Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Kwa hiyo mkuu wewe unaitwa 'tundu'...utakuwa mtundu sana bila shaka
nope hvyo na wala sio kama alvyosema madame kijungu!! ni ubishi tu wa hoja na jinsi nilvyokua najiona ni kama mh lissu!!
Kwa hiyo mkuu wewe unaitwa 'tundu'...utakuwa mtundu sana bila shaka
mbeyabeans
basi ukajiona mkuuuubwaa!!! teh teh!
wapi hiyo mama?
hebu mpeni nick name huyu jamaa kwanza!!
[h=5]Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chini ya mti ule wachawi wanakutana,walipofika wakaanza kujitambulisha mimi mchawi kutoka Sumbawanga mimi mchawi kutoka Tanga, mimi
kutoka Naigeria, mimi kutoka Congo. Jamaa anawasikiliza tu akatokea mmoja akasema mimi mchawi kutoka Afghanistani,, jamaa
akasema mmh huyu atajiripua sasa ivi hawachelewi hawa. Tutakufa sote, kwa khofu akaruka puu chini. Nae akajitambulisha mimi ni mchawi toka MBINGUNI. walobakia wote si mbiio hizo!....[/h]
wakati niko primary niliitwwa Pharaoh,, cooler, afro, tolu, whitey n.k.. Present wananiita Rasta man.
Ha ha haaaaaa...! Hii kubwa
mmmmhhhhhh hili jina mboni lipokikithembe zaidi...