Nilikuwa sijui kwa kweli.Yap na insta ndio huyo huyo Marc Zuckerberg
Nilikuwa sijui kwa kweli.Yap na insta ndio huyo huyo Marc Zuckerberg
Hahhaha kwa kweli...Wale uwezo wao unaishia Tigo voda na Airtel .
Huku pengine hawana uwezo.
Nataraji kurudi soon

ongeza nyama mkuuGBWhatsapp na YoWhatsapp wamewafanyia shambulio la aibu Official whatsapp.
Anaweza akawa shemeji yako kwa (Sumbai) bwana Raimundo amekuja kivingine hivyo nisinge shangaa yeye kuwa na namba yakoAtaipata wapi kirahisi rahisi hivyo.![]()
asanteMkuu imekaa sawa jaribu tena
Telegram si adi contact zako nao wawe nayo ndo mna chart au..Hivi kuna watu bado mnatumia zwhstsapp hadi hivi sasa?
Anzeni kutumia Telegram, hamtajuta. Nimekuwa naitumia kwa mwala wa nane sasa, haijawahi kuniangusha.
Siwezi sahauHahhaha kwa kweli...
Ukirudi usisahau ferrero zangu....
Stay tuned for Rojas![]()




Hapana, Telegram hata bila contact za mtu unaweza ku chat naye. Telegram ni bonge la App, wanazungatia sana usalama. Hawana backdoors za kuweza kuruhusu hackers.Telegram si adi contact zako nao wawe nayo ndo mna chart au..
Sawa omba Mungu siku ninayorudi jf isizingue.That's y always ur top notch...![]()
Hata status uliyoiweka Whatsapp nimeshindwa kuiona.
Hivi kuna watu bado mnatumia zwhstsapp hadi hivi sasa?
Anzeni kutumia Telegram, hamtajuta. Nimekuwa naitumia kwa mwala wa nane sasa, haijawahi kuniangusha.
Melo mtaalam wa ddos attacks... So nothing to worry about.Sawa omba Mungu siku ninayorudi jf isizingue.
Usifanye hivyo. Naona jamaa kakomaa kuipa promo.anko punguza chai telegram imekua founded 6 yrs ago we ume tumia 8 yrs ama una zungumzia telegram zile za vimashine vidogo vya typing kama kwenye moviez za kivita za miaka ya 60's uko!!?
Wenye insta gb na yo whatsup mbna mambo yako fresh kabsa ...kwani mna teseka
Sijaweka status mbona
Akipigwa moja Takatifu unaona moshi tuu.Melo mtaalam wa ddos attacks... So nothing to worry about.