FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Skumaanisha vegetables bwanaHamna hii ni Duniani kote .
Hadi hapa NYC hili tatizo lipo.

Skumaanisha vegetables bwanaHamna hii ni Duniani kote .
Hadi hapa NYC hili tatizo lipo.

. Kindly send this to 20 people to register urself in Free-Whatsapp mode. If you send this, you will recieve green ticks. The blue ticks was just an update. Wait for the GREEN tick. Facebook and whatsapp combined is the new version
.Send this ASAP. It works mine is green.Jaribuni kutumia telegramX iko makini sana kuliko hiyo whatsapp sema tu Wamarekani wamefanikiwa kuitangaza hiyo WhatsApp, kuliko telegram ya Russian.
OkayChats hazina tatizo. Ila picha, status etc havifanyi kazi.
Just take chill pill. Wataalamu wetu wa IT wanafanya kila liwezekano kuweka mambo sawaMara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Mara ya mwisho ume update WhatsApp lini?Mbona mimi nimetumiwa invoice kwa pdf imefunguka? Na nimei forward kwa mtu kaifungua? Saa kumi jioni
Uwe unaandika sasa nikuelewe.Skumaanisha vegetables bwana![]()
HHahha wale hawana uwezo huo...Uwe unaandika sasa nikuelewe.
Ila nilitaka kukwambia tuu sipo TZ

Kuchat haina shida. Ni ku-download images tu ndiyo inagoma.WhatsApp nachat na watu sasa hivi....
Yap na insta ndio huyo huyo Marc ZuckerbergFb na whatsup nilisikia mmiliki ni mmoja.
Ila sasa insta sijui. I thought it was just me.
Dah kwa hiyo yule wa jamaa wa namba ya Airtel inayoishia na 9 alikuwa anatulisha matango pori ?Hamna hii ni Duniani kote .
Hadi hapa NYC hili tatizo lipo.
Hakuna ukweli hapaTomorrow at 6 pm they are ending WhatsApp and you have to pay to open it, this is by law
This message is to inform all of our users, our servers have recently been very congested, so we are asking you to help us solve this problem. We require our active users to forward this message to each of the people in your contact list to confirm our active users using WhatsApp, if you do not send this message to all your contacts WhatsApp will then start to charge you. Your account will remain inactive with the consequence of losing all your contacts. Message from Jim Balsamic (CEO of Whatsapp ) we have had an over usage of
user names on whatsapp Messenger. We
are requesting all users to forward this
message to their entire contact list. If you
do not forward this message, we will take
it as your account is invalid and it will be deleted within the next 48 hours. Please
DO NOT ignore this message or whatsapp
will no longer recognise your activation.
If you wish to re-activate your account
after
This is the last message from Whatsapp. Kindly send this to 20 people to register urself in Free-Whatsapp mode. If you send this, you will recieve green ticks. The blue ticks was just an update. Wait for the GREEN tick. Facebook and whatsapp combined is the new version
.Send this ASAP. It works mine is green.

Wale uwezo wao unaishia Tigo voda na Airtel .HHahha wale hawana uwezo huo...
Najua bado hujarudi NYC![]()
na ww una aminigi huu upuuuzi??Tomorrow at 6 pm they are ending WhatsApp and you have to pay to open it, this is by law
This message is to inform all of our users, our servers have recently been very congested, so we are asking you to help us solve this problem. We require our active users to forward this message to each of the people in your contact list to confirm our active users using WhatsApp, if you do not send this message to all your contacts WhatsApp will then start to charge you. Your account will remain inactive with the consequence of losing all your contacts. Message from Jim Balsamic (CEO of Whatsapp ) we have had an over usage of
user names on whatsapp Messenger. We
are requesting all users to forward this
message to their entire contact list. If you
do not forward this message, we will take
it as your account is invalid and it will be deleted within the next 48 hours. Please
DO NOT ignore this message or whatsapp
will no longer recognise your activation.
If you wish to re-activate your account
after
This is the last message from Whatsapp. Kindly send this to 20 people to register urself in Free-Whatsapp mode. If you send this, you will recieve green ticks. The blue ticks was just an update. Wait for the GREEN tick. Facebook and whatsapp combined is the new version
.Send this ASAP. It works mine is green.
media zote zip...sema facebook na whatsapp tu.Hata kwangu media zote hazifunguki.
Ataipata wapi kirahisi rahisi hivyo.Dah kwa hiyo yule wa jamaa wa namba ya Airtel inayoishia na 9 alikuwa anatulisha matango pori ?
Shenzi zake