WhatsApp imepata tatizo gani ?

WhatsApp imepata tatizo gani ?

Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
What's App ilivamiwa jana na Ki-rusi lakini leo ipo poa.
 
Mbona kwangu kawaida tu. Mmeamka vibaya tu, nendeni mkaoge baharini mutoe mkosi 😁😁
 
Iran hana uwezo huo labda urusi

Dah nyie watu mnamdharau sana muirani, wakati ninyi hata toothpicks factory products mmeshindwa!! Waswahili bana. Sitegemei kama tutakuja kuwa kama waarabu na wazungu.
 
Bible zina walaghai mno israel ni taifa la kawaida mno mbn hata us kuna waisrael,kwan mmesaau adolf hitler alivyokuwa ana wachoma kama mishikaki,yaani kiboko wa us ni rusia sijaona mwingine.
Kwahiyo Iran hawana uwezo huo eti? [emoji16][emoji16] basi atakuwa israel
 
Back
Top Bottom