what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

nikiwa mdogo walikuwa wananiita kitatange(ahahahahhahahhaa hapa nimekamatwa )
chuo wakaniita madame vice
ehehhehehehheh ofisini waniiita trafiki!
WAZEEE WA KUUNGANISHA DOTS mpooooooo?
sitaki maswali baada ya hapa!
 
hahah umejuaje.. Nna kithembe ..very sexxxy one.. U'l notice for sometime! Nkikasirika natiririkaje the the thi thi! Lol ndomana nakaa kimya when i mad!
Tho people likes it! Lol nmejitahidi kucontrol na kukifanya thekthiiiii..

kye kye kye!!

umesababisha nimedondosha pande la dhahabu!!!

aisee!!
 
hahah umejuaje.. Nna kithembe ..very sexxxy one.. U'l notice for sometime! Nkikasirika natiririkaje the the thi thi! Lol ndomana nakaa kimya when i mad!
Tho people likes it! Lol nmejitahidi kucontrol na kukifanya thekthiiiii..
umeipata thwiti??
 
nikiwa mdogo walikuwa wananiita kitatange(ahahahahhahahhaa hapa nimekamatwa )
chuo wakaniita madame vice
ehehhehehehheh ofisini waniiita trafiki!
WAZEEE WA KUUNGANISHA DOTS mpooooooo?
sitaki maswali baada ya hapa!

hii ni evolution kali sana!!

vipi bwana mkubwa kakubatiza nanii?
 
hahah umejuaje.. Nna kithembe ..very sexxxy one.. U'l notice for sometime! Nkikasirika natiririkaje the the thi thi! Lol ndomana nakaa kimya when i mad!
Tho people likes it! Lol nmejitahidi kucontrol na kukifanya thekthiiiii..

Naomba nikutafute umfundishe mdogo angu kukifanya chake naye kiwe thekthi!???
 
Naomba nikutafute umfundishe mdogo angu kukifanya chake naye kiwe thekthi!???

mkuu, mdogo wako ni wa kiume ama kike?

kama ni wa kiume baba,,,,

jiandae..!
 
dah, huyu nae sijui nimpe nick name gani vile wadau!!

[h=5]MTOTO: Baba naomba hiyo glass.

BABA: Njoo uchukue mwenyewe.

MTOTO: Baba bwana naomba uniletee.

BABA: Halafu we mtoto unajua ntakuja kukupiga.

MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo nayo!!
[/h] hapo sasa!! nani mkali....! toa nick kwa baba na mtoto wake!!
 
Me aka yangu ni ASHY ingawa sikuhizi siipendi kwa sababu hiyo aka alinipaga x wangu na penzi lilikufa lakini chuo wananiita naitikaga basi tu
 
Hebu malizia sentensi yako kabla sijakujibu mkuu...!

hahaaa!!!

nipe kwanza jinsia ya mtoto atayefundhwa thekthineth!

bwahaahahaaaa!!!

aitheee!!
 
Me aka yangu ni ASHY ingawa sikuhizi siipendi kwa sababu hiyo aka alinipaga x wangu na penzi lilikufa lakini chuo wananiita naitikaga basi tu

heeee!!!! chuo kizima wanajua ei kei yako?

hau kamz?
 
guys, let us put our idz aside, today we are going to generate new id's live from mmu..

what is your also know as name?

mi naitwa economiser!... wapi lara 1, The Boss, Heaven on Earth, Nyani Ngabu, Madame B, miss strong, miss chagga, Washawasha, Katavi, Ruttashobolwa(olinka iwe!), watu8..., Mr Rocky, LiverpoolFC, KakaKiiza, Shark, Eiyer, Bahati yangu, Invisible, Fang, Moderator... and all others!!!!

let us chart now..
548927_267774299994760_603538730_n.jpg

hivi wewe lara 1 unajifanya huoni hii posti ama??

ntakushindisha njaa ujue!!

mjini nikuweke mie, posti wachangie wengine!!

ebo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom