FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
For sure... Usikute tu wazee wa kazi wamezama kunakoAnatufelisha sana sisi wafanyabiashara.

For sure... Usikute tu wazee wa kazi wamezama kunakoAnatufelisha sana sisi wafanyabiashara.

jaribu muda huuMbona mimi nimetumiwa invoice kwa pdf imefunguka? Na nimei forward kwa mtu kaifungua? Saa kumi jioni
Usiwe kiazi soma hapaMara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Siyo Tanzania tu. Niko Germany na tatizo la kutofunguka lipo.For sure... Usikute tu wazee wa kazi wamezama kunako![]()
Ni kweli kwa watumiaji wote... Nilikuwa namaanisha hackers..Siyo Tanzania tu. Niko Germany na tatizo la kutofunguka lipo.
Hamna hii ni Duniani kote .For sure... Usikute tu wazee wa kazi wamezama kunako![]()
WhatsApp nachat na watu sasa hivi....jaribu muda huu
Wewe aisee itakuwa unatamani hata uingie ndani ya simuHata mid nlijiuliza shida nn mana kuna mtu kanitumia picha ya mchepuko wa mke wangu mpaka sasa haifunguki



Nimereboot simu mara nne kumbe sio tatizo langu tu.......Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Ila status huoniii mtu akiwekaWhatsApp nachat na watu sasa hivi....
Asee nimedelete na kudownload upya but holaMara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
yani ni shida aisee naomba nisikute tu ni baba mwenye nyumbaWewe aisee itakuwa unatamani hata uingie ndani ya simu![]()
Chats hazina tatizo. Ila picha, status etc havifanyi kazi.WhatsApp nachat na watu sasa hivi....
Mkuu imekaa sawa jaribu tenaMara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?