WhatsApp imepata tatizo gani ?

WhatsApp imepata tatizo gani ?

voice note huwez ku download hata picha piazmezngua. Facebook napo mambo hovyo tu
 
Fb na whatsup nilisikia mmiliki ni mmoja.
Ila sasa insta sijui. I thought it was just me.
Mac alinunua zote (insta nd whatsp).... Mfano insta ilianza na insta story... Whatsp ikaja na status... Fb ssa iv nayo ina story... Nd on the coming year whatsp itakuwa na ads kwenye status kama insta..
 
Duuh ameshika kila mahali. Ndiyo tatizo vikifeli vinafeli vyote.
 
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Tunatest mitambo ya kuhack kabla ya 2020
 
Hivi inawezekana ni tatizo kwa leo?

Mie kuna mtu kanitumia ramani WhatsApp imekataa kabisa kufunguka lakini documents za kawaida zinafunguka vizuri

Hata status uliyoiweka Whatsapp nimeshindwa kuiona.
 
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
HATA
 
Aisee nilihisi maybe mtandao ninaotumia ndo una shida kumbe ni shida kwa wote leo
Ngoja tusikilizie
 
Hata mid nlijiuliza shida nn mana kuna mtu kanitumia picha ya mchepuko wa mke wangu mpaka sasa haifunguki
 
Back
Top Bottom