Kwahiyo ramani nlokutumia haijafunguka? Ngoja nikupigie nikuelekeze kwa mdomo namna ya kufika hapa
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?

uwiiiiiiiiiiiiNgoja nikutumie kwa Twirrra😂😂😂😂
Hapo ulipo hata nikiwa nimelewa nafika bila tatizo
Nitumie tena,hii haifunguki hadi sa hivi
Au jiwe anaendelea kumhanya Lissu?kuna shida kuanzia jana attachments hazifunguki
Wakuu mi nikiinstall app ya WhatsApp na kujib nikilala nikjamka nakuta haipo kwenye cm yangu yaani nakuta imeji unstall hivi tatizo ni nini na nini suluhisho lake je kuna alie wahi kukutana na hii kitu??? Sio mara 1 ni kwa siku 3 mfululizo
Hee nazungumzia media formats za whatsapp yaani picha, video, documents na audio au voicenotes.media zote zip...sema facebook na whatsapp tu.
Au mmiliki ni mmoja hadi insta?
Tunatest mitambo ya kuhack kabla ya 2020
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Aiseeee !!!Iran amejaribu kugusa us kwenye mtandao na kufika kesho us dola itaporomoka sana