nimeisikia ile sauti ya Bwana ikinena nami, inaniambia niache kazi....nimesali sana kumtaka Bw. aniambie nitafanya nini baada ya kuacha kazi lakini Bwana amenitaka niache kazi kwanza....observe reaction, hapo hawezi kuishangilia sauti ya bwana kama ile ya mwanzoni....Lazima akuambie....umeisikiliza vema sauti ya Bw?....Na badala ya kukusifu kwa kuisikiliza sauti ya bwana, atakuambia nenda kasali, funga, na kesha kumwomba Bwana akujulishe kama amenena nawe?.....Hapo ndo utaelewa hawa watu walishajidatia longi.

Nmecheka sana baada ya kusoma hapa.
Nakubaliana na wewe kiongozi. I wish siku nijaribu hii
 
I
Teach me niweze kufahamu vyema. I am not against it, We are investigating it.

If you have a flu, the cure is to eliminate pathogens and not cells ambazo zimekuwa affected na vimelea.

Then why do we have to be punished if we are not the source? Kama wanadamu wangekwepo peke yao bila satan isingeumbwa, hata hiyo punishment isingikwepo.

Its unfair! We know the source of evil is Satan and Satan was created by God and God knows the future, then why all of these miserable life and punishments?
disagree with you brother

Flu is caused by Viruses, Rhinovirus kama sikosei viruses wanaingia ndani ya cell wanachangamana na DNA ya cell zako wankuwa part and parcel of the cell coz virus hawezi kusurvive nje ya cell ya binadamu.

Mfano huo huo ni kwa binadamu na hata Mfumo wa ulinzi wa mwili haujengi kwenda sijui ndani ya cell kutofautsha virus na cell ya mwili.

Mfumo wa defence ya mwili unaenda kudestroy the infected cell na virus wake aliye ndani

Kapitie CELL mediated immunity uone

mfano mwingine
Ukiona umtu ana jipu lina usaha jua hapo kuna cell za mwili na cell za bacteria zimeuwawa not one of them
 
Yes, because you exist! God is the Creator so long we see you it proves that the one created you exists
Hawezi kumuumba alafu akapotea? Maana hilo swali 'Is god exists' mi nalitafasiri kwamba uenda alikuwepo na akapotea kwa sababu zisizo elezeka au hayupo kabisa.Ni mtazamo tu jamani upande wangu naamini mungu yupo na ataendelea kuwepo.
 
I

disagree with you brother

Flu is caused by Viruses, Rhinovirus kama sikosei viruses wanaingia ndani ya cell wanachangamana na DNA ya cell zako wankuwa part and parcel of the cell coz virus hawezi kusurvive nje ya cell ya binadamu.

Mfano huo huo ni kwa binadamu na hata Mfumo wa ulinzi wa mwili haujengi kwenda sijui ndani ya cell kutofautsha virus na cell ya mwili.

Mfumo wa defence ya mwili unaenda kudestroy the infected cell na virus wake aliye ndani

Kapitie CELL mediated immunity uone

mfano mwingine
Ukiona umtu ana jipu lina usaha jua hapo kuna cell za mwili na cell za bacteria zimeuwawa not one of them

Its okay, you don't have to agree with my views brother.

I am really sorry mfano wangu najua kabisa sio sahihi. Nalifahamu vyema hilo. Nimetumia a simple example ambayo theme yake is very important than it's story.

Ila theme yangu ni kuwa kama una ugonjwa uliosababishwa na vimelea fulani then unachotakiwa usilaumu seli zilizoharibiwa bali weka lawama na curses kwenye kimelea ambacho ni chanzo. Zile seli zisingeweza kujiharibu zenyewe.
 
Th

Bro
I am impressed

my first point kwenye hii argument

Ili kusema Mungu hayupo inabidi uwe unajua all truth 100%

Sasa nna uhakika kiranga hata 40% ya all truth hajui

What if 60% ya hiyo truth ambayo haijui ndiyo inampoint straight to God?

Well, maybe he knows everything...
 
Kiranga
Are you in or out?
Why are you quiet on your stance

Are you in or out?

You're ready to enter into a deep study analyzing both sides

Because if you don't that means you're not logical at all.
You're a judge in a courthouse and you listen to one de of the story alone then make a decision

It will speak volumes about your true Character and be sure that I'll bring it up as often as i can

Make a choice man I am waiting
 
Well, maybe he knows everything...

Well if he does i am afraid he's a total disappointment with that much knowledge his influence in the World should have been bigger than just being an athiest commenter on a local forum

Well that goes along with many other failure stories we've heard.
Very gifted, Zero impact
 
Ukimbana akimbia Kiranga,enda uliza kwa wanaomdanganya kama Mungu hayupo.Ili aje ajibu hoja.
 
You seemingly don't have a clue of what I said, do you?

Why do i want to give you a link? these are things that I agree with, things that I agree as far as those misunderstandings you posted

i dont have time to write you a book explaining those issues. I will use references that I agree upon alright?

AIM is so that you see both sides of the coin and come to a conclusion

Instead of reading one side of the story and assuming it to be correct becausw it is convenient to you
How do you know that I don't know the other side of the coin?

Is there any new argument that I have not read before?

