Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,347
- 283,392
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?