Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
N'na refiki yangu anaitwa Dickson, watu wengine wanamwita 'dick' na wengine wanamwita 'dushe'!
aka mr male genital 'dick'
waambie wamtaje kwa kiswahili ndo itafurahisha.
N'na refiki yangu anaitwa Dickson, watu wengine wanamwita 'dick' na wengine wanamwita 'dushe'!
"Madam kijungu" alafu hujui kwa nini??? Kie kie kie
madame kijungu. . . . .hope upo mnene and then ukitembea mbele nyuma unaachana lawama, anyway ndio vitu vyangu hvyo(si ulimuona?)
madame kijungu. . . . .hope upo mnene and then ukitembea mbele nyuma unaachana lawama, anyway ndio vitu vyangu hvyo(si ulimuona?)
Thwiti
Panadol..
Uliniona wapi?
Raha tupu au?
Cheusi mangala! Lol!
hahahahahaha madame kijungu nimenunua miguu ya kuku sio mguu wa kuku plus mkuki(vile vitu vya kule arachuga)!, ila taratibu wakware wasikusikie hawakawii kunizungua!!Nilimuona. Aisee ule mfungashio ni balaaa. Hujanunua "mguu wa kuku" kweli! Maana ashakuwa wako huyooo