Imma bust a verse, just in case
Your mellon is a vase that's not the best
I have seen the non sequitur
The Deus ex Machina
From basilica of St. Peter
To the Forbidden City of China
The Philistine of pristine St. Augustine
Anselm's discipline turned not so clean
I flew from Dar es salaam to Dharamsala
Where the oxygen is so thin you lose your color
Busted a verse with a guitar, reading Bhagavad Gita
With not a thought of a senorita
I read P. Pojman and all the anthologies
Had Lewis for breakfast, without apology
At the Ramada, I slept with Dhamapada
And woke with Upanishads without a bother
I took cover under a sage, Bodhisattva
While contemplating the lotus of Java
Silas and Paul, couldn't convince at all
On why we inherit the sins from Adam's fall
A God less charitable than Sir Baden-Powell
Is one that gets stuck in a logical stall
A brick wall so tall
This God contradiction, bogged by fiction
I have jurisdiction to indict so listen
God doesn't exist, this is no myth
And if you insist to persist logic you miss
Jesus was a phoney, full of baloney
That's why he left the talk sweeter than honey
While deserting homeys
That's why he ain't back maan, that shit is so corny
 
Its okay, you don't have to agree with my views brother.

I am really sorry mfano wangu najua kabisa sio sahihi. Nalifahamu vyema hilo. Nimetumia a simple example ambayo theme yake is very important than it's story.

Ila theme yangu ni kuwa kama una ugonjwa uliosababishwa na vimelea fulani then unachotakiwa usilaumu seli zilizoharibiwa bali weka lawama na curses kwenye kimelea ambacho ni chanzo. Zile seli zisingeweza kujiharibu zenyewe.

Actually let me use the same example to my advantage.
Thanks kwa kunipa mfano

Kwa nini mwili unarespond hivyo. Why does the body kill the unwated pathogen and the cell?

Most of the pathogens come in anget incorporated to the cell in one way or another

They inflict damage upon the cell hiyo damage inafanya ile cell hata baadae pathogen akitolewa ile cell haiwezi kufunction the same way as cells nyingine na ndio maana mwili uidesteoy hiyo cell na kuzalisha another cell ambayo itafanya kazi optimally

Ni the same thing with sin na shetani.
Sin inacorrupt a human being, inadestroy relationship kati ya Mungu na mwanadamu, inamfanya binadamu afunction tofauti na vile ambavyo inapaswa, sin corrupts innocence

Mungu ametupa njia ambayo we may be redeemed from slavery of sin ila tu ni kwa wale watakaomwamini kwani ametupa free choice kumwamini na kuukubali mpango wake au kusuffer the consequences

Kama binadamu atakataa dawa aliyotoa Mungu against sin na ikafika ile siku ya mwisho itakuwa ni hivi.

Mungu amekupa an option dhambi yako iondolewe kupitia wewekurudi katika imani kwake ukaikataa ukaamua kubaki na dhambi yako

Therefore kwa nini usife nayo. Dhambi yako itateketezwa na wewe utateketezwa kwa kuwa upo corrupted na mbali ya kuwa corrpted ukakataa kupokea dawa ya tatizo hilo

Dont you see the fairness there?
 
Mkuu evidence ya evolution mbona iko hata arusha olduvai ni swala la kupanda gari na kwenda. Au nenda kwenye museums mbali mbali ulaya, ethiopia au UNESCO.

Yes evolution iko tested and proved , therefore evolution ni sayansi ndugu.

Answer my question, why hakuna sokwe-mtu au paka-mjusi duniani?
 
How do you know that I don't know the other side of the coin?

Is there any new argument that I have not read before?

Imma bust a verse, just in case
Your mellon is a vase that's not the best
I have seen the non sequitur
The Deus ex Machina
From basilica of St. Peter
To the Forbidden City of China
The Philistine of pristine St. Augustine
Anselm's discipline turned not so clean
I flew from Dar es salaam to Dharamsala
Where the oxygen is so thin you lose your color
Busted a verse with a guitar, reading Bhagavad Gita
With not a thought of a senorita
I read P. Pojman and all the anthologies
Had Lewis for breakfast, without apology
At the Ramada, I slept with Dhamapada
And woke with Upanishads without a bother
I took cover under a sage, Bodhisattva
While contemplating the lotus of Java
Silas and Paul, couldn't convince at all
On why we inherit the sins from Adam's fall
A God less charitable than Sir Baden-Powell
Is one that gets stuck in a logical stall
A brick wall so tall
This God contradiction, bogged by fiction
I have jurisdiction to indict so listen
God doesn't exist, this is no myth
And if you insist to persist logic you miss
Jesus was a phoney, full of baloney
That's why he left the talk sweeter than honey
While deserting homeys
That's why he ain't back maan, that shit is so corny

So you know everything there is to know about this topic. You're 100% knowledgeable?

Right?
 
I have presented some questions on the post # 21 to be answered.

As a thread starter you are supposed to answer those questions but only if you can....unless otherwise you better shut up on that part....The fun thing about you is when you are demanding evidences of evolution from me,...In what post # have I said am here to defend evolution theory? or to prove for its validity?

OK, we know now that you dont support the idea of creation, so tell me which idea(s) do you support? Utakuwa wa kushangaza kwa kupinga mawazo yangu bila ya wewe kuwa na mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom