what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

wale wa mbeyabeans hawapo humu?????

teh teh teh!!

wengine midomo ina thupa guluuuu!!!
 
Dah... Nilipokuwa mdogo nilikuwa mweupe kama mzungu, wacha saiv nshapigwa jua mekuwa mweusi!

Wengine waliniita Mzungu wengine Cheupe dawa... Ila Nickname ya Mzungu nilikuwa naipenda kuliko ya Cheupe dawa!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Dah... Nilipokuwa mdogo nilikuwa mweupe kama mzungu, wacha saiv nshapigwa jua mekuwa mweusi!

Wengine waliniita Mzungu wengine Cheupe dawa... Ila Nickname ya Mzungu nilikuwa naipenda kuliko ya Cheupe dawa!

basi ukajiona mkuuuubwaa!!! teh teh!

wapi hiyo mama?
 
hebu mpeni nick name huyu jamaa kwanza!!

[h=5]Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chini ya mti ule wachawi wanakutana,walipofika wakaanza kujitambulisha mimi mchawi kutoka Sumbawanga mimi mchawi kutoka Tanga, mimi
kutoka Naigeria, mimi kutoka Congo. Jamaa anawasikiliza tu akatokea mmoja akasema mimi mchawi kutoka Afghanistani,, jamaa
akasema mmh huyu atajiripua sasa ivi hawachelewi hawa. Tutakufa sote, kwa khofu akaruka puu chini. Nae akajitambulisha mimi ni mchawi toka MBINGUNI. walobakia wote si mbiio hizo!....[/h]
 
Back
Top Bottom