Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 877
- 663
sivyo unavyofikilia mkuu haya mambo GOOGLE FACEBOOK WHATSAAP and CO
wanabackup majimbo tofauti tofauti marekani
lbda ilipuliwe marekani nzima ndio data zitapotea
kikichotokea ni tatizo la kiufundi ambalo limekuwa nje ya uwezo wao kwa muda mchache
halafu internet haitoki kwenye SATELLITE kama wengi wanavyofikilia
kutoka MAREKANI mpaka BONGO internet imekuja na waya(cable) mpk daresalaam
tafuta tafuta utaona thread inaelezea hizo backup Uzi upo humu
Kanipigia simu ananiuliza nifanyeje... nikamwambia tu weka bando pigia mmoja baada ya mwingine... ndio gharama ya kukubali kuwatumikia wananchi pale serikali kuu inapokutosa hahaha
wasabato mmeanzaOne World Order inaanza kufanya kazi sio bure